Checnoris Senior Member Joined Aug 21, 2022 Posts 123 Reaction score 269 Oct 4, 2022 #1 Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
Kilawo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 1,631 Reaction score 2,778 Oct 4, 2022 #2 Hapana mwaka 2012 walifanya juma tatu na juma nne
Dorome JF-Expert Member Joined Nov 11, 2021 Posts 397 Reaction score 746 Oct 4, 2022 #3 Checnoris said: Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika sikubya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunz wanaofanya mitihani yao. Ameen Click to expand... Kwa mujibu wa kalenda ya necta siku ya jumatano na Alhamis ndio zimependekezwa ziwe siku za mitihani ya darasa la saba na la nne iwe inafanyika tz nzima. Ni mapendekezo tu ya necta.
Checnoris said: Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika sikubya J5? Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunz wanaofanya mitihani yao. Ameen Click to expand... Kwa mujibu wa kalenda ya necta siku ya jumatano na Alhamis ndio zimependekezwa ziwe siku za mitihani ya darasa la saba na la nne iwe inafanyika tz nzima. Ni mapendekezo tu ya necta.
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Oct 4, 2022 #4 Sina hakika sana kama utaratibu wa J'5 ulikuwepo mwaka 2004 kurudi nyuma Kipindi mitihani yote ikifanyika kwa siku moja.
Sina hakika sana kama utaratibu wa J'5 ulikuwepo mwaka 2004 kurudi nyuma Kipindi mitihani yote ikifanyika kwa siku moja.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 4, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...