figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mkuu wa Mkoa wa Mara amewakaribisha viongozi, watendaji na wananchi wote kushiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Mwenge wa Mwitongo yatakayofanyika nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwitongo tarehe 1 Agosti, 2024.
Mwenge wa Mwitongo ni mwenge wa Kabila la Wazanaki ambao upo Nyumbani kwa Baba wa Taifa na unawashwa kila mwaka Mbio za Mwenge wa Uhuru zikiwa katika Mkoa wa Mara tangu mbio hizo zilipoanzishwa mwaka 1964.
MY TAKE;
1. Je, Sheria za Nchi zinautambua?
2. Je, ni kweli kwamba ni Mbadala wa Mwenge wa Uhuru pindi atakapotea Rais ambaye hana Mapenzi na Mwenge wa Uhuru na akauweka Makumbusho, kwamba huo wa Mwitongo ndo utaendelea kuwashwa kama mbadala?
Mwenge wa uhuru ukiwa unawasha mwenge wa asili ulioko Mwitongo nyumbani kwa Baba wa Taifa wilayani Butiama mkoani Mara
Tangu kuwashwa kwa mwenge wa Uhuru mwaka 1961, mwenge wa Mwitongou liopo nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere huwau nawashwa kila mwaka na unajizima wenyewe baada ya mafuta kuisha.