Kwanini mikopo ya Halmashauri inalazimisha vijana kujiunga vikundi

Kwanini mikopo ya Halmashauri inalazimisha vijana kujiunga vikundi

Sio ubinafsi. Si kila biashara utataka kufanya na watu. Management ya biashara inataka umakini na iwe monitored na aliyeleta idea. Sio kila mtu atake kucontrol hakutakuwa na matokeo mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua wasimamizi wa biashara za MeTL ni wangapi?
Unajua wasimamizi wa biashara za Bakhresa ni wangapi? Anyway wale ni wakubwa huenda haujui

Kuna mfanyabiashara anaitwa Frank Mtei mlevi mkubwa sana Dodoma anamiliki biashara kadhaa ikiwemo za ma bar na za kifedha na kuna hotel pia ameinunua majuzi hapa Magomeni zamani ilikuwa ikijulikana kama Traventine na katika vyote nilivyotaja ana share na watu wengine.

Usiwe mbinafsi kopa na wenzio kula na wenzio feli na wenzio hayo ndio maisha
 
Kn vijana kata fulani niwahi ongea nao jambo hili,wako ktk mchakato wameambiwa wawe wa 5 .watambulike mtaa wanaotokea.shughuli zao kisha wafike kata kwa afisa/mama maendeleo
 
Mfano mimi nina garage yangu imeshaanza kufanya kazi. Au nina supermarket ndogo inayohitaji mtaji kama wa milioni 30 kuweza kukua na kuanza kupata faida kubwa na kuajiri vijana wenzangu wengi, kwann nijiunge kikundi ili niweze kuaccess mkopo wa halimashauri?!

Sent using Jamii Forums mobile app
we utaambiwa nenda benki au taasisi za kifedha,halmashauri sidhani km kn pesa ya mikopo kwa mtu au kampuni
 
Mfano mimi nina garage yangu imeshaanza kufanya kazi. Au nina supermarket ndogo inayohitaji mtaji kama wa milioni 30 kuweza kukua na kuanza kupata faida kubwa na kuajiri vijana wenzangu wengi, kwann nijiunge kikundi ili niweze kuaccess mkopo wa halimashauri?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu; Kwa maelezo hayo wewe sio mlengwa wa mikopo hiyo. Walengwa ni marginalised, vulnarable na ni kwa miradi midogo ya kujikwamua kiuchumi. eg. kufyatua tofali, ufugaji wa wanyama wadogo-wadogo, mama lishe, biashara ndogo-ndogo (e.g.uuzaji wa vitunguu nyanya, mboga-mboga n.k.), kilimo cha mazao n.k. Rejea msemo mtaji wa maskini ni nguvu yake. Walengwa hawa wanazo ndoto lakini hawana Mitaji-anzia. Hao huwezeshwa kwa pamoja(Kikundi) baada ya kukidhi vigezo na masharti.
NB: Mtembelee Afisa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Wazee aliye karibu nawe atakufafanulia zaidi.Asante.
 
Ndio tunapaza sauti taratibu zibadilishwe. Hii mikopo inaweza kutumika kuinua biashara za kati na kubwa kama itapelekwa kwa watu creative wasio na mitaji ya kutosha.

Kuna vijana wana photos studio. Wanataka kupata vitendea kazi kama computer za kisasa, kamera, taa, reflectors, meza, viti, software nzuri, etc. Unakuta anatakiwa kuwa na kama 30 million kuleta mapinduzi ili kuweza kuingiza faida na kuajiri watu zaidi na kurudisha pesa.

Why hiyo iwe ngumu sasa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naomba nikunukuu "Kuna vijana wana photos studio. Wanataka kupata vitendea kazi kama computer za kisasa, kamera, taa, reflectors, meza, viti, software nzuri, etc. Unakuta anatakiwa kuwa na kama 30 million kuleta mapinduzi ili kuweza kuingiza faida na kuajiri watu zaidi na kurudisha pesa".
Uzoefu wangu kwenye fedha hizi ni kwa vijana wanaoishi katika Halmashauri za Wilaya i.e. Maeneo ya Vijijini. Vijana wa vijijini hupewa mikopo ili kuanzisha miradi ya Kilimo(mazao), Ufugaji, Ujasiriamali-Ufundi e.g. useremala; Ufyatuaji tofali za kuchoma n.k. Ukiangalia utaona ni miradi inayofaa kutekelezwa na kikundi, halafu mtaji wake sio mkubwa ila nguvu kazi zaidi inahitajika. Miradi hiyo sio tegemezi kwa Nishati na nyenzo nje ya kikundi e.g. Umeme, Usafiri (magari pikipiki) n.k. ili kuzalisha au kutekeleza Mradi.
Sina uzoefu kwa Majiji na Manispaa - wenye uzoefu naomba wachangie hapo.
 
