Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Yaani nature ya mwafrika ni disorganized na inaanza kwenye mila hukoNdio maana Africans hatuheshimiwi na watu wa nchi za nje. Huku ni kwetu na hadi leo pako hivi, miaka 60+ ya uhuru, Africa bado ipo kwenye hali tete
Na mbaya zaidi ya 90% ya sisi black mambaz tunakaa na mavi kwenye makazi ,ni 10% tu ndio wameunganishwa na mfumo wa majitaka (central sewer system )kukaa na mavi akili mzitoee wapi 😁😁Huku tunakaa sisi black mambas ...Miili mikubwa akili kisoda.
Hili ni jibu la mtoa mada au umeamus kuandika tu mkuu?Ndio maana Africans hatuheshimiwi na watu wa nchi za nje. Huku ni kwetu na hadi leo pako hivi, miaka 60+ ya uhuru, Africa bado ipo kwenye hali tete
Aaah dadekii😅😅💪Na mbaya zaidi ya 90% ya sisi black mambaz tunakaa na mavi kwenye makazi ,ni 10% tu ndio wameunganishwa na mfumo wa majitaka (central sewer system )kukaa na mavi akili mzitoee wapi 😁😁
Mimi ndio nimeleta mada, na mimi ndio nimeandika hiyo commentHili ni jibu la mtoa mada au umeamus kuandika tu mkuu?
Lakini mila zetu tuliziacha long time ago tukachagua civilization. Naona inatushinda sasa, mbaya zaidi population inazidi kukua, umasikini unaongezeka so maeneo disorganised yatazidi kuongezekaYaani nature ya mwafrika ni disorganized na inaanza kwenye mila huko
South africa bila mtu mweupe leo hii joberg pretoria or cape town pasingekuwa organized palivyo sasa
Civilization haikuletwa na mtu mweupe, it was there before mtu mweupeKwa sababu civilization ni kitu tuliletewa na mkoloni, ni kama uende porini uwakute nyani uwalazimishe kuvaa suti kwa viboko halafu baadaye uondoke uwaache, mwisho wa siku utakuta wapo hovyo kimpango wao kwa sababu mavazi sio kitu walichojifunza wenyewe kutokana na changamoto za maisha yao
Mimi naona shida ni wizara ya ardhi na halmashauri za miji zinashindwa kusimamia ugawaji wa maeneo vizuri, pia wanashindwa kutengeneza sheria ndogo ndogo za mazingira. Matokeo watu wanajiuzia maeneo kiholela bila kufuata utaratibu sehemu ya nyumba mbili zinakaa nyumba 7 hakuna hata eneo la kupanda mti , kwa mfano jiji la Mbeya siku za nyuma lilikuwa la kijani, kwa sasa hvi sehem kubwa za Mbeya zimekuwa kama uswazi hakuna miti tena ni vumbi kali kika sehemu kila kaeneo kadogo kanajengwa, Ulaya sehemu kubwa nyumba huwa zina maeneo makubwa.
Sio tu uchafu, na mpangomji pia naongelea
Mfano hapa ni Ibadan, Nigeria. Angalia jinsi mji ulivyo hauna mpangilio
View attachment 3514815
Hali ya hewa ya Tanzania Iko dynamic sana ukitaka kuamini nenda Dodoma Kuna kipindi unakuta temperature Iko 16C kuanzia saa moja kukikucha Centigrade inasoma 37 hapo utaweka bati gani mkuu? Labda tuzungumzie njia za mtaani tu zinapitika?Hivi kwanini mabati ya nyumba nyingi nne kati ya tano yameoza na yana kutu?
Watu hawawezi kununua mabati yenye guarantee kwa miaka ishirini, hamsini?
Kwanini usibadilishe baada ya miaka 20. Hata kupaka rangi nyumba iwe na muonekano mzuri ni shida. Tatizo sio pesa ni mentality.
Hali ya hewa ya Tanzania Iko dynamic sana ukitaka kuamini nenda Dodoma Kuna kipindi unakuta temperature Iko 16C kuanzia saa moja kukikucha Centigrade inasoma 37 hapo utaweka bati gani mkuu? Labda tuzungumzie njia za mtaani tu zinapitika?
Huko nako kuchafu tuu,nyumba kubwa nzuri lakini ovyo tuu,labda kwa standard ya bongo sio kwa wenzetuMitaa ya Masaki na Osterbay ipo vizuri kabisa
Huko nako kuchafu tuu,nyumba kubwa nzuri lakini ovyo tuu,labda kwa standard ya bongo sio kwa wenzetu
Sio wasimamizi hata watu wenyewe unakuta mtu ananunua makorokoro and they find it fineWasimamizi wanaopewa msmlaka bogus
Wananchi bogus nao
Ova
I appreciate that mkuu, ila so Kila mtu ana afford that,durable building materials siko zote ni Italian made hawa watu tangu karne na Karne wana kasiri kao, geji can be kama unavyosema ila composition ya materials matters the most. Mfano nliuuziwaga mabati transparent matano ya mtaliano since 2003 asee hayo mabati nliyatafuta sana sikuwahi kuyapata mengine nliishia kuuzekea panda ila mpaka kesho ni Bado mapyaNimejenga falcon, mabati ya zamani yalikaa muda mrefu bila kupata kutu. Nafikiri pia inategemea geji gani unatumia 28, 30, 32 upo karibu na bahari na vitu vingine vya kimazingira.
Ila Afrika kusini, Dubai, sijaona haya mambo. Temperature inashuka usiku hadi minus zeo kwenye jangwa inapanda sana mchana.
Muhimu uwe na mipanga baada ya miaka 10,20 badilisha.
I appreciate that mkuu, ila so Kila mtu ana afford that,durable building materials siko zote ni Italian made hawa watu tangu karne na Karne wana kasiri kao, geji can be kama unavyosema ila composition ya materials matters the most. Mfano nliuuziwaga mabati transparent matano ya mtaliano since 2003 asee hayo mabati nliyatafuta sana sikuwahi kuyapata mengine nliishia kuuzekea panda ila mpaka kesho ni Bado mapya