Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Sawa mkuu, hiyo ni takwimu ya "majiji" ya Africa ingawa hatuna authenticity ya hizo takwimu. Ila kwa Tanzania bado Njombe inaongoza.
Njombe hueda baridi kali inachangia
 
Ni kwasababu uku kuna baridi kali alafu watu wanalewa sana na wanapo fanya mapenzi hawatumii kinga yani kondom pia na tohara ndio imeanza sasa ya kuhamasisha mkoa wa njombe na wilaya zake alafu kitu kingine wilaya za mkoa wa njombe zina watu wachache kwahiyo kuna kuzungukana mfano ukienda makete,ludewa ni wilaya zenye idadi ya watu wa chache
 
vijana wengi wa mkoa wa njombe hasa makambako ni wafanyabiashara, muda mwingi wanakaa mbali na familia wakiwa nje na familia huwa wanafanya ngono na watu wengine wakirudi wanatembea na wake zao.Ikitokea wamefariki ndugu zao hurithi wake waliowaacha kuna kipindi nilienda makete nilikuta idadi kubwa ya wazee na watoto wadogo makete ni wilaya mpya ya mkoa wa njombe
 
Ngoja tuulize swali dogo.

Hivi Njombe kuna wapiga katerero?

Hivi Njombe nako kuna mto Ngono?

Nimeuliza tu kwa kuwa Mkulu aliwatuhumu wale jamaa zetu wa kule Magharibi kuwa Ukimwi uliibukia kule na ndiyo maana ni kama wamepata 'laana' kutokana na Mkoa wao kuwa na mto Ngono na mto Katerero?
 
Mtoa mada naomba niunganishe na hili swali pia, Je ni mkoa gani ambao hauna waathirika wengi wa Ukimwi na nini sababu ya kutokua na idadi kubwa ya waathirika wengi kwa mkoa huo?
.......Sikutegemea kuona swali la namna hii!
 
Mtoa mada naomba niunganishe na hili swali pia, Je ni mkoa gani ambao hauna waathirika wengi wa Ukimwi na nini sababu ya kutokua na idadi kubwa ya waathirika wengi kwa mkoa huo?
Nadhani mkoa wa manyara ndio una idadi ndogo zaidi ya waathiririka Tanzania.
 
Manyara inaongoza kwa Tanzania kuwa na wastani wa 1.5 na wakati wenyeji ni wakristo karibu wote, acha uongo mkuu.
usiwe na akili mgando,manyara ni kijimkoa kidogo sana kilichomeguliwa,huwezi fananisha na pwani ambayo ni kubwa balala,so tukienda kwa ratio ya population against maambukizi utakuta pwani wana 0.00 na hata maambukizi ya pwani wanaoleta ni hao hao maana tunawaona wanakuja kusoma then hatuwaoni wakirudi kwao tunabanana hapa hapa mjini,rudini kwenu porini mkachunge ng'ombe msituletee ukimwi
 
Hiyo Mikoa yenye Waislam wengi ndiyo inaongoza kwa Mabwabwa
mbona mkipata chance ya kuja huku hamrudi kwenu...kubali kati ya haya mawili
1. wewe ni mtumiaji mzuri wa mabwabwa
2. wewe mtumiwaji mzuri
ndo maana baada ya kupata unachotaka ukalowea hapa kwa mabwabwa wenzio
 
Njombe inaongoza kwa idadi ya wakristo Tanzania nzima?
Unaweza kutusaidia uwianao wa idadi ya wakristo na dini nyingine kwa jiji la Dar, Arusha na Mwanza?
nenda ofisi ya takwimu wakusaidie,mimi takwimu zangu naangalia rate tu,ukimwi ukiwa mwingi basi wakristo ni wengi,ushahidi wa hilo angalia kidunia utaona nchi za waislam waarabu kama saud arabia ndo utapata jibu,yani ukimwi ni 0.0%
 
sio Taree...ni TALE.....umesahau Sangamela......Equator nako hakuko nyuma kwa wahudumu
 
mlima Kitonga uko Iringa mkuu ni mbali sana na Njombe.....
 
why..unguja na pemba kuna rate ndogo?and 99% ni muslim...inawezekana ukiristo na mafunzo yake ikawa tatizo ......

Tatizo hawapimi, sasa jidanganye rate ni ndogo ukafe. Kwanza wanaongoza kwa ngono, pili condom kupata ni shida.

Tatu ni wazuri sana kwa kuficha ukweli
 
Pemba..sababu..dini..tamaduni.

Pemba haipati mwingiliano wa watu wengi kutoka sehemu zingine ndio sababu pekee.

Suala la dini na tamaduni hazihusiki maana kule wanaongoza kwa kutumia 0713 ambayo ni hatari zaidi
 
nenda ofisi ya takwimu wakusaidie,mimi takwimu zangu naangalia rate tu,ukimwi ukiwa mwingi basi wakristo ni wengi,ushahidi wa hilo angalia kidunia utaona nchi za waislam waarabu kama saud arabia ndo utapata jibu,yani ukimwi ni 0.0%

Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…