Mbayo wa Giika
JF-Expert Member
- Apr 9, 2014
- 205
- 107
sijaelewa yaani mkojo unatoka pamoja na mbegu?:shock:au unamaanisha mabaki ya mbegu baada ya tendo la ndoa la usiku linaamabatana na mkojo?Naomba unifafanulie hilo tafadhali ..
Mabaki ya mbegu yanaambatana na mkojo baada ya tendo la ucku. Au ni kawaida mkuu?
Mimi ni mwanaume niliyeoa hivi karibuni. Cku za hivi karibuni nime-note kitu hiki,baada ya tendo la ndoa ucku asubuhi nikitoa aja ndogo inaambatana na shahawa! Naombeni msaada wenu,nini chanzo cha hili na athari zake nini?
Ndio ni kawaida....Mabaki ya mbegu yanaambatana na mkojo baada ya tendo la ucku. Au ni kawaida mkuu?
Si unatoa shahawa wakati wa kupizz ama hukojoi?au zinatoka kidogo?Mabaki ya mbegu yanaambatana na mkojo baada ya tendo la ucku. Au ni kawaida mkuu?
jitahidi wakati wakuejacilate ujiachie ili shahawa zitoke zote, ukijibana zinabaki kwny njia then wakati wa haja ndogo zinasikumwa na mkojo kutolewa nje.
Pia hali hiyo inaweza kusababishwa na ukosefu thabiti wa nguvu zakiume au kulegea kwa mishipa ya damu ya uume.
but wakati mwingine imekuwa kawaida kwa wengi kutokana na vyakula dhaifu vyakusindikwa ambavyo kwakias kikubwa zinapunguza urijali.
hii kitaalamu unasababishwa na kitu tunaita "retrograde ejaculation", ambapo kizuizi (sphincter) katika mlango wa kibofu cha mkojo hakifanyi kazi yake sawasawa ama kinepoteza uwezo wa kuzuia mbegu zisiingie katika kibofu wakati wa orgasm. madhara yake ni pamoja na utasa kama tatizo ni kubwa zaidi.
unaweza kusoma zaidi
Fafanua kidogo hapo mkuu,ajiachie kivipi!jitahidi wakati wakuejacilate ujiachie ili shahawa zitoke zote, ukijibana zinabaki kwny njia then wakati wa haja ndogo zinasikumwa na mkojo kutolewa nje.
Pia hali hiyo inaweza kusababishwa na ukosefu thabiti wa nguvu zakiume au kulegea kwa mishipa ya damu ya uume.
but wakati mwingine imekuwa kawaida kwa wengi kutokana na vyakula dhaifu vyakusindikwa ambavyo kwakias kikubwa zinapunguza urijali.
Mimi ni mwanaume niliyeoa hivi karibuni. Siku za hivi karibuni nime-note kitu hiki, baada ya tendo la ndoa usiku asubuhi nikitoa aja ndogo inaambatana na shahawa.
Naombeni msaada wenu, nini chanzo cha hili na athari zake nini?
huu udaktari wako mkuu utakuwa umeusomea china!! ha ha hajitahidi wakati wakuejacilate ujiachie ili shahawa zitoke zote, ukijibana zinabaki kwny njia then wakati wa haja ndogo zinasikumwa na mkojo kutolewa nje.