mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
- #21
Nimekuambia ingia kwenye website ya IMF!Nimekuuliza huo mkopo uliobwa lini na kukubalika? Sijaona hayo maelezo badala yake kuna maelezo clear kabisa kwamba maofisa wa IMF walikuja Dom,Dar na Zanz kujadili mkopo kwa scenario ya vita..
Niwekee hayo maelezo yako hapa