Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Kwa ufahamu wangu japo wawezakua mdogo...ni mlima kitonga unaopatikanna maeneo ya njombe ambayo zamani ilikua mkoa wa iringa...katika biashara ya usafirishaji wa mizigo kwa njia ya nchi kavu kuelekea nchi za jirani,magari mengi sana yalikua yakipita iringa road na kwasababu ya umbali na mwendo wa masaa mengi kutoka bandarini dar,madereva wengi walijikuta wakiingia maeneo ya njombe muda wa jioni...na kwa jinsi nilivyosikia ilitokea gang ya waporaji waliokua na uwezo wa kuamisha vitu kutoka gari moja kwenda jingine kipindi gari likipanda mlima kitonga kiasi cha kwamba mpaka dereva kuumaliza mlima anawezakuta mzigo mzima umekwishaporwa..Na ndipo madereva wengi wakasitisha kuupanda mlima ule kipindi cha usiku naendapo ikitokea wamechelewa basi wanaweka kambi mjini jirani na ule mlima.Na kama tunavyojua tabia za madereva wengi pamoja na wasaidizi wao...wanasifa kuu ya ulevi + wanawake...na ndipo wakajikuta wanafanya mapenzi na wamama na wadada wa maeneo yale kwa kipindi cha usiku wanapokua pala...na mwisho wasiku kwa jinsi mji ule ulivyo mdogo unajikuta mwanamke mmoja anawezatembea na wanaume zaidi ya wanne wa aina tofauti tofauti..Na hapo ndo chanzo kikuu cha kukua kwa uenezaji wa vvu kwa mkoa huo mpya.
Kitonga haijawahi kuhamia njombe mkuu sema umejichanganya
 
View attachment 461162

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI.

Swali langu ni la kidadisi(curiosity). Napenda kusikia toka kwa wataalamu na watafiti(kama tafiti zipo), kwanini isiwe majiji na mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza, Mbeya n.k? Kama awali ilikuwa mkoa wa Kagera ndiyo ulioripotiwa mgonjwa wa kwanza na baadaye kuwa na waathirika wengi, ilikuwaje HIV iliruka mikoa ya hapo kati(Shinyanga, Tabora, Dodoma, Singida...) na kuufanya mkoa wa Njombe kuongoza?

Kama ni tohara kwa wanaume je, ni mikoa mingapi Tanzania hii walichelea kufanya tohara? Kwanini mikoa hiyo haijaathirika kiasi hicho? Japo kwa zamani(ninavyokumbuka) wilaya ya Makete(Njombe) ndiyo iliyokuwa ikiongoza na kwa sasa sina taarifa rasmi, bado ni jambo ambalo sina majibu yake, ilikuwaje mkoa wa Njombe uongoze kwa maambukizi?

Naomba wenye kufahamu majibu ya swali langu la msingi wanisaidie.

Kwanini Njombe?
Tatizo ni pale makete ndo maambukizi yako meng ndo na hii imesababishwa na mila mbovu za pale makete kurithishana wajane kukithiri ukichnganya na maisha ya kijijini ya ulevi maambukizi ndo maana yalikua kwa kasi mno mpaka sasa imekua kaz kuyapunguza ukiachana na jitihada zinafonywa na taasisi mbali mbali
 
Umemjibu kwa ukali sana mkuu..
Ni kweli aisee nimemjibu kwa jazba! Ila yeye ndiye aliyesababisha mimi kumjibu hivyo kwajinsi alivyoni attack! Ila tusameheane tu,sisi ni binadamu na maisha yaendelee kama kawaida.

One love.
 
Kwa akili yako kaskazini uilinganishe na mikoa maskini ya watu wavivu? shame on you
hahha sasa mnakujaga kufanya nini huku kwa wavivu mkija kusoma ndo hata kwenu hampataki tena,jamani Mungu anawaona lakini nyie ndo mnasababisha nchi iwe na njaa maana wote mmejazana huku mashamba hamtaki kulima tena
 
Waislam wengi ndio wanapenda sana kubanjuana tena kavu kavu sema tu wao mara nyingi wanatulia kwa mmoja kama wakipendana
ooh kwa maana hiyo wala nguruwe ndo hawatulii na mmoja sio,nice sana kaka kwa kuelewa
 
Nadhani hili jibu ndo nilitoa mimi baada ya kuuliza mahali ila watu hawakuelewa
Inaelekea wewe ni mtafiti uchwara. Hujui lolote katika takwimu ndugu.
Kwa maelezo yako umeshindwa kuestablish fact za kisayansi badala yake umemezawa na asumptions za uswahili navijiwe.
 
acha uongo wewe
Mimi nina hypothesis zangu;
1. KIKWAZO CHA KI UTAMADUNI

Yawezekana watu wa njombe walio wengi hawajapenda njia za kitaalamu za kujikinga na maambukizi ( huwezi faidi pipi bila kubandua ganda)

2. KIKWAZO CHA KIJAMII

Yawezekana watu wa njombe wanapenda sana kuwakaribisha wageni na kutengeneza mahusiano ya haraka bila kujali hali zao za kiafya na ninadhani haswa inasababishwa na hali ya unywaji pombe uliokithiri maana husababisha maamuzi yasiyo makini.

