Kwanini mikate mingi ina mchanga siku hizi?

Kwanini mikate mingi ina mchanga siku hizi?

Mnapenda sana na kuendekeza anasa kwa kula kula mikate hovyo hovyo wakati kuna mbadala magimbi, mihogo na viazi. Endeleeni tu kuparamia iyo mikate mwishowe appendix itajaa michanga mtaingia matatizoni na gharama kwenda kutoa appendix.

Badilikeni aseeh!
Na Mimi nakazia. Ni kweli mikate mingi ya siku hizi nishakuta michanga na tuvidude tweusi. Bora ya kununua mihogo na kuichemsha home.
 
Na Mimi nakazia. Ni kweli mikate mingi ya siku hizi nishakuta michanga na tuvidude tweusi. Bora ya kununua mihogo na kuichemsha home.
Mihogo inanunuliwa!

Navyojua, mtu anang'oa shambani kwake na kuja kuchemsha.

Hili la kununua sijawahi lisikia mie!
 
Kukanda kwa miguu si jambo jipya, kabla ya kuingia mashine za kuksndia unga kukanda kwa miguu lilikuwa jambo la kawaida, usitukane usilolijua.
Ni kweli si jambo jipya ila hapo kilicholeta mshtuko ni uhusiano wa huo mchanga na kukandia miguu...kwamba mtu anatoka kukanyaga mchanga moja kwa moja anaingia kwenye unga?
 
Ni kweli si jambo jipya ila hapo kilicholeta mshtuko ni uhusiano wa huo mchanga na kukandia miguu...kwamba mtu anatoka kukanyaga mchanga moja kwa moja anaingia kwenye unga?
Mbona haujaeleza mkandaji akitokwa jasho analifutaje au analitoaje?😝😝😝
 
Back
Top Bottom