Nikusahihishe..
Mkuu wa majeshi ni raisi yaaani anasimamia majeshi yote.polisi,jwtz,secret service n.k....na Generali ni mkuu wa jeshi la jwtz tu..GeneralI sio mkuu wa majeshi..ni mkuu wa jeshi la wananchi wa tz
Sent using
Jamii Forums mobile app
Wewe ndio ujaelewa , unafikili kwa nini mkuu wa majeshi anaitwa "mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama "
Kwa taarifa yako jenerali mabeyo ndio mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama na sio mkuu wa jwtz..let me twist in this way kwa mfano huu.
Protocol, cheo cha Inspector gerali wa polisi (IGP) ukikibadilisha/equivalent na meja jenerali , cheo cha kamishina ukikibadilisha ni sawa na cheo cha bregadia jenerali.
Kwa iyo mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwa itifaki anatokea jwtz, na Amiri jeshi mkuu ni Rais wa nchi.
Kwa kifupi , mkuu wa jeshi la polisi ni IGP, mkuu wa zimamoto ni kamishina wa polisi, mkuu wa hidara ya uhamiaji ni kamishina ,mkuu wa usalama wa taifa cheo chake ni equivalent na meja jenerali(**) , na mkuu wa jwtz ni jenerali (****)
Mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama ni jenerali (****) ,mana wakuu wote wa vyombo vyengine vya ulinzi na usalama vyeo vyao ni vidogo kwa jenerali ,tena wanazidiwa na mnazimu mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (luteni jenerali ***)
Ndio mana utasikia mnazimu mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (na uwezi kusikia mnazimu mkuu wa jwtz), utasikia mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (uwezi sikia mkuu wa jwtz ).
Kwa kuongezea fuatilia kukiwa na sherehe ikulu inayousu vyombo vya dola utaona walivyojipanga (kwenye majeshi mwenye cheo kikubwa anakaa kulia na kushoto mwenye cheo kidogo ) utaona walivyojipanga anaanza mkuu wa majeshi ,IGP, mkuu wa usalama wa taifa , mkuu wa uhamiaji ,mkuu wa zimamoto i.e jenerali,inspector jenerali wa polisi, meja jenerali , kamishina wa uhamiaji /magereza etc respectively.
Kama ujanielewa hapo ,uliza swali