GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kisayansi, haki hiyo imesabishwa na nini?Maeneo haya yapitiwa na safu za milima Livingstone Njombe ,Mbeya, Ruvuma,
Fika mbinga milima kibao, na Kona nyingi sana, .
Na ndo mana wakaziita Kanda za nyanda za juu kusini. Zinamiinuko kuanzia 1300 kutoka usawa wa bahari.
Asante kunikumbusha!Umewahi kufika ngorongoro mkuu
Mkuu inamaana hata Geography ya O level hukusoma?Nimeishi Mwanza!
Nimefika Chunya mkoani Mbeya.
Nimeshafika Iringa.
Zanzibar napafahamu.
Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.
Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.
Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.
Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.
Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
Usipoelewa hata hapa alichokigusia Eng. Zezudu utahitaji tukurudishe darasani mwanzo kabisa wa Earth's structureMaeneo haya yapitiwa na safu za milima Livingstone Njombe ,Mbeya, Ruvuma,
Fika mbinga milima kibao, na Kona nyingi sana, .
Na ndo mana wakaziita Kanda za nyanda za juu kusini. Zinamiinuko kuanzia 1300 kutoka usawa wa bahari.
Wazee wa zamani walikosea pakuanzisha mji mbona njombe kuna sehemu zipo vizuri kasolo mji ndo hakuna.Nimeishi Mwanza!
Nimefika Chunya mkoani Mbeya.
Nimeshafika Iringa.
Zanzibar napafahamu.
Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.
Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.
Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.
Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.
Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
Nangoja jibu kwa mtaalamuMkuu inamaana hata Geography ya O level hukusoma?
Usipoelewa hata hapa alichokigusia Eng. Zezudu utahitaji tukurudishe darasani mwanzo kabisa wa Earth's structure
Kijiografi ndo maana wanasema nyanda za juu kUsini inamaana ukanda wa juu mkoa wanjombe eneo lake kubwa Lina milima hasa halmashauri za ludewa DC,makete dc njombe tc na lupembe pia mkoa wa njombe una eneo lenye tambalale kubwa zaidi nyanda za juu kUsini Ina cover makambako tc na wangingombe dc Wanaita makambako gapNimeishi Mwanza!
Nimefika Chunya mkoani Mbeya.
Nimeshafika Iringa.
Zanzibar napafahamu.
Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.
Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.
Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.
Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.
Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
Mji wa njombe upo mlimaniWazee wa zamani walikosea pakuanzisha mji mbona njombe kuna sehemu zipo vizuri kasolo mji ndo hakuna.
Ungemuuliza Mwenyezi Mungu muumbaji ndio angekupa majibuNimeishi Mwanza!
Nimefika Chunya mkoani Mbeya.
Nimeshafika Iringa.
Zanzibar napafahamu.
Nimefika na maeneo mengineyo ya Tanzania. Ni mikoa miwili tu ndiyo bado sijafika: Mtwara na Lindi.
Japo nimeona vilima na miinuko maeneo mbalimbali ya Tanzania, sidhani kama kama kuna inayofikia ya Njombe.
Kwa barabara zenye kona nyingi, miinuko na miteremko mikali, huenda Iringa na Njombe inaongoza.
Kwa mkoa wenye vilima na miinuko mingi sana, naipa Njombe nafasi ya kwanza.
Kisayansi, hali hiyo imesabishwa na nini?
Ukipata muda nenda pia lushoto na usisahau pia upareniAsante kunikumbusha!
Naona aibu kukiri kuwa bado sijafika, ingawa nilishawahi kuishi wilaya Jirani na Ngorongoro.
Ikimpendeza Mungu, nitafika huko mwaka huu.
Njombe tc eneo lenye tambarare ilipandwa miti na chai na mwekezajiWazee wa zamani walikosea pakuanzisha mji mbona njombe kuna sehemu zipo vizuri kasolo mji ndo hakuna.
Njombe tc eneo lenye tambarare ilipandwa miti na chai na mwekezaJIWazee wa zamani walikosea pakuanzisha mji mbona njombe kuna sehemu zipo vizuri kasolo mji ndo hakuna.
Fika uko Sasa uone balaa lake.sijafika: Mtwara na Lindi.
Na Mbeya ndio mkoa wenye barabara iliyo kina cha juu kabisa kutoka usawa wa bahari katika Afrika.Nimeishi Mwanza!