Mikoa mingi ya huko ni sababu utawala wa kikoloni ulielekeza miundombinu na uwekezaji katika maeneo yenye madini au kilimo cha mazao ya biashara kaskazini, magharibi na nyanda za juu kusini, huku mikoa ya kusini ikitumiwa zaidi kama chanzo cha nguvu kaziKwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?
Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali isiyoridhisha. Pia, baadhi ya majengo na ofisi za serikali Lindi bado ni za zamani.
Mikoa ya kusini inajulikana kwa uzalishaji wa korosho, lakini bado kuna uhaba wa viwanda vikubwa vya kuongeza thamani ya zao hilo. Kwa upande wa historia na utamaduni, Lindi na maeneo kama Kilwa yana urithi mkubwa, lakini bado hayajaendelezwa kikamilifu kuwa vivutio vya utalii.
Je, kuna sababu gani zinazofanya mikoa ya kusini kubaki nyuma kimaendeleo? Serikali imewasahau, au kuna changamoto gani inayozuia uwekezaji na maendeleo katika maeneo haya?
Sababu kuna waislamu wengi.Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?
Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali isiyoridhisha. Pia, baadhi ya majengo na ofisi za serikali Lindi bado ni za zamani.
Mikoa ya kusini inajulikana kwa uzalishaji wa korosho, lakini bado kuna uhaba wa viwanda vikubwa vya kuongeza thamani ya zao hilo. Kwa upande wa historia na utamaduni, Lindi na maeneo kama Kilwa yana urithi mkubwa, lakini bado hayajaendelezwa kikamilifu kuwa vivutio vya utalii.
Je, kuna sababu gani zinazofanya mikoa ya kusini kubaki nyuma kimaendeleo? Serikali imewasahau, au kuna changamoto gani inayozuia uwekezaji na maendeleo katika maeneo haya?
Mkoloni kaondoka miaka 70 iliyopita,tafuta kisingizio kingineMikoa mingi ya huko ni sababu utawala wa kikoloni ulielekeza miundombinu na uwekezaji katika maeneo yenye madini au kilimo cha mazao ya biashara kaskazini, magharibi na nyanda za juu kusini, huku mikoa ya kusini ikitumiwa zaidi kama chanzo cha nguvu kazi
Nakumbuka mikoa ya kusini ndiyo huwa inaibuka kidedea kwa kuichafua ccm kwa kishindo.Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?
Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali isiyoridhisha. Pia, baadhi ya majengo na ofisi za serikali Lindi bado ni za zamani.
Mikoa ya kusini inajulikana kwa uzalishaji wa korosho, lakini bado kuna uhaba wa viwanda vikubwa vya kuongeza thamani ya zao hilo. Kwa upande wa historia na utamaduni, Lindi na maeneo kama Kilwa yana urithi mkubwa, lakini bado hayajaendelezwa kikamilifu kuwa vivutio vya utalii.
Je, kuna sababu gani zinazofanya mikoa ya kusini kubaki nyuma kimaendeleo? Serikali imewasahau, au kuna changamoto gani inayozuia uwekezaji na maendeleo katika maeneo haya?
Sio kisingizio it a known facts, if mkoloni hakuwa hapo means jamii ya eneo husika haijaamka au imechukua muda kuamka thus speed zya maendeleo kuwa low sababu jamii yenyewe haikuona umuhimuMkoloni kaondoka miaka 70 iliyopita,tafuta kisingizio kingine