Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Inaongoza kwa waathirika ka sababu ya kupenda kupima pima ukimwi
 
Njombe Hasa Hasa Kule Makete Ndo Kunaongoza Kwa Maambukizo Ya Ukimwi,sababu Hasa Ni Hali Ngumu Ya Uchumi Inayotokana Na Hali Ya Hewa Na Udongo Wa Makete Kutosupport Kilimo Hvyo Kufanya Vijana Weng Kukimbilia Dar Es Salaam Kusaka Maisha Na Huko Ndiko Wanakoambukizwa Na Kurud Nao Makete!.Idadi Kubwa Ya Maho
 
Ni asili na hulka za watu wa njombe kwani bado uelewa wao ni mdogo sana kuhusu ukimwi kwa mf;
1, bado wanatoana funza kwa kushare sindano moja
2, bado ngariba wanakeketa kwa kushare vifaa bila kuchemsha
3, Kurithiana bado wanatabia za kurithi wake za marehemu ambao wengi wamekufa kwa ukimwi.
4, Hulka binafsi (natural distintion) ya watu wa njombe huwa warahisi sana kushawishika kingono especially ladies kuna kale kausemi kao kasemako "we niangushe tu dhambi zako".
5, Mila potofu, wanaamini ni vibaya kutumia kodom ktk kuhondomola sasa hilo ni tatizo kubwa sana.
NB
serikali na NGOs zinajitahidi sana kwa sasa kutoa elimu ya kujikinga na kuepuka maambukizi ya UKIMWI njombe.
 
Njombe wanapenda kugegedana sana uncle zangu wengi wamefariki kwa UKIMWI ukisikia mwanamke ametoka njombe kama hujampima bora usimgegede.
 
Kuna mkoa fulani huko kaskazini, inasemekana watu huenda kuhesabiwa kila mwisho wa mwaka. Huoni kuwa hao pia wangekuwa waathirika?
 

Njombe kuna hospitali kubwa na nyingi kuliko Dar?
Njombe kuna watu wengi kuliko Dar?
 
mkuu Njombe Ukimwi upo sana hasa wanawake wajawazito mila za kurithishana na mfumo dume
Mila za kurithishana wake zipo mikoa mingi na mfumo dume pia upo sehemu nyingi tu. Iweje hali mbaya ya HIV iwe Njombe?
 
kwa sababu mkoa wa njombe wakristo ni wengi,ushahidi angalia rate za maambukizi especially kwa mikoa yenye waislam wengi kama dar,tanga zanzibar n.k ndo utajua wapi wachafu wa matendo

Njombe inaongoza kwa idadi ya wakristo Tanzania nzima?
Unaweza kutusaidia uwianao wa idadi ya wakristo na dini nyingine kwa jiji la Dar, Arusha na Mwanza?
 
nane. kambi za kuvuna chai. upatikanaji wa pombe kwa bei rahisi ndiyo factor namba moja. ndiyo maana hiyo mikoa yote yenye chakula kingi na kusababisha pombe ya mahindi kuwa cheap na affordable kwa wengi UKIMWI upo juu. tuliowahi kunywa pombe tunajua nguvu yake.
 
Kula like mkuu.
Binafsi naunga mkono hoja ya biashara ya mbao na viazi. Hizo biashara zinafanyika kwa mapana sana na ndipo hapo wafanyabiashara hupata nafasi ya kurubuni wanawake vijijini kwa fedha nyingi na kuwalala.
Unategemea nini kama si kuambukizwa ukimwi?
Kingine ambacho umesahau ni njia panda. Ile ni njia panda ya kuelekea Mbeya na Ruvuma. Hivyo magari mengi hupumzika hapo baada ya kupima kwenye mzani. Sasa kama mjuavyo madereva wetu wakilala sehemu tena yenye baridi kama ile lazima walale na wanawake.
Mengineyo yote naunga mkono hoja zako
 

Kwahiyo serikali za vijiji vya mkoani Njombe ndizo zinayoongoza kwa kulazimisha watu kupima UKIMWI kati ya mikoa yote Tanzania?
 
majibu hayaeleweki mi naona inawezekana kuna mikoa ina maambukizi makubwa kuliko njombe isipokuwa rate ya upimaji ni ndogo inawezekana njombe hospital nyingi ukienda kupata tiba ni sharti upime na hiv mfano lindi kuna hospital ukienda lazima upime kipimo kikubwa kwanza
 
Dar kuna watu wangapi kulinganisha na njombe? Hujui kijijini wakifa wanne na mjini wafe 10 wastani wake ni kuwa kijijini wamekufa zaidi?

Unazungumzia kufa

Mkuu ninashukuru kwa majibu yako mazuri. Umejibu sehemu kubwa ya maswali yangu. Nita-bookmark ukurasa huu kwa ajili ya kumbu kumbu zangu. Asante sana.
 
Nikichanganya maelezo yako na mkuu aliyekutangulia, napata kitu kikubwa sana. Ninawashukuru nyote kwa michango yenu.
Asanteni sana maana nimepata kitu.
 
Kuna mkoa fulani huko kaskazini, inasemekana watu huenda kuhesabiwa kila mwisho wa mwaka. Huoni kuwa hao pia wangekuwa waathirika?
Mkuu usipende kuamini habari za "Inasemekana" jaribu kuhukumu vitu kwa fact au kutoka source zinazoaminika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…