Hayo mazao niliyotaja ndio yanaliwa zaidi kwa soko la kusini, hapo ukiongeza mihogo.....Kwahiyo boss Maharage na vitunguu havikubali? , mana nadhani maharage yanasoko kuliko kunde .
Ndiyo baadhi ya maeneo unaweza kulima.Nadhani kwenye joto hapo ndo kipengele kilipo kwa sababu hakuna namna ya kuepuka kuhusu maji unaweza mwagilia kama mvua ikiwa ndogo sana.
Baadhi ya maeneo kama Mewala huwa wanakipindi cha baridi. Kwa mantiki hiyo wao wanaweza kulima.
Nilisoma guidebook kutoka TARI inaonesha mikoa na wilaya zinazolima maharage kwa mfano imeonesha katavi wilaya ya Mlele ambayo udongo wake una PH ya 6 mpaka 8, joto 15-30, kuna udongo tifu tifu pia kichanga , na 800-2200 mwinuko kutoka usawa wa mahari.Mkuu ungedadavua kisayansi zaidi pengine tungepata majibu..
Kwa mfano PH ya udongo inayofaa kwa maharage na vitungu na hali ya hewa nyuzi joto. Halafu tuone mtwara inakidhi vigezo hivyo?
Na ndo hapahapa nikipopataka, hayo mazao yanayouzwa nje ya nchi mengi yanauzwa kwa minada(yanawekwa ghalani kwanza) kabla hata bei haijatangazwa. Mwisho wa siku mara nyingi bei hazimnufaishi mkulima kwa sababu ya janja janja nyingi. Na ndio maana nikaja na hili wazo la watu kulima mazao mengine yenye soko ambayo hayasubiri MINADA .Hayo mazao niliyotaja ndio yanaliwa zaidi kwa soko la kusini, hapo ukiongeza mihogo.....
haukukuwa na kawaida ya kusini kuleta mazao Dar, mazao yake yanaenda India kwa meli, korosho, dengu, choroko, karanga na njugu mawe ndio maana zinalimika miaka naenda Rudi.
Kwa soko la Comoro mfumo unaweza ukabadirika kidogokidogo
Sawa sawa, vitunguu pia ni same case kama maharage tu. Kuna variety zinastawi kwenye joto kama red bombay hizi unaeza kulima hata maeneo ya pembezoni mwa mji hasa kwa kipindi cha baridi. Hii ni kulingana tu na analysis niliyofanya based on theory , bhado sijaingia field .Ndiyo baadhi ya maeneo unaweza kulima.
Njugu mawe weka nazi na sukari , utainjoi sana . Usiombe ule na tambi kipindi cha Ramadhani ni tamu haswaa.Sijawah kupata ladha ya njugu mawe nimejikaza lakn wapiii, ni kama tu ming'oko yenu wamalonde nyie😆
Nakubaliana na hoja Yako 100%, ila nilipo anzia ni kujaribu kuonyesha Hilo ni tatizo la kihistoria. Kama ambavyo ni nadra kumuona ng'ombe kusini.Na ndo hapahapa nikipopataka, hayo mazao yanayouzwa nje ya nchi mengi yanauzwa kwa minada(yanawekwa ghalani kwanza) kabla hata bei haijatangazwa. Mwisho wa siku mara nyingi bei hazimnufaishi mkulima kwa sababu ya janja janja nyingi. Na ndio maana nikaja na hili wazo la watu kulima mazao mengine yenye soko ambayo hayasubiri MINADA .
Kabisa mkuu, kuhusu pamba nimesoma mahali wanasema pamba inazaa vizuri lakini kuna changamoto ya mdudu mwaribifu( mdudu anaehaharibu pamba kwa asilimia 100 ikiwa shambani) ambae anaitwa funza mwekundu. Na taasisi za Kilimo wameshindwa namna ya kumzuia. Kwahiyo suluhisho wameona ni kupiga marufuku uzalishaji wa zao hilo kwa mikoa ya kusini .Nakubaliana na hoja Yako 100%, ila nilipo anzia ni kujaribu kuonyesha Hilo ni tatizo la kihistoria. Kama ambavyo ni nadra kumuona ng'ombe kusini.
Kusini inao uwezo wa kuzalisha pamba kwa wingi/hekta kuliko Kanda ya ziwa..... yote ni Historia.
