Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Baridi kali sana inachangia ngono kufanyika.. Jamaa wanatumia k kuupa mwili joto.
Heavy trucks parking... Km mnavojua hapo ndpo yanaposimm malori toka mikoa tofaut kwenda/kutok nje ya nchi. Hvy madada zetu hujiachia na maderev pasipo kujali kinga wala nn.. Kufakunoga.. Iyo ndio slogan. Ya watu wa njombe, hawaogopi kifo
 
why..unguja na pemba kuna rate ndogo?and 99% ni muslim...inawezekana ukiristo na mafunzo yake ikawa tatizo ......
 
lete takwimu za Ukimwi Zanzibar ndio inaongoza kwa maambukizi kidogo kupita sehemu zote
Sijasema Zanzibar inaongoza kwa maambukizi mimi ndiyo uniulizie takwimu,nilichokuwa nakipinga ni wewe kudai hakuna ukimwi ilhal watu tunajua Zanzibar ukimwi upo.
 
malori yanapak Makambako hayafiki Njombe Mjin wala Makete
 
Kupima kwa wingi haiwezi kuwa sababu.
Sehemu yenye rate kubwa hata wakienda kupima 20 matokeo yataongea tu. Na kama wakipima 500 sehemu isiyo na maambukizi mengi takwimu zitaongea pia.
Hata hivyo ili watu watu watoe takwimu, zipo taratibu za kukusanya data kabla ya kutoa matokeo.
Kafanyie kazi tena wazo lako.
 
Jibu ni kwamba..njombe wanabidii ya KUPIMA ukimwi..

Ila.kuhusu kugegedana tz nzima wanafanyana hasa pwanu aisee

Ila wangoni na wahaya Wanapepo la ngono

Unaifahamu sera ya kupima kina mama wajawazito?
Unadhani Njombe kuna wajawazito wengi kuliko mikoa mingine?
 
Point, embu agiza azamu juice hapo kwa Mangi nitakuja kulipa.

 
Kwa sababu kuna baridi
 
nyinyi hamuijui njombe.... Ukibahatika kufika njombe ulizia bar moja inaitwa TAREE.. Japo zipo nyingi ila hii ndio kiwanja kikubwa cha ufuska.. Ngono na pombe kwenda mbele.

halafu sababu kuu ya ugonjwa huu ni kwamba...bar nyingi za njombe zina tabia ya kubadilishana wahudumu..mfano baa A inawahudumu wakaliii basi kila kijana ataenda pale bila kusahu kuwa vijana wa pale wana pesa sababu ya biashara za mbao na mazao,

baada ya muda fulani kila kijana atakuwa kesha wazoea wale wahudumu hivyo watahama bar kwenda baa ya jirani kufata huduma, mmliki wa baa A ataongea na mwenye baa B labda makambako au mbeya na kubadilishana wahudumu, wa baa A wakoenda kule Bwataonekana wakaliii baa itajaa na ngono kuendelea na wale na hivyo hivyobkwa baa B.

hawa wahudumu husambaza ugonjwa kwa watu wa rika zote na hao watu hupeleka majumbani mwao.

Njombe wadada wachache sana na sio wazuriiii...
ila ukienda baa unakutana vyombo vya maanaa..ukisafiri ukirudi unakuta wale wahudumu hawapo ila kuna wakali zaidi ya wale...halafu pesa unayo matunizi hakuna kule.

Sehemu za kutumia hela ni pale kwa mfunye,tarree na agreement hotel...hakuna pengine sasa kwann usivute kahudumu kamoja...ukatafune taratibu huku ukipata kajoto na kaukimwi kwa mbali...

utumie pesa yako kwa uzuriii
 

Kuna ukweli kiasi katika hili, ila ngoma Njombe ipo, Iringa hasa Mufindi ipo. Njombe kwa idadi ya watu ukilinganisha na Hospitali zilizopo pale, ni rahisi kupata takwimu sahihi. Kumbukumbu zote zinaonyesha wadau wote ni wakazi wa Njombe.

Kuna habari nyingine isiyosemwa, watu wa Njombe wameitikia wito wa kupima afya zao kwa wingi na kwa hiari mpaka vijijini kuliko maeneo mengi hapa nchini. Zile kampeni za PIUMA ( pima uishi kwa Matumaini) zilifanya kazi sana Njombe. Na ukifika vijijini, waathirika wanajulikana na wanahudhuria clinic kwa uwazi.

Population ya Njombe ni ndogo sana. UKIMWI Njombe upo sawa na mikoa mingine ilivyo.
 
Na baridi nadhani inachangia kuhamasisha ngono, na elimu ya kujikinga dhidi ya HIV nadhani ni ndogo
 
Nadhani hilo ndo ukweli ulivyo
 
Mkuu hapo kwenye kuwaita watu wapime kwa lazima nakukatalia. Mm nna uzoefu mkubwa na Njombe.

Tatizo tu mzunguko Mdogo, kidemu kimoja mnaeza mkitandike mijeledi midume hata 20 kwa wiki. Awe mzr mzuri tu

Sitafuni tena binti wa Njombe!
 
Mtafute mkoa wenye idadi kubwa ya waathirika, mfano waseme dar wako wagonjwa wangapi, njombe wangapi, mbeya wangapi? ....mtapata jibu tofauti
 
Kwanini kuwe na hospital nyingi while population ni kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…