Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Unajua wasimamizi wa biashara za MeTL ni wangapi?Sio ubinafsi. Si kila biashara utataka kufanya na watu. Management ya biashara inataka umakini na iwe monitored na aliyeleta idea. Sio kila mtu atake kucontrol hakutakuwa na matokeo mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua wasimamizi wa biashara za Bakhresa ni wangapi? Anyway wale ni wakubwa huenda haujui
Kuna mfanyabiashara anaitwa Frank Mtei mlevi mkubwa sana Dodoma anamiliki biashara kadhaa ikiwemo za ma bar na za kifedha na kuna hotel pia ameinunua majuzi hapa Magomeni zamani ilikuwa ikijulikana kama Traventine na katika vyote nilivyotaja ana share na watu wengine.
Usiwe mbinafsi kopa na wenzio kula na wenzio feli na wenzio hayo ndio maisha