A
Anonymous
Guest
Mfumo wa kupata namba ya foleni (kikaratasi) unapokwenda CRDB kupata huduma una changamoto. Unakuta mfumo unaonyesha muda wa kusubiri ni dakika 11, lakini unapata huduma baada ya zaidi ya saa moja.
Hii ni kero kubwa kwa wateja. Karibu matawi yote ya CRDB yanaonekana kuwa na changamoto ya kasi ya utoaji wa huduma.
CRDB inapaswa kuboresha mfumo na kuongeza kasi ya huduma ili kupunguza muda wa kusubiri kwa wateja.