Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mada imeeleza vizuri sana, ila huelewi kilichoandikwa unakurupuka kujibu.Jibu ni Madaraja. ......
Ndo maana mnalipwa tofauti maana hamna uelewa na kinachoendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada imeeleza vizuri sana, ila huelewi kilichoandikwa unakurupuka kujibu.Jibu ni Madaraja. ......
Nafanya kazi private, naelewq unachoongea. Private wanaajiri Competency …. Na in private salary itatofautiana na mtu mlioingia nae sawa kutokana na bargain power yako. That is not Utumishi. Nimefanya kazi Serikalini piaNavyojua mimi hata grade za mishahara zina range, yaani unakuta ni grade moja lakini ina mshahara wa chini mpaka wa juu.... so siyo laIma mishahara ifanane mkiwa level moja....hii nimeona sana kwenye makampuni ya private....sina uzoefu serikalini
Sasa ndio wanapaswa ku standardize mishahara kwa sababu hatuwezi wote kufanya kazi NIMR au NHIF. Wapo watakaopaswa kubaki BOT , wapo watakaopaswa kwenda vituoni…. So isiwe kwenda vituoni ni adhabu….HAPA UTUMISHI ni lazima wskae chini waangalie namna ya ku stabdardize mishahara……..hakuna cha taasisi wala vituoniUtaambiwa MNH ni moja tuu Tz, NIMR ni moja tuu, NHIF ni moja tuu, kwahiyo hata wakilipana mishahara mikubwa haiathiri payroll
Sasa Vituo vya afya kila kata nchi nzima hospitali za wilaya nchi nzima serikali haiwezi walipa kama hao wengine
(Hayo ndio majibu yao)
Walimu, madaktari, manesi wa halmashauri hamuwezi kulipa sawa kama wanajeshi sababu mpo wengi
Hili ndio lifanyiwe kaziKuna tofauti ya mishahara kati ya mashirika ya umma na serikali kuu na halmashauri.
Mashirika yenyewe Kwa yenyewe yanatofautiana mishahara.
Hivyo ndivyo ilivyo kwenye utumishi wa umma wa Tanzania
Wote mmesoma chuo kimoja kozi moja mmemaliza mwaka mmoja. ufaulu sawa.
Mmoja kapata kazi kazi udsm kama afisa tawala drj 11 na mwingine kapata kazi tanapa kama afisa tawala dry 11 hao watu mishahara yao ni tofauti.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣HILI NALO MKALITAZAME.
Namuagiza Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable waende wakaangalie ni kwa namna gani tunaweza kusawazisha mishahara kwa wote.
Tumeanza kusikia vichokochoko na vijikelele kutoka kwa madaktare wakililia maokoto, sasa nawaagiza ninyi mwende mkalifanyie kazi kisha mnirudishie ripoti yenye HADIDU REJEA.
Mimi ni MAMA na ninyi ni MACHAWA WANGU, MKINIKUNA NITAWAKUNA.
Cc: Nyani Ngabu Lamomy Extrovert secretarybird Poor Brain Yohimbe bark
Nakuunga mkonoHili jambo tulilijadili sana
Kuna mpuuzi mmoja alisema wengine wanazalisha that's why wanalipwa vizuri zaidi. Hili jibu ni kichaa pekee ataliona lina mashiko.
Watumishi wa NEC wanazalisha nini?
Wanajeshi wanazalisha nini? Ukiondoa jkt ambao hata wao productive yao ni ndogo kuliko consuming yao .
PCCB wanazalisha nini ?
Mwingine akasema job description hutofautiana na kufanya wengine wawe busy zaidi kuliko wengine. Hili jibu kidogo linakuja lakini hii ilibidi posho ndio iamue sio level ya mshahara.
Haiwezekani mlinzi entry wa bandari mwenye four ya 31 na cheti cha mgambo au jkt amzidi mshahara engineer wa SIDO au halmashauri.
Serikali yenyewe imeandaa mfumo wa kuwafanya watumishi wakose UZALENDO na sasa ni mwendo wa kuiba tu.
