mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Yaani kizazi kijacho tumeshakiuza utumwani wakati kikiwa hapa hapa nchini. Watakuwa wanafanya kazi miaka nenda rudi kwa ajili ya kulipa madeni, na wao watalazimika kukopa tena na mzunguko wa utumwa utaendelea!! Namkumbuka NDUGAI!! Uko wapi Ndugai? Tanganyika inakulilia Ndugai!! Ndugai umeitelekeza Tanganyika kwa kukimbia mapambano!! Hatimaye mama angekuelewa tu wala mama hana shida kihivyo ila kuna watu wanampotosha!!Kuna muda utafika watoto wetu watadai uhuru kwa bunduki maana nchi itakuwa imeuzwa na baba na mama zao.
Watayaponda makaburi yetu.
Mungu tusaidie utufanyie wepesi kama jana.
Mswahili ni mgulugulu usimuamini hata siku moja, mswahili alisema hakuna cha mama yake wala shangazi yake, aliponeshwa nduluku akasema harakaharaka ipo nyingi na kila siku tutatoa takwimu, alipozionja akasahau kutoa takwimu.Mwanzoni tuliambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za covid 19, na sasa tunaambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za vita ya urusi na ukraine!
Tanzania has reached an agreement with International Monetary Fund (IMF) in a medium term program to secure Sh2.4 trillion, the lender has announced.
In a statement released by IMF, it was revealed that the finalization of this agreement came from meetings between Tanzanian authorities and IMF that were held from May to June 2022 in Dodoma, Dar es Salaam and Zanzibar.
According to the IMF’s statement, this program is set to develop Tanzania’s economy.
“Tanzania’s economy is gradually recovering from the negative effects of COVID-19 pandemic but spillovers from the war in Ukraine are stalling the recovery. IMF emergency assistance under the Rapid Credit Facility (RCF), and additional support from other development partners, supported the authorities’ efforts to step-up the pandemic response, address fiscal pressures engendered by the pandemic response, and close financing needs,” the statement details.
Kwa sasa tunaambiwa:
The International Monetary Fund said Monday it has granted Tanzania a $1.046-billion loan over 40 months, primarily to help the country cope with the consequences of the war in Ukraine.
"Spillovers from the war in Ukraine are stalling the Tanzanian economy's gradual recovery from the Covid-19 pandemic, exacerbating the country's development and reform challenges to unleash its economic potential," the IMF said in a statement.
Ujue hizo $1.046 bilion ndio hizo Tsh 2.4 trilion.
Tujiulize kwa nini sababu ya mkopo tuliyoambiwa mwanzo ni tofauti na tunayoambiwa sasa?
Maendeleo hayaendani na mikopo and they don't care.Mungu tusaidie,Utuhurumie,Utukomboe,Utupatie Kiongozi Mwema ,AMENI
Wewe ni mpumbavu,uliambiwa na nani?Mwanzoni tuliambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za covid 19, na sasa tunaambiwa ni kwa ajili ya kuondokana na athari za vita ya urusi na ukraine!
Tanzania has reached an agreement with International Monetary Fund (IMF) in a medium term program to secure Sh2.4 trillion, the lender has announced.
In a statement released by IMF, it was revealed that the finalization of this agreement came from meetings between Tanzanian authorities and IMF that were held from May to June 2022 in Dodoma, Dar es Salaam and Zanzibar.
According to the IMF’s statement, this program is set to develop Tanzania’s economy.
“Tanzania’s economy is gradually recovering from the negative effects of COVID-19 pandemic but spillovers from the war in Ukraine are stalling the recovery. IMF emergency assistance under the Rapid Credit Facility (RCF), and additional support from other development partners, supported the authorities’ efforts to step-up the pandemic response, address fiscal pressures engendered by the pandemic response, and close financing needs,” the statement details.
Kwa sasa tunaambiwa:
The International Monetary Fund said Monday it has granted Tanzania a $1.046-billion loan over 40 months, primarily to help the country cope with the consequences of the war in Ukraine.
