NHIF app, hairudishi OTP kwenyeMdau na wewe ni mfumo upi wa serikali unaokupa changamoto ambazo hazina maana yoyote?
Pole sanaNHIF app, hairudishi OTP kwenye
sms
Kwa sababu wanaajiri vilaza, mambo ya undugu!Yaani ukisikia pesa inayotengwa na serikali kwa ajili ya mifumo mbali mbali nchi hii unawezwa kutokwa machozi.
Pesa nyingi utengwa kwa ajili ya ma IT wa mchongo ili kupiga TU pesa ya wananchi.
Mfano ninazaidi ya miezi 6 nafatilia kusajili jina la biashara huduma ambayo utolewa na BRELA. Lakini bahati mbaya sijawahi kufanikiwa kwa mfumo wa BRELA jambo Hilo.
View attachment 3276259
Nilipojaribu kufatilia kwenye office za BRELA, kwa dharau kabisa yule mhudumu ananiambia "huduma ya kusajili jina la biashara gharama ni 20,000 ukifanya mwenyewe ila kwa kuwa mtandao unasumbua leta 50,000 nikusajilie"
Hivyo hapo ukipiga hesabu itanibidi nilipie 70000 ili kupata huduma ambayo gharama zake kama mfumo ungekuwa mwepesi kwetu sisi wananchi ningelipia 20,000 TU. Sikuweza kulipa hiyo pesa nipo napambana na mfumo ambao nimemaliza kujaza taarifa zote ila kutumia taarifa imegoma.
Sasa najiuliza kama nchi hii viongozi Hadi mawaziri wanakiri ajira hakuna, jambo kama hili la mfumo wa kusajili biashara mpya ambalo lilitakiwa liwe jepesi ili kusaidia biashara mpya ziweze kusajiliwa na kurasimishwa ili kukuza biashara nchini. Lakini kwa staili hii ya mifumo kama hii watanganyika tutasubiri sana.
Mdau na wewe ni mfumo upi wa serikali unaokupa changamoto ambazo hazina maana yoyote?
Ni kweli kabisaKwa sababu wanaajiri vilaza, mambo ya undugu!
Mimi nasajili zangu na zawatu mbona mtandao mda mwingi upo vizuri?Yaani ukisikia pesa inayotengwa na serikali kwa ajili ya mifumo mbali mbali nchi hii unawezwa kutokwa machozi.
Pesa nyingi utengwa kwa ajili ya ma IT wa mchongo ili kupiga TU pesa ya wananchi.
Mfano ninazaidi ya miezi 6 nafatilia kusajili jina la biashara huduma ambayo utolewa na BRELA. Lakini bahati mbaya sijawahi kufanikiwa kwa mfumo wa BRELA jambo Hilo.
View attachment 3276259
Nilipojaribu kufatilia kwenye office za BRELA, kwa dharau kabisa yule mhudumu ananiambia "huduma ya kusajili jina la biashara gharama ni 20,000 ukifanya mwenyewe ila kwa kuwa mtandao unasumbua leta 50,000 nikusajilie"
Hivyo hapo ukipiga hesabu itanibidi nilipie 70000 ili kupata huduma ambayo gharama zake kama mfumo ungekuwa mwepesi kwetu sisi wananchi ningelipia 20,000 TU. Sikuweza kulipa hiyo pesa nipo napambana na mfumo ambao nimemaliza kujaza taarifa zote ila kutumia taarifa imegoma.
Sasa najiuliza kama nchi hii viongozi Hadi mawaziri wanakiri ajira hakuna, jambo kama hili la mfumo wa kusajili biashara mpya ambalo lilitakiwa liwe jepesi ili kusaidia biashara mpya ziweze kusajiliwa na kurasimishwa ili kukuza biashara nchini. Lakini kwa staili hii ya mifumo kama hii watanganyika tutasubiri sana.
Mdau na wewe ni mfumo upi wa serikali unaokupa changamoto ambazo hazina maana yoyote?
Tra ndio shida mda mwingiTRA, kila baada ya masaa machache wananchi (wateja) mnatangaziwa mfumo unasumbua tunaomba msubiri kdg!!.
Njia nzuri ni kutengeneza tatizo ili liwe tatizo upate nafasi ya kutatua tatizo ulilotengeneza... Mwisho wa siku lazima uwafate ofisini ukawape japo ya chaiYaani ukisikia pesa inayotengwa na serikali kwa ajili ya mifumo mbali mbali nchi hii unawezwa kutokwa machozi.
Pesa nyingi utengwa kwa ajili ya ma IT wa mchongo ili kupiga TU pesa ya wananchi.
Mfano ninazaidi ya miezi 6 nafatilia kusajili jina la biashara huduma ambayo utolewa na BRELA. Lakini bahati mbaya sijawahi kufanikiwa kwa mfumo wa BRELA jambo Hilo.
View attachment 3276259
Nilipojaribu kufatilia kwenye office za BRELA, kwa dharau kabisa yule mhudumu ananiambia "huduma ya kusajili jina la biashara gharama ni 20,000 ukifanya mwenyewe ila kwa kuwa mtandao unasumbua leta 50,000 nikusajilie"
Hivyo hapo ukipiga hesabu itanibidi nilipie 70000 ili kupata huduma ambayo gharama zake kama mfumo ungekuwa mwepesi kwetu sisi wananchi ningelipia 20,000 TU. Sikuweza kulipa hiyo pesa nipo napambana na mfumo ambao nimemaliza kujaza taarifa zote ila kutumia taarifa imegoma.
Sasa najiuliza kama nchi hii viongozi Hadi mawaziri wanakiri ajira hakuna, jambo kama hili la mfumo wa kusajili biashara mpya ambalo lilitakiwa liwe jepesi ili kusaidia biashara mpya ziweze kusajiliwa na kurasimishwa ili kukuza biashara nchini. Lakini kwa staili hii ya mifumo kama hii watanganyika tutasubiri sana.
Mdau na wewe ni mfumo upi wa serikali unaokupa changamoto ambazo hazina maana yoyote?
Email unatumiwa kwa wakati?Mimi nasajili zangu na zawatu mbona mtandao mda mwingi upo vizuri?
Angalia mtandao wako