City planing kwa kiasi kikubwa inatuhusu sisi wananchi sema ni vile vipato vyeti vidogo Tanga, Dodoma na Moshi ni miji iliyojengwa kwa mipango miji ila shida inakuja unakiwanja unaambiwa unapaswa kujenga hivi kulingana na eneo kiwanja chako kipo je unaweza? Sometimes it's displine tuKila mtu anajua tatizo, watendaji wetu wakuu wa serikali zetu huku Afrika wapo kwa maslahi yao binafsi. Wote ni watu wenye tamaa ya kujitajirisha au kuwa na unafuu wa maisha kupitia pesa za umma. We fikiria kuna wabunge wangapi nchi hii? Kila mmoja anapewa gari ya maelfu ya dola kila baada ya miaka 5, wanalipana pesa za posho kodi yenyewe yote inayokusanywa ya kujengea mambo muhimu itapatikana wapi? Hizo nchi za wazungu walioendelea hata waziri akitaka gari anunue kwa pesa yake hakuna ujinga. Huu ni umasikini wa kujitakia, msiulizage majibu kama watoto wadogo
City planing kwa kiasi kikubwa inatuhusu sisi wananchi sema ni vile vipato vyeti vidogo Tanga, Dodoma na Moshi ni miji iliyojengwa kwa mipango miji ila shida inakuja unakiwanja unaambiwa unapaswa kujenga hivi kulingana na eneo kiwanja chako kipo je unaweza? Sometimes it's displine tu
Mji kama huu mkeo anaweza fungiwa nyumba ya pili na hujuiSio tu uchafu, na mpangomji pia naongelea
Mfano hapa ni Ibadan, Nigeria. Angalia jinsi mji ulivyo hauna mpangilio
View attachment 3514815
Duh, halafu na Dodoma, michanga imeingia sana barabarani. Inapoteza mvuto wa barabara, zinawahi kupaukaBora umeliona hili, ukitaka kujua hatuna utaratibu nenda makaburini. Kila mtu anazika anavyojiskia kichwa kinaangalia popote.
Hakuna cha kwamba huu mstari ukijaa unafata huu, hata kama makaburi ni ya dini zote.
Siku ambayo nilijua kwamba hatuko serious ni siku ambayo makamu wa raisi Mpango alimuagiza mkurugenzi wa Jiji Dodoma atoe uchafu, sijui ilikuwa mtaa gani, ambayo una muda mrefu hadi wananchi wanalalamika.
Utakuaje na mji organized wakati hata tabia na fikra zinategemea social media na wazungu?Wakuu leo nimeona nilete mada mezani. Kwa nini miji yetu mingi ipo disorganised ukifananisha na wenzetu?
Ukiangalia miji ya nchi za mambele utaona imepangiliwa, misafi, wamepanda miti mingi, haipo chaotic ni miji inayovutia
Mfano angalia mji wa Seattle, Marekani
View attachment 3514771
View attachment 3514773View attachment 3514774
Lakini ukiangalia Africa miji yetu utaona hatujapanda miti, hakuna pavements, michanga imeingia barabarani, ni michafu yani kila kitu kipo disorganised.
Angalia mji wa Lagos, Nigeria
View attachment 3514772
View attachment 3514775
Hapa naleta na picha, mfano wa miji ya mambele halafu tuone.
Paris
View attachment 3514779
View attachment 3514780
.
Tokyo
View attachment 3514777
View attachment 3514778
.
Amsterdam
View attachment 3514776
Halafu hapa naonesha jinsi miji mingi ya Africa ilivyo
Hii picha ni Eastleigh, Nairobi
View attachment 3514781
Hapa ni Pipeline, Nairobi
View attachment 3514782
Hapa ni Paje, Zanzibar
View attachment 3514783
Hapa ni Kampala, Uganda
View attachment 3514784
Kuna watu wanasema sababu ni umasikini. Mimi nakataa. Mbona Rwanda ni nchi masikini lakini miji yao ipo organised sana.