Unajua wasimamizi wa biashara za MeTL ni wangapi?
Unajua wasimamizi wa biashara za Bakhresa ni wangapi? Anyway wale ni wakubwa huenda haujui

Kuna mfanyabiashara anaitwa Frank Mtei mlevi mkubwa sana Dodoma anamiliki biashara kadhaa ikiwemo za ma bar na za kifedha na kuna hotel pia ameinunua majuzi hapa Magomeni zamani ilikuwa ikijulikana kama Traventine na katika vyote nilivyotaja ana share na watu wengine.

Usiwe mbinafsi kopa na wenzio kula na wenzio feli na wenzio hayo ndio maisha
Sasa wewe ndio umeongea kitu gani?! Hao watu umewataja ndio wamiliki wakuu na wafanya maamuzi wa mwisho wa hizo biashara zao na ndicho ninachokisemea mimi.

Mimi aongelea mfano wake ni kama huu, mimi nataka kufungua biashara kama hotel au mgahawa. Na ninataka uwe daraja la kati au la juu. Yaani kuwa na mauzo ya kuanzia milioni moja kwa siku.

Sasa ili huo mradi niweze kuumudu ninatakiwa niwe na pesa nzuri kama kianzio. Na hapo tufanye mimi nina uwezo wa kusimamia na kurun hiyo business na resources zake zote. Nitatangaza ajira, nitaweka staff management na kila kitu.

Sasa nataka nipate mtaji wa hiyo biashara ambao tuupe thamani ya say, milioni 50,sasa hapo mimi nakwenda na kikundi cha watu kumi ili kufanya nini?!

Yaani tukapewe hiyo milioni 50 tugawane au tufanyaje?!

Na naweza kusema niende na watu tupewe hiyo milioni 50 lakini je nani atakubali nihodhi maamuzi ya kuitumia yote bila wao kupata chochote na je, unadhani hawata taka kuwa sehemu ya maamuzi ya project ambayo mimi ndio nina idea nayo na ninayo staff ya kufanya nayo kazi, kushauriana na kupitisha maamuzi??

Akili za kimaiskini. Kuwaza uchawi uchawi tu, vikundi vya nini tunaenda kucheza ngoma ya mkole hapa kwani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa watu wanakopa tu 30,000 kwenye simu wanavunja line..wewe unaetaka kuboost mtaji unatakiwa uende bank au utumie nji zingine kwa mfano tigo nivushe, mpesa etc kama wewe ni muaminifu kweli..
 
Sure, kwa wasio elewa shida inaanzia hapo.
Mkuu, Umepima na Kufanya tathmini ya hizo fedha Tzs milioni 100 na Ukaelewa vizuri ndipo ukahitimisha kwamba kwa wasio elewa shida inaanzia hapo? Hebu fafanua kidogo ili nasi tupate mwanga. Ni hayo tu.
 
Ufafanuzi ni kwamba nimejibu swali na nilicomment swali la mwamba hapo juu, kuwa milioni kumi au ishirini vijana wanakaa wanaenda haraka haraka vijana 10 kuchukua mkopo wa milioni 10 au ishirini.

Je? Mkopo huo utawatosheleza kwenye kubuni kitu kizalishe na wao wanufaike na mwisho warudishe rejesho kwa wakati/muda husika walio ingia mkataba na halmashauri.

Tuliteta kuhusu how comes 10mil au 20mil inaweza wabenefit 10 people kwa mantiki yetu kwamba hiyo pesa ni ndogo sana kwa watu kumi kuamua nakufanya maamuzi ya pamoja juu ya mipango yao.

They will work as a team work but querals must exist.

At least for amount like Tsh.300mil+ would work for those 10 people.
 
OK.
 
Habari

Kwanini taratibu za mikopo ya Halimashauri ambayo inatokana na 10% ya mapato ya halimashauri husika inalazimisha vijana watakaokopeshwa au kwenda kuomba ni lazima waende kivikundi na kuja na idea za vikundi?

Kwahiyo kwa mfano mimi nina kampuni yangu ya kuuza magari, au nina biashara ya studio ya photoshoot, au nina duka la nguo, au nina mgahawa wa kisasa siwezi kwenda kuboost mtaji wangu kwa kupata mikopo hii nafuu ili nikuze biashara yangu?

