ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 262
- 464
Kasumba tuu ila Kila zao linaweza kubali.Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo.
Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa kiasi kikubwa sokoni ? Nawasilisha .
Nakubaliana na wewe, nimeshangaa kuona wafanyabiashara wengi masokoni wanaagiza hayo mazao mbali.Kasumba na Maziwa tuu ila Kila zao linaweza kubali.
Pili kupata Nguvu kazi huko ni ishu Kwa sababu Vijana wanakimbilia Dar na Pwani.
Umeshaona shida ilipo hapachanzo cha maji cha kuaminika
Wale matajiri wakiuza mafuta wanapata vyote hivo.Kwa nini saudi arabia hakuna nguruwe na ng'ombe.
mabwawa yapo kipindi cha mvua kama kweli hili zao linakubali unaweza lima labda inshu inakuja kipindi cha kiangazi, au unamaanisha mikoa mingine ina vyanzo vingi vya maji kwa mwaka mzima ukilinganisha na Mtwara ?Umeshaona shida ilipo hapa
Kwahiyo boss Maharage na vitunguu havikubali? , mana nadhani maharage yanasoko kuliko kunde .Huku tunalima kunde, njugumawe na mbaazi .... Time speshalaizi humo usisahau choroko.
Kwa Maharage hasa uzalishaji mkubwa sharti mvua ziwe za uhakika.mabwawa yapo kipindi cha mvua kama kweli hili zao linakubali unaweza lima labda inshu inakuja kipindi cha kiangazi, au unamaanisha mikoa mingine ina vyanzo vingi vya maji kwa mwaka mzima ukilinganisha na Mtwara ?
Maharage kwa sasa vinashindana Bei na Mchele pengine hata zaidiKwahiyo boss Maharage na vitunguu havikubali? , mana nadhani maharage yanasoko kuliko kunde .
Sasa hapo nimekupata, unamaanisha ikiwepo miundombinu ya kumwagilia unaweza lima. Hali ya joto si changamoto nadhani .Kwa Maharage hasa uzalishaji mkubwa sharti mvua ziwe za uhakika.
Lakini kule Kunde zinazaa sana na ni jamii ya Maharage.Mtwara sehemu kubwa maharagwe hatakubali sababu ya joto na mvua.
Siyo kwamba ukipanda jayaoti la hasha. Yanaota yanastawi Sana lakini hayazai vizuri.
Kuna faida gani kulima kwa gharama au nguvu kubwa unaishia kupata gunia moja kwenye hekari 1?
Fanya uchunguzi utagundua hiki suala.
Mkuu ungedadavua kisayansi zaidi pengine tungepata majibu..Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo.
Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa kiasi kikubwa sokoni ? Nawasilisha
Yeah inawezekana lakini itabidi uwe na mifumo ya umwagiliaji ambayo sio rahisi kwa wakulima wa kawaidaSasa hapo nimekupata, unamaanisha ikiwepo miundombinu ya kumwagilia unaweza lima. Hali ya joto si changamoto nadhani .
Kabisa, yani harage dukani bei ya rejareja ni 3000 nadhani kwa mtwaraMaharage kwa sasa vinashindana Bei na Mchele pengine hata zaidi
Sijawah kupata ladha ya njugu mawe nimejikaza lakn wapiii, ni kama tu ming'oko yenu wamalonde nyie😆Huku tunalima kunde, njugumawe na mbaazi .... Time speshalaizi humo usisahau choroko.
Hahahha......Kwenye Mbaazi Mkuu nawanyoshea Mikono Juu.Huku tunalima kunde, njugumawe na mbaazi .... Time speshalaizi humo usisahau choroko.
Nadhani kwenye joto hapo ndo kipengele kilipo kwa sababu hakuna namna ya kuepuka kuhusu maji unaweza mwagilia kama mvua ikiwa ndogo sana.Mtwara sehemu kubwa maharagwe hatakubali sababu ya joto na mvua.
Siyo kwamba ukipanda jayaoti la hasha. Yanaota yanastawi Sana lakini hayazai vizuri.
Kuna faida gani kulima kwa gharama au nguvu kubwa unaishia kupata gunia moja kwenye hekari 1?
Fanya uchunguzi utagundua hiki suala