laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
mkuu Njombe Ukimwi upo sana hasa wanawake wajawazito mila za kurithishana na mfumo dumeNiliwahi kumuuliza daktari flani wa njombe hili swali nilichoambiwa ni kuwa njombe kuna hospital kubwa kama ikonda hosp, bulongwa hosp, kibena hosp, ikelu hosp lugarawa na ilembula hosp. Zote ni hosptali kubwa sana hivyo watu wengi wanafika kupata matibabu huko kutoka sehemu mbalimbali na wakipimwa vvu takwimu zinasoma njombe kwakuwa watu wengi hawatoi taarifa sahihi wanatoka wapi... Ila sijui kama ndo uhalisia wenyewe
baridi inachangi sana, hivyo watu hufanya mapenzi kadri iwezekanavyoKwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI.
Swali langu ni la kidadisi(curiosity). Napenda kusikia toka kwa wataalamu na watafiti(kama tafiti zipo), kwanini isiwe majiji na mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza, Mbeya n.k? Kama awali ilikuwa mkoa wa Kagera ndiyo ulioripotiwa mgonjwa wa kwanza na baadaye kuwa na waathirika wengi, ilikuwaje HIV iliruka mikoa ya hapo kati(Shinyanga, Tabora, Dodoma, Singida...) na kuufanya mkoa wa Njombe kuongoza?
Kama ni tohara kwa wanaume je, ni mikoa mingapi Tanzania hii walichelea kufanya tohara? Kwanini mikoa hiyo haijaathirika kiasi hicho? Japo kwa zamani(ninavyokumbuka) wilaya ya Makete(Njombe) ndiyo iliyokuwa ikiongoza na kwa sasa sina taarifa rasmi, bado ni jambo ambalo sina majibu yake, ilikuwaje mkoa wa Njombe uongoze kwa maambukizi?
Naomba wenye kufahamu majibu ya swali langu la msingi wanisaidi.
Kwanini Njombe?
Wacha watu wa enjoy life.Mimi siamini kwenye upande wa baridi ila ninachoamini ni kuwa haya makabila yanayopatikana kwenye huu mkoa wanapenda sana ngono, hilo nina ushahidi maana nimekaa njombe kwa miezi 8. Mfano una demu ni rafiki yako mchana, usiku ana mwingine
Kwasababu hauongozi kwa Malaria
Ngojeni ni wambie watu wengi hawajajuwa kwa nini hizi tafiti zinaonesha hivi
Kwanza kabisa tujiulize mkoa wa njombe unawakazi wangapi halafu jiulize dsm inawakazi wangapi?
Kinacho fanyika nikwamba wakati watu wa miradi ya ukimwi wakienda vijijiini kupima watu serekali ya kijiji inaita watu wote wapime kwa nguvu wala sio hiali halafu wakija dsm wanaema watu wapime kwa hiali utapataje majibu sahihi
Dsm Wakazi 3milion
Njombe wakazi 1milion
Bado hujanidangany kuwa njombe inaongoza labda uniambie mkoa mzima wameathilika
Una promote ulanzi mkuu,soon hiyo pombe itapata soko kwa wanaume wa darPia kwenye ulanzi kuna mavitu meupe meupe kama maziwa mgando yanatwama china yachupa au chombo ulimowekewa yale mavitu ukiyanywa VIAGRA cha mtoto jinsi chuma kinavokuwa kimenyooka ukitumia condom kwenye mechi inachanika hata kabla ya shoo kuanza so nikupiga kavu kavu na kupeana umeme tu
Kwanini siyo kisiwani Mafia?Sababu mji mdogo mtu mmoja anaweza ambukiza mji wote