Kwanini Mimi hiki Kitu nakiweza ila 99% ya Wanaume Wenzangu hawakiwezi?

Kwanini Mimi hiki Kitu nakiweza ila 99% ya Wanaume Wenzangu hawakiwezi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kutongoza Mke au Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu na Kumbandua / Kumpekecha?

Kuwa mwepesi Kushawishika na Mke / Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu ili nilale nae / nimpekeche?

Je, Mimi ni Mshamba na hiki nikifanyacho ni Ushamba na Uzembe na kwamba hawa 99% ya Wanaume Wenzangu wanaofanya ndiyo Wajanja na wako sahihi kwa 100%?

Kuna Mke wa Rafiki yangu mkubwa tu amejitahidi Kunitega kwa kila namna ili Nimpekeche ( Nimbandue ) ila nimemkatalia kata kata cha Kushangaza sasa ananichukia japo Mimi huyu huyu ( bila ya Yeye kujua ) nimemuokoa Mumewe asimbandue ( asimpekeche ) Mwanamke ambaye namjua kabisa kuwa ameshaathirika na Gitaa la Solo la Dally Kimoko kwakujua kuwa kama Mumewe angeukwaa basi angemuambukiza hata Yeye Shemeji / Shemela wangu Mpendwa Esther.
 
Jamaa yako wa Kawe sokoni aliyekatwa sikio anaendeleaje
 
Ukiwa na jini au pepo la ngono Hakuna mwanamke/ mwanaume yeyeto mzinzi atakukataa.
Wanaofata dawa za kupendwa na wanawake kwa waganga. Huwa wanawekewa jini la ngono kila umtongozae akatai sababu ya ile nguvu ya jini uliyenae.
 
Jamaa yako wa Kawe sokoni aliyekatwa sikio anaendeleaje
Sina Mtu ninayemjua Kawe kama unavyolazimisha Wewe ila kama huyo Jamaa ni Basha wako basi sawa na Hongera pia.
 
Back
Top Bottom