Kwanini Mishahara ya watumishi ambao wapo ngazi moja inatofautiana? Je, Utumishi huwa mnafanya kazi kisayansi kweli?

Kaka umeongea Point sana.
Serikalini wamekaa watu wenye uwezo mdogo sana tatizo ndio wenye maamuzi
 
Hujatumia akili kabisa yani ww n kilaza sana asee...unakuta ajira imetangazwa ya Halmashaur wenye maakili na MaGPA wameomba wametoboa baadae inatangazwa ya MNH wanaomba waliokosa Halmashaur wanaomba huko MNH wanapenya.
 
Ww hujaelewa kabisaaa tunachoongea ,kila kitu mnafanana mfano GPA,Jinsia,Chuo ,kozi na interview mnatoboa wote ww upangiwe MUHAS yenye vifaa vzr ulipwe Million
4,alafu mm nipangwe Masasi ambayo huduma kwanza za shida afu nilipwe laki 7 kwl
 
Kwa nini unazungumzia take home ambayo muda wowote inaweza kubadilishwa na mkopo wa bank au wa masomo au jambo lolote la kutakiwa kukatwa katika kituo cha kazi?
 
4 m? Endeleeni kudanganyana
 
Hujatumia akili kabisa yani ww n kilaza sana asee...unakuta ajira imetangazwa ya Halmashaur wenye maakili na MaGPA wameomba wametoboa baadae inatangazwa ya MNH wanaomba waliokosa Halmashaur wanaomba huko MNH wanapenya.
Mi nadhani logic behind ndio hiyo ya tofauti ya performance hasa tangazo likitangazwa pamoja (MDA'S AND LGA'S)

Ila udhaifu wa huu mfumo hawakuaangalia kwa upana kua vipi ikitokea siku halmashauri inauhaba wa watumishi ikatoa tangazo kivyake inamaana itapata watu best na haiwezi ikawaacha.

Sasa kama ni kulaumu basi alaumiwe aliyeomba hiyo kazi na kusini mkataba... Inamaana awe anachagua kazi/anaomba za wizara Taasisi na mashilika tu, zikitoka za halmashauri awe anaacha, kitu ambacho ni ngumu kukifanya kwa usawa huu wa ajira chache.
Hapo kila mmoja ana equal chance.
unakuta ajira imetangazwa ya Halmashaur wenye maakili na MaGPA wameomba wametoboa baadae inatangazwa ya MNH wanaomba waliokosa Halmashaur wanaomba huko MNH wanapenya.

😁😁😁Tatizo liko kwenye mshahara...

Yani mshahara ukiwa sawa kwa wote watu wa halmashauri watakua wanaadvantage zaidi... Na hawa wakwenye Taasisi watalalamika kwakua kunautofauti wa majukumu mkubwa tu unaogharimu muda na gharama za maisha.
 
Ww hujaelewa kabisaaa tunachoongea ,kila kitu mnafanana mfano GPA,Jinsia,Chuo ,kozi na interview mnatoboa wote ww upangiwe MUHAS yenye vifaa vzr ulipwe Million
4,alafu mm nipangwe Masasi ambayo huduma kwanza za shida afu nilipwe laki 7 kwl
Basi hapo ni tofauti ya majukumu ya kazi ndio inasababisha.

We fikiria soda(Pepsi) ya kwamama ntilie ni 600, pia Pepsi hiyo hiyo ni 2000 ukiingia hotelini sasa nini kimeleta tofauti, bila shaka ni tofauti ya mazingira na huduma katika hayo maeneo mawili.
 
Umechukulia Pepsi umeenda nje Mama ntilie linganisha na mama ntilie alafu hotel vs Hotel....

Kazi za Halmashauri Ya Tabora haziwezi kutofautiana na Singida...ila mishahara inatofautiana...La msingi hapa ni kuwa hakuna usawa hapa Duniani kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Ulifaulu mtihani kwa kiwango gani?
Nawe ungeajiriwa TMDA badala ya Tamisemi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…