M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 8,048 Reaction score 15,651 Jan 26, 2026 #41 Mnachihanguuu said: Nilikuwa na mpango nitoboe maji kijijini kwetu wilaya ya newala ila watu wa kule wananiambia maji inawezekana yasipatikane au gharama nikashindwa... nilikuwa na nia nifanye kilimo cha bustani Click to expand... Tumia wataalam sio maneno kujua kama maji yapo, ni very simple process
Mnachihanguuu said: Nilikuwa na mpango nitoboe maji kijijini kwetu wilaya ya newala ila watu wa kule wananiambia maji inawezekana yasipatikane au gharama nikashindwa... nilikuwa na nia nifanye kilimo cha bustani Click to expand... Tumia wataalam sio maneno kujua kama maji yapo, ni very simple process
ormystatus JF-Expert Member Joined Nov 3, 2019 Posts 262 Reaction score 464 Jan 26, 2026 Thread starter #42 Dr am 4 real PhD said: Uziii huu usindikizwe na pichaa ni muhimu SANAAAAAA tena sana sanaa sanaa Sisi ambao HATUJAWAI kufika ntwaraa tufanyejee? Tuone huo udongo wa Ntwaraaa.. Click to expand... Kwa sasa sipo Mtwara, nikipata picha za mashambani nitaziweka. Au walio Mashambani wanaweza kutusaidia Picha.
Dr am 4 real PhD said: Uziii huu usindikizwe na pichaa ni muhimu SANAAAAAA tena sana sanaa sanaa Sisi ambao HATUJAWAI kufika ntwaraa tufanyejee? Tuone huo udongo wa Ntwaraaa.. Click to expand... Kwa sasa sipo Mtwara, nikipata picha za mashambani nitaziweka. Au walio Mashambani wanaweza kutusaidia Picha.