Tuleni sawasawa na urefu wa kamba zetu
Kikubwa kama unaona huko Kuna pesa kubwa ni kupambana nawe uhamie huko.. mbona watu wanafanya.. Always Dunia hii haina equalityWow
Huu ni mwisho wa kufikiriKikubwa kama unaona huko Kuna pesa kubwa ni kupambana nawe uhamie huko.. mbona watu wanafanya.. Always Dunia hii haina equality
Kwa sasa hivi unachoweza kufanya ni tafuta chaka mkuu, unajua kabisa utumishi mshahara kiduchu, subiri ikulu watangaze nafasi za nurse wa Raisi huko Per diem kila siku.Great… kwa kuwa wote ni SERIKALI lazima kuwe na standardization. Najua Utumishi wana hilo DOKEZO na NGOSHA awamu yake ya pili alikuwa anakwendq kufanya standardization kuleta Tija
Hata kama pesa ya wafadhili but zote ni za Serikali
NIMR ipo chini ya Utumishi
Kwanini unadhan mimi ndio nina shida kazi, I am the citizen of the World , sipo hata TZ nduguKwa sasa hivi unachoweza kufanya ni tafuta chaka mkuu, unajua kabisa utumishi mshahara kiduchu, subiri ikulu watangaze nafasi za nurse wa Raisi huko Per diem kila siku.
Unachokishangaa wewe hata namba1 alishakishangaa na ikaishia hapoSasa ndio wanapaswa ku standardize mishahara kwa sababu hatuwezi wote kufanya kazi NIMR au NHIF. Wapo watakaopaswa kubaki BOT , wapo watakaopaswa kwenda vituoni…. So isiwe kwenda vituoni ni adhabu….HAPA UTUMISHI ni lazima wskae chini waangalie namna ya ku stabdardize mishahara……..hakuna cha taasisi wala vituoni
Unakuta Mtu wa taasisi kama NIMR wanalipana Furniture, mafuta, mawasiliano etc ……kwanini Mtu wa vituoni au Hospital nae asilipwe…….. wote si ni watumishi ?
Pesa zote ni za Serikali…. Whether taasisi inazalisha au hapana, Je mlitaka taasisi zote ziwe ni zalisha?
Lazima tuwe na taasisi za huduma
Standardization ni LAZIMA
Sio rahisi kubadilisha mfumo hasa wenye manufaa kwa serikali, hapo labda wawashushe wote wawe sawa 🤣Kwanini unadhan mimi ndio nina shida kazi, I am the citizen of the World , sipo hata TZ ndugu
Tunajadili mambo kwa manufaa ya Taifa, sio kila jambo linalojadiliwa ni la MUHUSIKA. Uzi unaonesha kabisa sipo TZ , but unaniambia nitafute chaka bongo 😩😩😩
Kila taasisi ina rate yake na majukumu tofauti japo mengine yana fananaMoja ya Jambo ambalo sikuwahi kulielewa wakati nipo TZ ni hili!
MD aliemaliza MUHAS na kwenda kufanya kazi Hospital za Wilaya , hardly kuwa na take home inayozidi laki 9 . The same MD aliyemaliza MUHAS akaenda MNH , take home yake inazidi 1M . Wote hawa wawili wapo level moja ya UDAKTARI wote ni general physician , or general nurse or general famacist!
Nurse anaefanya kazi tumbi na Nurse anaefanya kazi NIMR level ile ile, mmoja atalipwa laki 7 na mwingine atakuwa na take home ya 1.5 , wote walisoma MUHAS na wote wakaajiriwa kwa wakati mmoja na wote mishahara yao inatoka serikali kuu haijalishi ni taasisi au ni Hospital lakin wote ni watumishi wa Umma wenye level moja but taasisi tofauti
Mfamasia anaefanya kazi Hospital ya Wilaya ya Kigonsera huko Songea level ile ile , elimu ile ile , chuo kile kile…. na mwenzie alieajiriwa TMDA watakuwa na mishahara tofauti na benefit tofauti. Wa Kigonsera atalipwa take home ya laki 7 na wa TMDA atalipwa take home 2M.
