Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

Miradi ya watu hii.. I dont buy this shit no more..

Ukiongea na wenyeji na wakazi wa huko watakwambia hali ilivyo mkuu.
Lakini serikali pia imekuwa ikiyasema haya wazi wazi.
Jaribu kuongea na mtu anayeishi huko(kama yupo) kisha tuletee mrejesho.
 
Kupitia huu uzi umenifanya niende kwa doctor mwingine nimuulize kuhusu hili na nilipouliza majibu ni kuwa wao kama watu wa afya wamegundua kuna watu wanapima wanakutwa wameathirika kwakutoani anaenda sehemu tofauti hadi mara 3 na akitumia majina tofauti kote anakutwa hivyo anaanza kutumia dawa, kuna watu walidanganya kuwa walipima tena baada ya kutumia dawa wakawa hawana hivyo wengi wao wanaenda tena kupima na kukutwa nao, hivyo takwimu zinazidi kusoma wakati ni elimu ndogo sana watu wa sehemu husika wameikosa na sasa wameweka utaratibu wa kumfanya mtu aliyekwisha tambulika asipime tena ili kuepuka kumpima mtu mmoja mara tatu hadi tano...

Umedanganywa na aliyekwambia.
1.) Usifikiri kuwa watu ni wajima(primitive) kiasi hicho kuhusu swala la upimaji. Lakini kwanini mkoa huo peke yake ndiyo uongoze kwa watu wake kujirudia kupima?
2.) Kupitia vyanzo nisivyo weza kuvitaja, unaambiwa hata jamii ya huko inakiri na kutambua kuwa hali ikoje kwa kuwa wao ndiyo wanaishi na wagojwa na wao ndiyo wanaozika wanaofariki(niwie radhi kwa kusema hili).
 
...shida huko njombe ni magovi tu tu...na hali ya baridi...ukichanganya baridi na watu kuchapana sana na magovi basi chance ya kupata ngoma ni kubwa mno....huko kili na arusha kuna baridi lakini wachanga wajanja mno na afya zao....wanatahiri na pia hutumia sana kinga....
 
Mtoa mada naomba niunganishe na hili swali pia, Je ni mkoa gani ambao hauna waathirika wengi wa Ukimwi na nini sababu ya kutokua na idadi kubwa ya waathirika wengi kwa mkoa huo?
Pemba kuna 0.3% ndo mkoa ambao maambukizi yapo chini sana yan kwa kifupi zanzibar
 
Me nahisi itakua walevi ni wengi kuanzia watoto wanaobalehe, ngono ambazo sio salama, wazinifu wengi alaf demu mmoja ktk uzinifu huo inawezekana akawa anashewa na wanaume 10
1. ngono 99%
2.vinginevyo 1%
 
Niliwahi kumuuliza daktari flani wa njombe hili swali nilichoambiwa ni kuwa njombe kuna hospital kubwa kama ikonda hosp, bulongwa hosp, kibena hosp, ikelu hosp lugarawa na ilembula hosp. Zote ni hosptali kubwa sana hivyo watu wengi wanafika kupata matibabu huko kutoka sehemu mbalimbali na wakipimwa vvu takwimu zinasoma njombe kwakuwa watu wengi hawatoi taarifa sahihi wanatoka wapi... Ila sijui kama ndo uhalisia wenyewe
Hii inaingia akilini
 
Takwimu zinaonyesha maambukizi njombe ni 14.8% na ndo mkoa unaoongoza. Sababu za maambukizi ya VVU kuwa juu ni:-

Moja, Biashara ya viazi mviringo. Biashara hii huwaleta wafanyabiashara na madereva, matingo wa malory, na makuli ambao hulala vijijini wakikusanya na kupakia viazi. Watu hawa kwa kuwa na fedha hufanya sana ngono zembe na wanawake wa vijijini.

Mbili, Tohara kwa wanaume haikwepo kwa Kabila la wabena, pangwa nk.

Tatu, idadi ya wanawake mabinti ni ndogo kulinganisha na wanaume. Mkoa huu nazani ndio unaoongoza kwa kutoa house girls wengi Tanzania. Hivyo unakuta mwanamke mmoja anagombaniwa na wanaume kumi na zaidi no way out.

Nne, Ulevi hasa kwa wanawake hasa njombe vijijini, na ludewa na makete pia.

Tano, house girls hurudi kwao na VVU na kwa uchache wa wanawake basi kila mwanaume kijijini ata mlala kwa uzuri wake.

Sita, uhaba wa kondomu vijijini. Maduka mengi vijijini hayauzi kondomu. Unaweza tafuta kondomu ludende siku nzima usiipate.

Saba, biashara ya mbao nk
Nakubaliana na wewe
 
Mm nimefanya kazi kwenye shirika la kupima watu afya. Katika mikoa ya nyanda za juu hakuna mkoa wenye watu wenye mwamko wa juu kupima afya, kama mkoa wa Njombe na ambao ni wawazi. Mfano kila kijiji tulichokuwa tunakwenda utakuta waliojitokeza ni wengi sana. Tofauti na mikoa mingine wengi waoga kupima afya zao. Mfano utakuta kijiji kinawakazi 500, wanaojitokeza kupima afya ni 20. Wakati vijiji vya wilaya ya Makete kinawakazi 300 wanaojitokeza kupima utakuta wapo 280. Sasa kwa uwiano huo lazima itaonekana mkoa wa Njombe unamaambukizi makubwa. Na kingine kinachochangia ni kuwa na Hosptal nyingi kubwa, ambapo wagonjwa wengi wanakwenda kule kutibiwa na kumbukumbu zao zinabaki kule.
Sawasawa
 