Hoja Yako ni kusini inahiyaji mtazamo mpya wa uzalishaji wa mazao yenye tija zaidi kwenye soko kwa hilo naungana na wewe 100%
Nilikuwa na mpango nitoboe maji kijijini kwetu wilaya ya newala ila watu wa kule wananiambia maji inawezekana yasipatikane au gharama nikashindwa... nilikuwa na nia nifanye kilimo cha bustaniNa ndo hapahapa nikipopataka, hayo mazao yanayouzwa nje ya nchi mengi yanauzwa kwa minada(yanawekwa ghalani kwanza) kabla hata bei haijatangazwa. Mwisho wa siku mara nyingi bei hazimnufaishi mkulima kwa sababu ya janja janja nyingi. Na ndio maana nikaja na hili wazo la watu kulima mazao mengine yenye soko ambayo hayasubiri MINADA .
Kwani huko hamna watu wenye visima vya kutoboa?, fanya uchunguzi kama wapo waulize gharama walizotumia. Maji lazima yawepo labda hilo suala la gharama linamantiki.Nilikuwa na mpango nitoboe maji kijijini kwetu wilaya ya newala ila watu wa kule wananiambia maji inawezekana yasipatikane au gharama nikashindwa... nilikuwa na nia nifanye kilimo cha bustani
Kiukweli huku hakuna waliotoboa ila niliongea na kampuni moja wakaniambia survey ni laki 8Kwani huko hamna watu wenye visima vya kutoboa?, fanya uchunguzi kama wapo waulize gharama walizotumia. Maji lazima yawepo labda hilo suala la gharama linamantiki.
Duuuh kweli gharama na hapo ni survey tu bado gharama za kuchimba.Kiukweli huku hakuna waliotoboa ila niliongea na kampuni moja wakaniambia survey ni laki 8
Vipi maundo maji ni shida!?Nilikuwa na mpango nitoboe maji kijijini kwetu wilaya ya newala ila watu wa kule wananiambia maji inawezekana yasipatikane au gharama nikashindwa... nilikuwa na nia nifanye kilimo cha bustani
Maundo maji sio shida si wako karibu na mtoni ruvumaVipi maundo maji ni shida!?
Okay AsanteMaundo maji sio shida si wako karibu na mtoni ruvuma
Chanzo cha maji cha uhakika hakuna, na hata yaliyopo hayafai kwa umwagiliaji kwa kuwa yana chumvi, Mtwara wanategemea maji ya kunywa ya Ndanda spring kutoka Ndanda yanauzwa kwa ndoo kubwa kwa bei ya 2000 na ndogo 1500 na ya mvua ambayo yanauzwa lita moja na nusu ya baridi kwa shilingi mia tano, kutoka mto Ruvuma kuja Mtwara sio mbali cha kushangaza serikali ya ccm imeshindwa kwenda kuchukukua hayo maji kuleta Mtwara, kutoka Mtwara hadi Dar kuna umbali wa km 566 ila imeweza kuchukua gesi kutoka Mtwara hadi Dar Es Salaam.Hali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo.
Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa kiasi kikubwa sokoni ? Nawasilisha .
Hii nayo ni fact Gas WAMEWEZA maji WAMESHINDWA. Kwahiyo inshu ni maji lakini udongo na hali ya hewa vinasupport hicho kilimo.Chanzo cha maji cha uhakika hakuna, na hata yaliyopo hayafai kwa umwagiliaji kwa kuwa yana chumvi, Mtwara wanategemea maji ya kunywa ya Ndanda spring kutoka Ndanda yanauzwa kwa ndoo kubwa kwa bei ya 2000 na ndogo 1500 na ya mvua ambayo yanauzwa lita moja na nusu ya baridi kwa shilingi mia tano, kutoka mto Ruvuma kuja Mtwara sio mbali cha kushangaza serikali ya ccm imeshindwa kwenda kuchukukua hayo maji kuleta Mtwara, kutoka Mtwara hadi Dar kuna umbali wa km 566 ila imeweza kuchukua gesi kutoka Mtwara hadi Dar Es Salaam.
kuna sehemu watu wanalima kitunguu fresh kabisa na wanakipiga vizuri tu mfano maeneo ya mnachu,nakiu na maeneo mengine yenye vyanzo vya maji japo ni kwa uchache tuHii nayo ni fact Gas WAMEWEZA maji WAMESHINDWA. Kwahiyo inshu ni maji lakini udongo na hali ya hewa vinasupport hicho kilimo.
Uziii huu usindikizwe na pichaa ni muhimu SANAAAAAA tena sana sanaa sanaaHali ya joto na aina ya udongo iliyopo mkoa wa Mtwara inaruhusu kabisa kufanya kilimo cha mazao ya Maharage na Vitunguu endapo tu utakuwa na chanzo cha maji cha kuaminika lakini watu hawalimi mazao hayo.
Je, wadau wa kilimo mnadhani kwa nini watu hawalimi hayo mazao ingawa yanahitajika kwa kiasi kikubwa sokoni ? Nawasilisha .