Sasa hoja ya msingi Utumishi mtuambie, ni nini tofauti ya hawa wawili ya KIMSIMGI? NASISITIZA HAWA WATU WANAMADARAJA SAWASAWA ..LETS SAY WOTE WAMETOKA SHULE LEO NA KWENDA KUAJIRIWA TAASISI 2 TOFAUTI
kwanini hawa watu wawe na salary tofauti na benefits tofauti? Mmoja alipwe laki 7 mwingine 1.5M ……I don’t understand what does that mean ?
Je mnatumia vigezo gani?
Hivi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul the Innocent na Mkuu wa Mkoa Dar , Tabora?wanamishahara tofauti?
Je Waziri wa Afya anamshahara tofauti na Waziri wa elimu?
Kama Jibu ni hapana, kwanini Lower cadre of the same level wana differ ?
Au kosa na dhambi ni kuajiriwa Halmashauri na huyu mwingine blessing ni kuwa MOI?MNH TMDA TBS ?
Sina maana watu washushwe MISHAHARA hapana, namaqnisha STANDARDIZATION ya Mishahara ya watumishi ni LAZIMA. Wale wa chini nao waje juu, kuwe na standardization ya benefits pia.Kama hawa watalipwa Usafiri na communication allowance na food allowance basi na hawa walipwe…..si ni wote watumishi wa Umma? Wote wanitumikia serikali ile ile … sasa iweje watu wa ngazi moja wawe na salary tofauti chini ya Utumishi mmoja, nchi moja??
Why ?
Hili Utumishi mnatakiwa mfanye study kisha muje na STANDARDIZATION Ya mishara ya watumishi wote..nchi nzima. otherwise ni monkeys see monkeys do ….. shame
Dr Megalodon
WHO Regional Office
Rue 52, Ottawa
Canada
Iko hivi kuna askari polisi, askari magereza, askari jeshi la uhifadhi, at level ya private, uhifadhi wanawakimbiza wote, wanakaribia 900k, wakat wengine not even close to 700kNafanya kazi private, naelewq unachoongea. Private wanaajiri Competency …. Na in private salary itatofautiana na mtu mlioingia nae sawa kutokana na bargain power yako. That is not Utumishi. Nimefanya kazi Serikalini pia
Nielezee, I am general physian fresh from school , na we ni general physian fresh from school . Nikaajiriwq MUHAS na wewe Ukaenda NIMRI. Huko NIMR unakula 4 M ON MONTHLY….. MUHAS nakula 1.2 tu ;
Tell me hiyo range ya mishahara unayozungumzia we ina base kwenye nini ?
what is range by the way ….?
As for utumishi mshahara utatofautiana kulingana namba of years ofisini, na specialization
Mtu wa NIMR atafanya kazi aliyoomba, Mtu wa MUHAS atafanya kazi aliyoomba….. wapo daraja moja wote watumishi wote wapo chini Utumishi…….what is the privelege wa MUHAS ale 1.2 with his ass off from morning to evening and wa NIMR ale 4M
This is what I am Talking
Be realistic , make sure unaeelwa the context
HUJAELEWA CONTEXT.Iko hivi kuna askari polisi, askari magereza, askari jeshi la uhifadhi, at level ya private, uhifadhi wanawakimbiza wote, wanakaribia 900k, wakat wengine not even close to 700k
Why na wako level moja?
Jibu ni moja tu, kila taasis ina function tofauti, md anaeenda NIMR anaenda kubase kwenye research, research oriented works.
Mwingine ataenda hospital za wilaya, different field kabisa atakutana na different work
Kila taasis inakuwa na rate todauti kwenye position zao kutokana na aina za kazi wanazokuwa nazo kwenye hizo position
Hawapangi mishahara based on usawa wa elimu, haijawahi kuwa hivyo