Kwanini Misri inayafaidi zaidi maji ya Ziwa Victoria kuliko sisi wenye nayo?

Updates,
Baada ya utafiti kidogo nimegundua kuwa hili ziwa tunalimiliki kwa location tu na hatuna uhuru nalo.
ndio maana wamisri huwa wanakuja kutuchimbia visima huku ili kutuondolea mawazo ya kutumia maji ya ziwa hili.
inaonekana hata tukiforce inaweza sababisha hata military conflict.
 
Tulitumie tu, military conflict ni nzuri ili pia na sisi tufanye mazoezi tusije kuwa kama jeshi la Kenya japo ni risk
 

kama 60% ya maji ya mto nile yanatoka ethiopia,kwa nini tukiyagusa wamisri wanaongea sana?
unafikiri kwa nini wamisri wanatuchimbia visima sana huku?
 
Umesema wamisri walipinga sana, tafsiri yake ni kwamba hatuna mamlaka na maji hayo hata kama yapo kwetu.

na kama wametulia maana yake pia hatuyatumii ipasavyo bado wanafaidika wao.
Subiri mradi uishe tutapata picha kamili
 
mpaka sasa maji yamefika igunga sheria tabora nzega kahama
 
Wamisri na wasudan wamekuwa wanufaika wa maji hayo tokea enzi za Nabii Musa maana mto nile ulikuwepo tu kwa hiyo kama leo hii ndio mnashtuka basi mmechelewa sana wakuu
 
Sababu Hatuna Nguvu Ya Kijeshi.

Tuyatumie Tutakavyo, Kisha Wakileta Vurugu Watulizwe Kijeshi, Hiyo Mikataba Ya Kikoloni Ni Mapambo Tu..

Ethiopia Walikataa Kabisa Kuwasikiliza Mbona Wakatulia..
 
Wewe umetumia kipimo gani kuwa haupo hata kumi bora ilhali kama ni discharge upo 7th na catchment area ni wa 9?
Kipimo cha dicharge rate. Nile haiwezi kuwa ya 7. Weka list. Na ukubwa wa mto haupimwi kwa Catcment area.
 
kama 60% ya maji ya mto nile yanatoka ethiopia,kwa nini tukiyagusa wamisri wanaongea sana?
unafikiri kwa nini wamisri wanatuchimbia visima sana huku?
Asilimi karibu 30 si ndogo. Wanahitaji kila tone
 
Hamna akili ndo shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…