Nakuonesha picha za Kigali, Rwanda. Zipo tofauti kabisa na miji mingine ya Africa
Iangalie Kigali
View attachment 3514786View attachment 3514787View attachment 3514788View attachment 3514789View attachment 3514790View attachment 3514791View attachment 3514792
Sababu ni nini? Kwa nini miji mingine ya Africa isiwe kama Kigali? Au kwa nini isiwe kama miji ya mambele?
NB: Najua kuwa hata miji ya Africa kama Nairobi, Kampala na Lagos ina maeneo ambayo yapo well organised na masafi, lakini ni machache mno ukifananisha na maeneo machafu ambayo hayajapangiliwa vizuri
Hapana, sio lazima mada iwe hivyo unavyotaka wewe. Hata mada kuwa hivi ni sawa, lazima niulize sababu kwanza kwa wadau wa JF kabla ya kuanza kufikiria suluhishoUtakuaje na mji organized wakati hata tabia na fikra zinategemea social media na wazungu?
Hatuna agenda zaidi ya ulalamishi na kukosoa tu
Hata hii mada… thr best would be, how can we make our cities better and more organized?
Viongozi wanaweza kuchukua idea nzuri na kuzifanyia kazi kupitia media zozote. Unawafikiaje kuongea nao?Utakuaje na mji organized wakati hata tabia na fikra zinategemea social media na wazungu?
Hatuna agenda zaidi ya ulalamishi na kukosoa tu
Hata hii mada… thr best would be, how can we make our cities better and more organized?
Na pia hii mada nimeamua tu iwe ya kuuliza, nipate maoni ya watu juu ya hili sualaUtakuaje na mji organized wakati hata tabia na fikra zinategemea social media na wazungu?
Hatuna agenda zaidi ya ulalamishi na kukosoa tu
Hata hii mada… thr best would be, how can we make our cities better and more organized?
Hakuna changes if we depend on viongozi tuViongozi wanaweza kuchukua idea nzuri na kuzifanyia kazi kupitia media zozote. Unawafikiaje kuongea nao?
All ideas starts from somewhere, Kwenye watu wa chini. Ndio asilimia 95% ta wananchi. Tambua hivyo.Hakuna changes if we depend on viongozi tu
It starts in thr households
It starts chini na siyo juuAll ideas starts from somewhere, Kwenye watu wa chini. Ndio asilimia 95% ta wananchi. Tambua hivyo.
Viongozi wenye akili wanachukua hizo idea, wanazifanyia kazi.
Nafikiri nimesema hivyo. Umesoma chochote juu, maoni yoyote niliyoyasema?It starts chini na siyo juu
Anzeni hata mtaani tu
Ni ngumu mkuu, kwa nchi kama Tanzania lazima ianze juu. Fikiria tuliweza vipi kuzuia matumizi ya mifuko ya plastiki? Ilianza juu hadi ikafika chiniIt starts chini na siyo juu
Anzeni hata mtaani tu
City planing kwa kiasi kikubwa inatuhusu sisi wananchi sema ni vile vipato vyeti vidogo Tanga, Dodoma na Moshi ni miji iliyojengwa kwa mipango miji ila shida inakuja unakiwanja unaambiwa unapaswa kujenga hivi kulingana na eneo kiwanja chako kipo je unaweza? Sometimes it's displine tu
Wenzetu wapo vizuri sana kwenye hilo, mi najiuliza hivi ni kweli hakuna kiongozi anayetamani Tanzania nayo iwe hivyo?Ulaya kila kilomita mbili tatu kuna parks, gardens.
Nyumba nyingi zina gardens usipo maintain bustani yako majani yakakuwa sana bila mpangilio wanapewa onyo, ikijirudia Mara nyingi unapewa faini, council, serikali ya jiji inakuja na kufanya usafi.