Na atuleze kama hachukui tahadhari yoyote ya maambukizi. Asiuzie watu mbuzi kwenye gunia.
aiseee !!!Huko Njombe,Makambako,Iringa ukiona umepiga kavu tu jua tayari ushaunganishwa kwenye miundombinu ya umeme!!
Kwa tz bara ni MANYARA ila zenji ni pembaMtoa mada naomba niunganishe na hili swali pia, Je ni mkoa gani ambao hauna waathirika wengi wa Ukimwi na nini sababu ya kutokua na idadi kubwa ya waathirika wengi kwa mkoa huo?
Hao ndio wakwanza kutembea na kingaNa atuleze kama hachukui tahadhari yoyote ya maambukizi. Asiuzie watu mbuzi kwenye gunia.
Ulikuwa unawapima au ulikuwa una angalia medical recordsuhalisia wa hali ya maambukizi ya ukimwi kwa njombe haupo kama tunavyotangaziwa,nimetembelea vijiji vya wilaya ya makete uhalisia haupo kama tunavyotangaziwa
Ngojea niende kwa watani wangu wa Kibena niwaokoe na Maradhi ya Ukimwi. Wabena nitafuteni nipate kuwatibia Maradhi ya Ukimwi mupate kupona.Ingawa nilikuja kwenu mukanilisha Pombe ya Ulanzi nikatandikwa na Baba yangu bakora kwa kunywa hiyo Pombe ya Ulanzi. Nilifikiri hiyo Pombe ya Ulanzi ni Togwa kama vile sisi Wazaramo tunavyopenda kunywa Togwa kumbe ni Pombe hahahhaahh. Mulinipatia sana kuninywesha pombe ya Ulanzi haya nitafuteni nipate kuwatibia mupate kupona.View attachment 461162
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI.
Swali langu ni la kidadisi(curiosity). Napenda kusikia toka kwa wataalamu na watafiti(kama tafiti zipo), kwanini isiwe majiji na mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza, Mbeya n.k? Kama awali ilikuwa mkoa wa Kagera ndiyo ulioripotiwa mgonjwa wa kwanza na baadaye kuwa na waathirika wengi, ilikuwaje HIV iliruka mikoa ya hapo kati(Shinyanga, Tabora, Dodoma, Singida...) na kuufanya mkoa wa Njombe kuongoza?
Kama ni tohara kwa wanaume je, ni mikoa mingapi Tanzania hii walichelea kufanya tohara? Kwanini mikoa hiyo haijaathirika kiasi hicho? Japo kwa zamani(ninavyokumbuka) wilaya ya Makete(Njombe) ndiyo iliyokuwa ikiongoza na kwa sasa sina taarifa rasmi, bado ni jambo ambalo sina majibu yake, ilikuwaje mkoa wa Njombe uongoze kwa maambukizi?
Naomba wenye kufahamu majibu ya swali langu la msingi wanisaidie.
Kwanini Njombe?
Mkuu, jaribu kuishawishi wizara ya afya ikubaliane na tiba yako scientifically.Ngojea niende kwa watani wangu wa Kibena niwaokoe na Maradhi ya Ukimwi. Wabena nitafuteni nipate kuwatibia Maradhi ya Ukimwi mupate kupona.Ingawa nilikuja kwenu mukanilisha Pombe ya Ulanzi nikatandikwa na Baba yangu bakora kwa kunywa hiyo Pombe ya Ulanzi. Nilifikiri hiyo Pombe ya Ulanzi ni Togwa kama vile sisi Wazaramo tunavyopenda kunywa Togwa kumbe ni Pombe hahahhaahh. Mulinipatia sana kuninywesha pombe ya Ulanzi haya nitafuteni nipate kuwatibia mupate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
Kama ni hivyo, Dar es salaam ingeongozaNiliwahi kumuuliza daktari flani wa njombe hili swali nilichoambiwa ni kuwa njombe kuna hospital kubwa kama ikonda hosp, bulongwa hosp, kibena hosp, ikelu hosp lugarawa na ilembula hosp. Zote ni hosptali kubwa sana hivyo watu wengi wanafika kupata matibabu huko kutoka sehemu mbalimbali na wakipimwa vvu takwimu zinasoma njombe kwakuwa watu wengi hawatoi taarifa sahihi wanatoka wapi... Ila sijui kama ndo uhalisia wenyewe
Watu wa njombe wanatamaduni ya kupima zaidi ya sehem moja huku akitumia majina tofauti kila kituo hasa ikitokea amekutwa na vvu hivyo takwimu zikichuliwa inaonesha waathirika ni wengi lakini si kweli kuwa njombe inaongoza
Can be true somehowNiliwahi kumuuliza daktari flani wa njombe hili swali nilichoambiwa ni kuwa njombe kuna hospital kubwa kama ikonda hosp, bulongwa hosp, kibena hosp, ikelu hosp lugarawa na ilembula hosp. Zote ni hosptali kubwa sana hivyo watu wengi wanafika kupata matibabu huko kutoka sehemu mbalimbali na wakipimwa vvu takwimu zinasoma njombe kwakuwa watu wengi hawatoi taarifa sahihi wanatoka wapi... Ila sijui kama ndo uhalisia wenyewe
Unajua mtu akienda kutibiwa dar basi ni lazima iwe muhimbili au lugalo na lazima anaenda kutibiwa tatizo lililoonekana kushindikana sehemu zingine zote ndo akapelekwa huko... Ukifikiri utaelewaKama ni hivyo, Dar es salaam ingeongoza
Yaitwa mabumundaWale wabena na wakinga wanakula mikate fulani hivi ya asili yaaani ngano tupu,na ile mikate yaleta nguvu ya kugegeda na kugegedwa balaaa
Hii haiwezikuwa sababu. Hali siyo nzuri Njombe.Ni Hatari!!Itakua takwimu zinaonyesha hivo kwa kua wtu wa njombe wanapima sana. Wanakubali kupima si kama mikoa mingine. Yaani njombe iishinde dar kwa ngono, si amini et.
Braza, sijakurupuka kuwe huu Uzi. Watu wanaumia kweli ujue? Nimefanikiwa kutembelea mikoa mingi nikatafiti kwa utafiti usio rasmi sana ila akubaliana kabisa na takwimu za serikali.Unajua mtu akienda kutibiwa dar basi ni lazima iwe muhimbili au lugalo na lazima anaenda kutibiwa tatizo lililoonekana kushindikana sehemu zingine zote ndo akapelekwa huko... Ukifikiri utaelewa
Kuna kitu una missUnajua mtu akienda kutibiwa dar basi ni lazima iwe muhimbili au lugalo na lazima anaenda kutibiwa tatizo lililoonekana kushindikana sehemu zingine zote ndo akapelekwa huko... Ukifikiri utaelewa