Sababu hasa huwa ni nini kinachofanya hawa jamaa wanalazimisha masharti ya kizee na ya kishamba namna hii?!

Kwani hizo hela wanatoa mifukoni mwao au ni za baba zao?!

Hela si ni zetu raia na zinahitajika kufanyia maendeleo yetu.

Hapa nilikuwa natazama kipindi hapo channel 5, DC anahojiwa kuhusu mikopo ya Halimashauri, anatetea hoja ya kuwepo kwa vikundi.

Katika kipindi wamekaribisha vijana wajasiriamali kuelezea maoni yao wengi wameonesha kukerwa na hii hoja ya vikundi na wamewaambia hao maofisa biashara waache kutumia mawazo ya kizee waje kitaa watazame biashara active ambazo zinahitajika mitaji ili kukua. Nyingi si za vikundi....

Vikundi vikundi kwani tunataka kucheza ngoma?

Kila mtu apambane kwa mbinu zake wanaotaka vikundi waende kwenye section ya vikundi, wanaotaka binafsi waende na business plan zao wakabidhi wapewe mpunga wafanye biashara.

Serikali imejazwa watu wenye mawazo ya kijima na ya kibwege sana . Ushamba ushamba tu. Wanajifanya wanazijua risk na hawajawahi kufanya biashara hata ya nyanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuona mtoto wa waziri,Mbunge,au mtumishi mwenye kipato kikubwa,ambaye anaenda kujiweka kwenye makundi Ili apewe mkopo na halmashauri,
Huu utaratibu ni mbovu na ni kupoteza pesa kama utaratibu wa tasaf ulivyo.
 
Mkuu, mbona umetoa hukumu "Huu utaratibu ni mbovu na ni kupoteza pesa kama utaratibu wa tasaf ulivyo" bila kuweka vigezo(Hadidu za rejea = Terms of reference) na ushahidi uliopelekea wewe ukatoa hukumu hii? Tupe walau machache nasi tujiridhishe pasi na shaka kwamba Utaratibu huo ni mbovu.
 
Habari

Kwanini taratibu za mikopo ya Halimashauri ambayo inatokana na 10% ya mapato ya halimashauri husika inalazimisha vijana watakaokopeshwa au kwenda kuomba ni lazima waende kivikundi na kuja na idea za vikundi?

Kwahiyo kwa mfano mimi nina kampuni yangu ya kuuza magari, au nina biashara ya studio ya photoshoot, au nina duka la nguo, au nina mgahawa wa kisasa siwezi kwenda kuboost mtaji wangu kwa kupata mikopo hii nafuu ili nikuze biashara yangu?

Sababu hasa huwa ni nini kinachofanya hawa jamaa wanalazimisha masharti ya kizee na ya kishamba namna hii?!

Kwani hizo hela wanatoa mifukoni mwao au ni za baba zao?!

Hela si ni zetu raia na zinahitajika kufanyia maendeleo yetu.

Hapa nilikuwa natazama kipindi hapo channel 5, DC anahojiwa kuhusu mikopo ya Halimashauri, anatetea hoja ya kuwepo kwa vikundi.

Katika kipindi wamekaribisha vijana wajasiriamali kuelezea maoni yao wengi wameonesha kukerwa na hii hoja ya vikundi na wamewaambia hao maofisa biashara waache kutumia mawazo ya kizee waje kitaa watazame biashara active ambazo zinahitajika mitaji ili kukua. Nyingi si za vikundi....

Vikundi vikundi kwani tunataka kucheza ngoma?

Kila mtu apambane kwa mbinu zake wanaotaka vikundi waende kwenye section ya vikundi, wanaotaka binafsi waende na business plan zao wakabidhi wapewe mpunga wafanye biashara.

Serikali imejazwa watu wenye mawazo ya kijima na ya kibwege sana . Ushamba ushamba tu. Wanajifanya wanazijua risk na hawajawahi kufanya biashara hata ya nyanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikopo ya vikundi inazinguaga sana
 
Mikopo ya vikundi inazinguaga sana
Mkuu, mikopo ya vikundi inazingua sana kivipi? Kupata mkopo mahali popote ni lazima ufuate utaratibu uliowekwa. Hakuna shortcut. Ni mchakato unaohusisha ngazi mbalimbali. Kwa hiyo huchukua muda kukamilika. Ndo maana kama unataka mkopo wa kilimo, basi uanze machakato huo wa kukopa fedha mapema ili kipindi cha mvua kifikapo wewe uwe umeshakamilisha taratibu husika na fedha ziko mkononi tayari.
 
Back
Top Bottom