Masaburi yako wewe! acha kujitetea wewe mjuaji uchwara! Mkoa wako maambukizi yako juu sababu ipo wazi, mnapukuana kavukavu tena vichakani mkiwa chakari kwa ulanzi. Kwa akili yako finyu sina shaka wewe ni matokeo ya wazazi wako kuangusana porini.
Naona unatafuta bwana hapa.... Mie sio wewe nitumie id fake hebu tizama hilo jina linatoka njombe? Acha kutafuta umaarufu boya wewe.. Unadhani kama wazazi wako walifanyiana guest mama ako akakuzaa akiwa baa nawe umekilia stand ndo kila mtu yupo hivyo? Kwanza kabla hujabishana nami unapaswa kuniamkia kwanza kenge wewe
 
9438c220e572ede4643c93595358c0e7.jpg

Eti nasikia kwenye baadhi ya madangulo wanatumia Salama zilizoandikwa Familia condo.. kwani zile si ni special kwa ajili ya KUZUIA MIMBA KWA WANANDOA?
Sasa si itakuwa tunaenda kujiua?

Au kwa wataalamu wanaojua watujuze kama pia zinazuia na maambukizi, maana kama izo ndizo zinazotumika uko, ni hatari. La sivyo wanaume waende na Salama zao. Wataalamu watujuze kuhusu izo Familia...cndm please!!

WATAALAMU WELCOME
 
Wanawake wa njombe Sura mbaya hawavutii inakuwaje wanaongoza kwa maambukizi!?
 
Kinachopeleka mikoa kama Njombe na majirani zake wote wa karibu kuongoza kwa maambukizi ya Virisi Vya UKIMWI (VVU) Ni ile Traffic wanayoipata ukizingatia kwamba wao wapo mipakani hivyo swala la Biashara ni swala kubwa sana kwao, Usafirishaji wa Bidhaa kutoka Malawi, Zambia na washirika wengine kuja bongo ama Kutoka Bongo kwenda Huko ni jambo la kawaida hivyo mwingiliano wa Jamii tofauti tofauti ni Mkubwa kuliko maeneo Mengine.(Swala la biashara za mipakani limekua na madhara makubwa mno katika jamii zetu, wewe angalia Mikoa kama KAGERA, KILIMANJARO,NYASA utaona ndio mikoa yenye Viwango Vya Juu vya maambukizi ya VVU).

Swala lingine ni swala la Mila na Desturi, mambo ya Tohara kwa wanaume nayo kuna tatizo maana yapo makabila mchanganyiko pale hivyo kuna makabila ama jamii nyingine hawafanyi Tohara kwa wanaume swala ambalo linapelekea maambukizi ya VVU kukua kwa kas kila Kukicha.

Jambo jingine ni ELIMU, ELIMU, ELIMU yawezekana Serekali ya Tanzania inatoa na kuweka nguvu kubwa sana katika utoaji wa Elimu Juu ya UKIMWI ila changamoto inakuja pale tuu Serekali za Malawi, zambia na wengine wanaposhindwa Kutoa elimu hii kwa watu wao na Kusababisha Watu wale kuwaambukizia wabongo VVU.

Ni hayo tuu niliyoyaona kwa Upeo huu nlio nao.
 
Taabu tupu! Ila majibu wanayo wenyewe. No SEX No HIV
 
Niliwahi kumuuliza daktari flani wa njombe hili swali nilichoambiwa ni kuwa njombe kuna hospital kubwa kama ikonda hosp, bulongwa hosp, kibena hosp, ikelu hosp lugarawa na ilembula hosp. Zote ni hosptali kubwa sana hivyo watu wengi wanafika kupata matibabu huko kutoka sehemu mbalimbali na wakipimwa vvu takwimu zinasoma njombe kwakuwa watu wengi hawatoi taarifa sahihi wanatoka wapi... Ila sijui kama ndo uhalisia wenyewe
Hosp. kubwa sana? tangu lini hii? unaposema kubwa sana unalinganisha na za wapi? au kwako maana ya Hosp. kubwa sana nini?
 
Ukiangalia % kwa kila mkoa utagundua kwamba mikoa isiyo na utamaduni wa kutahiri wanaume % ya maambukizi ni kubwa ukilinganisha na mikoa ambayo watu wake wanatahiri. Wagogo ni mafusika lakini % iko chini halikadhalika Lindi. Pia angalia mikoa ya visiwani % iko chini. Sasa angalia Mbeya, Shinyanga, Njombe, Ruvuma, Rukwa % ya maambukizi iko juu. tohara ni njia mojawapo ya kupambana na maambukizi ya VVU
 
Takwimu zingekuwa nzuri zaidi kama wangekuwa wanachukua kwa watu wa kawaida tu au zile za wamama wajawazito wanapoenda kuhudhuria kwa mara ya kwanza ila hizi zingine sijui kutoka kwenye vituo vya ushauri nasaha wakati mwingine haziakisi hali halisi maana inawezekana asilimia kubwa wanaokwenda kwenye vituo hivi (VCT) wanahistoria ya kupita njia mbaya hivyo wanawenda ku-confirm ili wabadirishe tabia (lakini mwisho wa siku ni takwimu halali ila bado tunatakiwa tuangalia na source za information zingine zaidi
 
Back
Top Bottom