3. SABABU YA KI BIOLOGIA.

Yawezekana wanaume wa Njombe wana afya nzuri katika kuhimili kusima*sha kwa muda mrefu ila wanakosa uvumilivu katika kuwaandaa wenzi wao wakati wa tendo hivyo kuongeza nafasi ya maambukizi maana kuna tafiti zimeonesha baadhi ya wanandoa mmoja ana VVU na mwenzi hana

4. ELIMU

Yawezekana jamii zilizo mbali na mijini hawajafikiwa na elimu za kutosha juu ya maambukizi

5. UMASIKINI

Huenda pia suala la vipato vidogo kwa asilimia fulani limesababisha watu husika kujikuta wako tayari kwa lolote ilimradi wapate wanachotaka bila kujali hali yao ya kiafya

6. TAMADUNI HATARISHI

sina hakika wala sizielewi kama wanazo ila kama kuna yeyote anayetoka kule aziweke bayana tushauriane
 
View attachment 461162

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI.

Swali langu ni la kidadisi(curiosity). Napenda kusikia toka kwa wataalamu na watafiti(kama tafiti zipo), kwanini isiwe majiji na mikoa mikubwa kama Dar, Mwanza, Mbeya n.k? Kama awali ilikuwa mkoa wa Kagera ndiyo ulioripotiwa mgonjwa wa kwanza na baadaye kuwa na waathirika wengi, ilikuwaje HIV iliruka mikoa ya hapo kati(Shinyanga, Tabora, Dodoma, Singida...) na kuufanya mkoa wa Njombe kuongoza?

Kama ni tohara kwa wanaume je, ni mikoa mingapi Tanzania hii walichelea kufanya tohara? Kwanini mikoa hiyo haijaathirika kiasi hicho? Japo kwa zamani(ninavyokumbuka) wilaya ya Makete(Njombe) ndiyo iliyokuwa ikiongoza na kwa sasa sina taarifa rasmi, bado ni jambo ambalo sina majibu yake, ilikuwaje mkoa wa Njombe uongoze kwa maambukizi?

Naomba wenye kufahamu majibu ya swali langu la msingi wanisaidie.

Kwanini Njombe?

Kuna taarifa zinaeleza kwamba sababu kubwa ni utamaduni wa watu wa Njombe. watu wa Sayansi ya Jamii wafanye tafiti ili kuthibitisha hili. nimeelezwa na mtu anayefanya kazi kituo cha afya kwamba kuna kasi kubwa ya maambukizi ya VVU kutokana na tamaduni za watu wa Njombe kuruhusu mtu kutembea na dada na hata mama kwa malengo ya kimila. mwingiliano ni mkubwa sana na hii peke yake, ukiachia zile sababu zingine zinazotajwa, inachangia kwa kiasi kikubwa sana maambukizi haya
 
Inaelekea wewe ni mtafiti uchwara. Hujui lolote katika takwimu ndugu.
Kwa maelezo yako umeshindwa kuestablish fact za kisayansi badala yake umemezawa na asumptions za uswahili navijiwe.
Nadhani kwa ufinyu wa akili yako umeshindwa kuelewa niliandika nini.. Kuna sehemu nilisema nimetafiti?
 
kwa sababu mkoa wa njombe wakristo ni wengi,ushahidi angalia rate za maambukizi especially kwa mikoa yenye waislam wengi kama dar,tanga zanzibar n.k ndo utajua wapi wachafu wa matendo
Na wale tusio na dini za kigeni unatuweka wapi?
UKIMWI HAUNA DINI SISI TUNA DINI
 
Hakuna virusi vya ukimwi
Ukimwi sio ugonjwa
cc. DECEPTION
 
Unywaji wa pombe kupita kiasi hasa za kienyeji.
i think MAGOVI inaweza kuwa sababu mojawapo. pamoja na kwamba kagera, usukumani, nyanda za juu kusini wote, etc nao wana mikono ya sweta. hii ni kwasababu kiuhalisia wanawake wa huko sio kwamba ni malaya kuliko wanawake wa pwani, au tanga, kumpata mwanamke huko njombe na iringa ni shida kukubali ukitongoza, ila sasa, kwasababu wana mikono ya sweta wanaume wao, mapenzi wanayofanya kwa kiwango kidogo sana hayohayo yanaambukiza haraka kuliko wale wanaofanya mapenzi sana lakini wamekata (pwani). wabena na wakinda hawakati magovi, labda kama alizaliwa mjini.
 
hahha sasa mnakujaga kufanya nini huku kwa wavivu mkija kusoma ndo hata kwenu hampataki tena,jamani Mungu anawaona lakini nyie ndo mnasababisha nchi iwe na njaa maana wote mmejazana huku mashamba hamtaki kulima tena

Ukweli unaujua hata wewe, ni watu gani wanaoongoza kwa maisha mazuri Tz, pole sana mkuu.
 
Back
Top Bottom