"Spillovers from the war in Ukraine are stalling the Tanzanian economy's gradual recovery from the Covid-19 pandemic, exacerbating the country's development and reform challenges to unleash its economic potential," the IMF said in a statement.
Ujue hizo $1.046 bilion ndio hizo Tsh 2.4 trilion.
Tujiulize kwa nini sababu ya mkopo tuliyoambiwa mwanzo ni tofauti na tunayoambiwa sasa?
Sawa lakini nimenukuu taarifa za IMF kwanza wakati wanakubali kutoa mkopo na pili wakati wameidhinisha mkopo. Nimezinukuu lakini pia unaweza kuingia kwenye tovuti yao ukajisomea! Pole kwa kuwa mtukanaji na bila shaka ulijifunza matusi utotoni kwenye familia yenu!! Pole sana, sikulaumu ila nakupa pole maana wewe ni mhanga wa mazingira uliyokulia toka utotoni kwa hiyo unastahili kusamehewa bure!! Bila shaka na wewe ulitukanwa sana na ukajifunza kutukana pia!! Pole sana!!Wewe ni mpumbavu,uliambiwa na nani?
Kuna watu mnachosha Sana kiukweli.Sasa wewe huoni hizi ni scenario tofauti?Sawa lakini nimenukuu taarifa za IMF kwanza wakati wanakubali kutoa mkopo na pili wakati wameidhinisha mkopo. Nimezinukuu lakini pia unaweza kuingia kwenye tovuti yao ukajisomea! Pole kwa kuwa mtukanaji na bila shaka ulijifunza matusi utotoni kwenye familia yenu!! Pole sana, sikulaumu ila nakupa pole maana wewe ni mhanga wa mazingira uliyokulia toka utotoni kwa hiyo unastahili kusamehewa bure!! Bila shaka na wewe ulitukanwa sana na ukajifunza kutukana pia!! Pole sana!!
Kama una hoja za msingi kwani huwezi kuziainisha mpaka uweke matusi? Hoja yangu ni kwamba mkopo ni huo huo na ulishaombwa na kukubalika na sababu zake tukaambiwa, haiwezekani tena kupandikiza sababu zingine wakati mkopo unaidhinishwa!Kuna watu mnachosha Sana kiukweli.Sasa wewe huoni hizi ni scenario tofauti?
Umesema mwanzoni ilikuwa covid sasa covid haikuleta hasara hadi karibia uchumi u collapse?
Saizi ni athari za vita ya Ukraine kwani ninuongo? Dunia nzima inalia kwa sababu za athari za vita wewe sijui ni WA wapi? Ruzuku ya bil.100 inayotolewa kwenye mafuta huioni? Gharama za kupanda Kwa vitu huoni?
Angalia taarifa ya mwezi wa 5 ya BOT uone jinsi import bill ilivyokuwa kubwa na kutishia kula forex zote na uwezo wa Nchi kuagiza bidhaa muhimu kwa sababu ya gharama kubwa ya bidhaa huko Duniani..
Inawezekana tusielewane maana mimi naongea kwa perspective ya kiuchumi wewe unaleta blaa blaa zisizo na msingi.
Sielewi hata hoja yako hasa ni ipi.
48,000 tshsHivi trillion 2.4 gawanya mln 50(watu) inakuja ngapi
Ova
Nimekuuliza huo mkopo uliobwa lini na kukubalika? Sijaona hayo maelezo badala yake kuna maelezo clear kabisa kwamba maofisa wa IMF walikuja Dom,Dar na Zanz kujadili mkopo kwa scenario ya vita..Kama una hoja za msingi kwani huwezi kuziainisha mpaka uweke matusi? Hoja yangu ni kwamba mkopo ni huo huo na ulishaombwa na kukubalika na sababu zake tukaambiwa, haiwezekani tena kupandikiza sababu zingine wakati mkopo unaidhinishwa!