Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

View attachment 461162

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI.

Swali langu ni la kidadisi(curiosity). Napenda kusikia toka kwa wataalamu na watafiti(kama tafiti zipo), kwanini isiwe majiji na mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza, Mbeya n.k? Kama awali ilikuwa mkoa wa Kagera ndiyo ulioripotiwa mgonjwa wa kwanza na baadaye kuwa na waathirika wengi, ilikuwaje HIV iliruka mikoa ya hapo kati(Shinyanga, Tabora, Dodoma, Singida...) na kuufanya mkoa wa Njombe kuongoza?

Kama ni tohara kwa wanaume je, ni mikoa mingapi Tanzania hii walichelea kufanya tohara? Kwanini mikoa hiyo haijaathirika kiasi hicho? Japo kwa zamani(ninavyokumbuka) wilaya ya Makete(Njombe) ndiyo iliyokuwa ikiongoza na kwa sasa sina taarifa rasmi, bado ni jambo ambalo sina majibu yake, ilikuwaje mkoa wa Njombe uongoze kwa maambukizi?

Naomba wenye kufahamu majibu ya swali langu la msingi wanisaidie.

Kwanini Njombe?
Ngojea niende kwa watani wangu wa Kibena niwaokoe na Maradhi ya Ukimwi. Wabena nitafuteni nipate kuwatibia Maradhi ya Ukimwi mupate kupona.Ingawa nilikuja kwenu mukanilisha Pombe ya Ulanzi nikatandikwa na Baba yangu bakora kwa kunywa hiyo Pombe ya Ulanzi. Nilifikiri hiyo Pombe ya Ulanzi ni Togwa kama vile sisi Wazaramo tunavyopenda kunywa Togwa kumbe ni Pombe hahahhaahh. Mulinipatia sana kuninywesha pombe ya Ulanzi haya nitafuteni nipate kuwatibia mupate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Mkuu, jaribu kuishawishi wizara ya afya ikubaliane na tiba yako scientifically.
 
Niliwahi kumuuliza daktari flani wa njombe hili swali nilichoambiwa ni kuwa njombe kuna hospital kubwa kama ikonda hosp, bulongwa hosp, kibena hosp, ikelu hosp lugarawa na ilembula hosp. Zote ni hosptali kubwa sana hivyo watu wengi wanafika kupata matibabu huko kutoka sehemu mbalimbali na wakipimwa vvu takwimu zinasoma njombe kwakuwa watu wengi hawatoi taarifa sahihi wanatoka wapi... Ila sijui kama ndo uhalisia wenyewe
Kama ni hivyo, Dar es salaam ingeongoza
 
Itakua takwimu zinaonyesha hivo kwa kua wtu wa njombe wanapima sana. Wanakubali kupima si kama mikoa mingine. Yaani njombe iishinde dar kwa ngono, si amini et.
 
Can be true somehow

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo, Dar es salaam ingeongoza
Unajua mtu akienda kutibiwa dar basi ni lazima iwe muhimbili au lugalo na lazima anaenda kutibiwa tatizo lililoonekana kushindikana sehemu zingine zote ndo akapelekwa huko... Ukifikiri utaelewa
 
Itakua takwimu zinaonyesha hivo kwa kua wtu wa njombe wanapima sana. Wanakubali kupima si kama mikoa mingine. Yaani njombe iishinde dar kwa ngono, si amini et.
Hii haiwezikuwa sababu. Hali siyo nzuri Njombe.Ni Hatari!!
 
Unajua mtu akienda kutibiwa dar basi ni lazima iwe muhimbili au lugalo na lazima anaenda kutibiwa tatizo lililoonekana kushindikana sehemu zingine zote ndo akapelekwa huko... Ukifikiri utaelewa
Braza, sijakurupuka kuwe huu Uzi. Watu wanaumia kweli ujue? Nimefanikiwa kutembelea mikoa mingi nikatafiti kwa utafiti usio rasmi sana ila akubaliana kabisa na takwimu za serikali.
 
Back
Top Bottom