Kwanini mimi peke yangu ndio siongezeki uzito!!

Kwanini mimi peke yangu ndio siongezeki uzito!!

bet master

Senior Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
101
Reaction score
23
Nimejaribu malishe mbali mbali kama za forever living lakin hamna kitu, nimetoa hela ndefu mpaka imeniuma.

Msaada wenu wakuu, am male,age 23 BMI yang u ni 17.7 ambayo ni under weight
 
itabidi uwe unafanya zoez la kukuza misuli kitaalamu pamoja na msosi
 
Miaka kadhaa nyuma nilikuwa naplay kwenye kilo 60-63. Sikuwa nazidi zaidi ya hapo. Lkn tangu kuanzia mwezi wa 6 mwaka huu nilianza kupanda from 63-65. Na mpk mwezi huu nina 69 nilipima juzi. Umri wangu ni miaka 30
 
Nimejaribu malishe mbali mbali kama za forever living lakin hamna kitu, nimetoa hela ndefu mpaka imeniuma.

Msaada wenu wakuu, am male,age 23 BMI yang u ni 17.7 ambayo ni under weight

polee kkkaka
nitafute private
 
Wengine tunatamani kupungua wengine kuongezeka ni sheeeder!!
 
Back
Top Bottom