Kwanini mitihani ya kumaliza darasa la Saba inafanyika kama sio Jumatano basi Alhamisi

Kwanini mitihani ya kumaliza darasa la Saba inafanyika kama sio Jumatano basi Alhamisi

Checnoris

Senior Member
Joined
Aug 21, 2022
Posts
123
Reaction score
269
Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5?

Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
 
Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika sikubya J5?

Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunz wanaofanya mitihani yao. Ameen
Kwa mujibu wa kalenda ya necta siku ya jumatano na Alhamis ndio zimependekezwa ziwe siku za mitihani ya darasa la saba na la nne iwe inafanyika tz nzima.

Ni mapendekezo tu ya necta.
 
Sina hakika sana kama utaratibu wa J'5 ulikuwepo mwaka 2004 kurudi nyuma Kipindi mitihani yote ikifanyika kwa siku moja.
 
Back
Top Bottom