Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Na hiki ndio kiliwagharimu zaidi waingereza katika timu yao ya taifa.Hapa Frank Lampard pale Steven Gerald angecheza wapi
Kupewa nafasi ki vipi??Hivi ni kweli Michael Carrick katika ubora wake ule katika nafasi ya Holding Midfielder kwanini hakupata nafasi ya kuchezea timu ya taifa ya England?
Carrick anajua kukaba, anajua kuziba nafasi, anajua kuanzisha mashambulizi, anajua kupiga pasi fupifupi na pasi ndefu zenye macho na pia anajua kufanya interception.
Lakini pamoja na ubora wake wote huo Makocha kadhaa wa timu ya taifa ya England walimpa nafasi finyu sana, na ikapelekea timu hiyo kutopata mafanikio katika michuano ya kimataifa kama vilr ya Kombe la Dunia na Kombr la Mataifa ya Ulaya.
Kwanini Carrick hakupewa nafasi? Naamini England ingefika mbali sana kama Carrick angepewa nafasi ya kutosha kwenye timu ya taifa ya England
umeniwahi bro! Hiyo ni kombinesheni ambayo haikuwahi kuwa na matokeo chanya lakini bado makocha wa timu ya taifa ya England waliendelea kufosi kuitumia.Na hiki ndio kiliwagharimu zaidi waingereza katika timu yao ya taifa.
Acha uongo we jamaa...mi nipo UK na ni mshabiki na mfuatiliaji wa mpira lkn sikuwahi kusoma wala kusikia hizo habari zako za "Messi mtarajiwa"UK hata media zinawaharibu sana wachezaji wao..mfn sasa hivi wanasema Lingard ni Messi wao mtarajiwa...hahahaha
Wachezaji.wa UK wengi media zinawagharim sana na wanaridhika wakifikisha miaka 24 hamna kitu
Wale mpira wao ni wa kudesa class mpira wa kufundishwa class
Drinkwater aliitwa wakati team inajitayarisha na mechi za kirafiki na ujerumani na Brazil akachomoa sababu tu alikuwa ametoka kwenye majeraha na alikuwa anajifua kwa kupata namba kwenye kikosi cha Chelsea. ....wengi wakammaind kwa hicho kitendo, so unategemea ataitwa tena?Dany Mussa Noel Drink water ktk form yake yote ameitwa mara 1 tu ktk National team
Steve Bruce Garry pallister , Peter scheimel hao jamaa Ni nomaHuwa inatokea katika maisha ya soka, Steve Bruce akiwa nahodha wa Man Utd katika kiwango cha hali ya juu sana aliishia kuitwa mara 1 tu kwenye timu ya taifa.
Inawezekana makocha waliona Carrick kuna vitu anamiss. All in all amepata heshima kubwa sana klabuni Man Utd.
Hapo alitakuwa aitwe kwani carrick anatoa options tofauti eg kupiga long pass , tatizo kubwa england hawanaga kocha , tena afadhali sougathe kuliko royHapa Frank Lampard pale Steven Gerald angecheza wapi
Tatizo kubwa la england ni makocha wao ni hovyo , mfano euro iliyopita england ilikuwa na timu nzuri saana lakini kocha hamna kitu kabisa, tena southgate anajitahidi kuliko royUK hata media zinawaharibu sana wachezaji wao..mfn sasa hivi wanasema Lingard ni Messi wao mtarajiwa...hahahaha
Wachezaji.wa UK wengi media zinawagharim sana na wanaridhika wakifikisha miaka 24 hamna kitu
Wale mpira wao ni wa kudesa class mpira wa kufundishwa class
Kwanza kabisa Scholes sio kiungo mkabaji kama unavyojaribu kutuaminisha.Humu naona wengi mnaongea lakini seems like hamjui vizuri mpira, Carrick ni holding midfielder, anacheza namba 6 mara nyingi, Lampard na Gerrard wanamnyimaje namba wakati wao ni namba 8?
Carrick amekua akiitwa national team akiwa kwenye early 20's but hakuwa akicheza kwa Sababu ya Paul Scholes ambaye alikua akicHeza ka holding midfielder, je Carrick on his best ana uwezo wa kumuweka benchi Scholes?
Kwanza kabisa Scholes sio kiungo mkabaji kama unavyojaribu kutuaminisha.
Pili Scholes alistaafu timu ya taifa punde tu baada ya mashindano ya Euro 2004, je Carrick alishaanza kucheza kwa kipindi hiko? jibu ni HAPANA.