Kwanini Mishahara ya watumishi ambao wapo ngazi moja inatofautiana? Je, Utumishi huwa mnafanya kazi kisayansi kweli?

Navyojua mimi hata grade za mishahara zina range, yaani unakuta ni grade moja lakini ina mshahara wa chini mpaka wa juu.... so siyo laIma mishahara ifanane mkiwa level moja....hii nimeona sana kwenye makampuni ya private....sina uzoefu serikalini
Nafanya kazi private, naelewq unachoongea. Private wanaajiri Competency …. Na in private salary itatofautiana na mtu mlioingia nae sawa kutokana na bargain power yako. That is not Utumishi. Nimefanya kazi Serikalini pia

Nielezee, I am general physian fresh from school , na we ni general physian fresh from school . Nikaajiriwq MUHAS na wewe Ukaenda NIMRI. Huko NIMR unakula 4 M ON MONTHLY….. MUHAS nakula 1.2 tu ;

Tell me hiyo range ya mishahara unayozungumzia we ina base kwenye nini ?

what is range by the way ….?

As for utumishi mshahara utatofautiana kulingana namba of years ofisini, na specialization

Mtu wa NIMR atafanya kazi aliyoomba, Mtu wa MUHAS atafanya kazi aliyoomba….. wapo daraja moja wote watumishi wote wapo chini Utumishi…….what is the privelege wa MUHAS ale 1.2 with his ass off from morning to evening and wa NIMR ale 4M

This is what I am Talking

Be realistic , make sure unaeelwa the context
 
Sasa ndio wanapaswa ku standardize mishahara kwa sababu hatuwezi wote kufanya kazi NIMR au NHIF. Wapo watakaopaswa kubaki BOT , wapo watakaopaswa kwenda vituoni…. So isiwe kwenda vituoni ni adhabu….HAPA UTUMISHI ni lazima wskae chini waangalie namna ya ku stabdardize mishahara……..hakuna cha taasisi wala vituoni

Unakuta Mtu wa taasisi kama NIMR wanalipana Furniture, mafuta, mawasiliano etc ……kwanini Mtu wa vituoni au Hospital nae asilipwe…….. wote si ni watumishi ?
Pesa zote ni za Serikali…. Whether taasisi inazalisha au hapana, Je mlitaka taasisi zote ziwe ni zalisha?
Lazima tuwe na taasisi za huduma

Standardization ni LAZIMA
 
Hili ndio lifanyiwe kazi
 
Ujinga kulialia wakati ukijiongeza, maisha yanakwenda kimya kimya bira malalamiko yoyote.
Ndio maana most of African countries ni masikini. Ukimya kimya ni udikteta
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Namuagiza Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable waende wakaangalie ni kwa namna gani tunaweza kusawazisha mishahara kwa wote.

Tumeanza kusikia vichokochoko na vijikelele kutoka kwa madaktare wakililia maokoto, sasa nawaagiza ninyi mwende mkalifanyie kazi kisha mnirudishie ripoti yenye HADIDU REJEA.

Mimi ni MAMA na ninyi ni MACHAWA WANGU, MKINIKUNA NITAWAKUNA.

Cc: Nyani Ngabu Lamomy Extrovert secretarybird Poor Brain Yohimbe bark
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nakuunga mkono
 
Kikubwa kama unaona huko Kuna pesa kubwa ni kupambana nawe uhamie huko.. mbona watu wanafanya.. Always Dunia hii haina equalityWow

Kikubwa kama unaona huko Kuna pesa kubwa ni kupambana nawe uhamie huko.. mbona watu wanafanya.. Always Dunia hii haina equality
Huu ni mwisho wa kufikiri
 
Kwa sasa hivi unachoweza kufanya ni tafuta chaka mkuu, unajua kabisa utumishi mshahara kiduchu, subiri ikulu watangaze nafasi za nurse wa Raisi huko Per diem kila siku.
 
NA HII NDIO INASABABISHA BAADHI YA TAASISI WATU KIJIMILIKISHA NA KUSAHAU KUWA NI TAASISI ZA UMMA.

UNAKUTA AJIRA MPYA UTUMISHI WAMEWAPANGIWATAASISI FULANI LAKINI INAMKATAA KWASABABU INA MASLAI MAZURI NA WANAWATU WAO.

AJIRA MPYA WANAOPANGIWA HALMASHAURI HUWEZI SIKIA WAMEKATALIWA.
 
Kwa sasa hivi unachoweza kufanya ni tafuta chaka mkuu, unajua kabisa utumishi mshahara kiduchu, subiri ikulu watangaze nafasi za nurse wa Raisi huko Per diem kila siku.
Kwanini unadhan mimi ndio nina shida kazi, I am the citizen of the World , sipo hata TZ ndugu

Tunajadili mambo kwa manufaa ya Taifa, sio kila jambo linalojadiliwa ni la MUHUSIKA. Uzi unaonesha kabisa sipo TZ , but unaniambia nitafute chaka bongo 😩😩😩
 
Unachokishangaa wewe hata namba1 alishakishangaa na ikaishia hapo
 
Sio rahisi kubadilisha mfumo hasa wenye manufaa kwa serikali, hapo labda wawashushe wote wawe sawa 🤣
 
Kila taasisi ina rate yake na majukumu tofauti japo mengine yana fanana
 
Iko hivi kuna askari polisi, askari magereza, askari jeshi la uhifadhi, at level ya private, uhifadhi wanawakimbiza wote, wanakaribia 900k, wakat wengine not even close to 700k

Why na wako level moja?

Jibu ni moja tu, kila taasis ina function tofauti, md anaeenda NIMR anaenda kubase kwenye research, research oriented works.
Mwingine ataenda hospital za wilaya, different field kabisa atakutana na different work

Kila taasis inakuwa na rate todauti kwenye position zao kutokana na aina za kazi wanazokuwa nazo kwenye hizo position

Hawapangi mishahara based on usawa wa elimu, haijawahi kuwa hivyo
 
HUJAELEWA CONTEXT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…