Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23]Wee baki na swali lako la awali,hiyo idadi ya magari ya ulinzi ya viongozi sijui hata unaitakia nini??? Au lengo lako ni nini na wewe ni nani??
Dunia hii maswali mengine huwa hayajibiwi
hata maji marefu ni prof.....
unajisifia na elimu ya TZ mkuu.....
weee kaa huko huko bongo af wenzio wanabeba box ulaya wanatokaaaa............
msomi hawez kuwa CCM ever
Nikusahihishe..Wewe acha kujibu usilolijua kabisa Rais ni Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, Mkuu wa majeshi ni tofauti yeye ni Mkuu wa vikosi vyote vya Jeshi la wananchi wa Tanzania na anakua na cheo cha Jenerali
Hili nalo ni jibu?Ndio maana linaitwa JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA nadhani umepata jibu hapo mkuu.
We jamaa nae unaakili za kizaman mnoMkuu wa majeshi mbna mi namuona wa kawaida kwasababu raisi anauwezo wa kumuachisha kazi akiamka na kusema natengua uteuzi wa mkuu wa majeshi hana chake ila jaji mkuu ndio noma
Nikusahihishe..
Mkuu wa majeshi ni raisi yaaani anasimamia majeshi yote.polisi,jwtz,secret service n.k....na Generali ni mkuu wa jeshi la jwtz tu..GeneralI sio
mkuu wa majeshi..ni mkuu wa
jeshi la wananchi wa tz
Sent using Jamii Forums mobile app

Escort ambayo anatumia mkuu wa majeshi ni kubwa kuliko ya baadhi uliowataja. Mana wale escort yao ni polisi na mkuu wa majeshi escort ni ya makomandoo nadhani unajua tofauti aliyonayo polisi na mwanajeshi
Wewe ndio ujaelewa , unafikili kwa nini mkuu wa majeshi anaitwa "mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama "Nikusahihishe..
Mkuu wa majeshi ni raisi yaaani anasimamia majeshi yote.polisi,jwtz,secret service n.k....na Generali ni mkuu wa jeshi la jwtz tu..GeneralI sio mkuu wa majeshi..ni mkuu wa jeshi la wananchi wa tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio ujaelewa , unafikili kwa nini mkuu wa majeshi anaitwa "mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama "
Kwa taarifa yako jenerali mabeyo ndio mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama na sio mkuu wa jwtz..let me twist in this way kwa mfano huu.
Protocol, cheo cha Inspector gerali wa polisi (IGP) ukikibadilisha/equivalent na meja jenerali , cheo cha kamishina ukikibadilisha ni sawa na cheo cha bregadia jenerali.
Kwa iyo mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwa itifaki anatokea jwtz, na Amiri jeshi mkuu ni Rais wa nchi.
Kwa kifupi , mkuu wa jeshi la polisi ni IGP, mkuu wa zimamoto ni kamishina wa polisi, mkuu wa hidara ya uhamiaji ni kamishina ,mkuu wa usalama wa taifa cheo chake ni equivalent na meja jenerali(**) , na mkuu wa jwtz ni jenerali (****)
Mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama ni jenerali (****) ,mana wakuu wote wa vyombo vyengine vya ulinzi na usalama vyeo vyao ni vidogo kwa jenerali ,tena wanazidiwa na mnazimu mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (luteni jenerali ***)
Ndio mana utasikia mnazimu mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (na uwezi kusikia mnazimu mkuu wa jwtz), utasikia mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (uwezi sikia mkuu wa jwtz ).
Kwa kuongezea fuatilia kukiwa na sherehe ikulu inayousu vyombo vya dola utaona walivyojipanga (kwenye majeshi mwenye cheo kikubwa anakaa kulia na kushoto mwenye cheo kidogo ) utaona walivyojipanga anaanza mkuu wa majeshi ,IGP, mkuu wa usalama wa taifa , mkuu wa uhamiaji ,mkuu wa zimamoto i.e jenerali,inspector jenerali wa polisi, meja jenerali , kamishina wa uhamiaji /magereza etc respectively.
Kama ujanielewa hapo ,uliza swali
Wewe mwelevu tujuze sasa, mana nilitegemea umekuja na point ya msingi kumbe ni kejeli tu , JF sio Facebook, tupingane kwa hoja na sio kwa matusi.Yaani mnavyobishana ni kama mnaelewa mnachoandika kumbe ni ujinga mtupu. Vyombo vya ulinzi ni vipi na vya usalama ni vipi?
Nimekupata broWewe ndio ujaelewa , unafikili kwa nini mkuu wa majeshi anaitwa "mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama "
Kwa taarifa yako jenerali mabeyo ndio mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama na sio mkuu wa jwtz..let me twist in this way kwa mfano huu.
Protocol, cheo cha Inspector gerali wa polisi (IGP) ukikibadilisha/equivalent na meja jenerali , cheo cha kamishina ukikibadilisha ni sawa na cheo cha bregadia jenerali.
Kwa iyo mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama kwa itifaki anatokea jwtz, na Amiri jeshi mkuu ni Rais wa nchi.
Kwa kifupi , mkuu wa jeshi la polisi ni IGP, mkuu wa zimamoto ni kamishina wa polisi, mkuu wa hidara ya uhamiaji ni kamishina ,mkuu wa usalama wa taifa cheo chake ni equivalent na meja jenerali(**) , na mkuu wa jwtz ni jenerali (****)
Mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama ni jenerali (****) ,mana wakuu wote wa vyombo vyengine vya ulinzi na usalama vyeo vyao ni vidogo kwa jenerali ,tena wanazidiwa na mnazimu mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (luteni jenerali ***)
Ndio mana utasikia mnazimu mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (na uwezi kusikia mnazimu mkuu wa jwtz), utasikia mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama (uwezi sikia mkuu wa jwtz ).
Kwa kuongezea fuatilia kukiwa na sherehe ikulu inayousu vyombo vya dola utaona walivyojipanga (kwenye majeshi mwenye cheo kikubwa anakaa kulia na kushoto mwenye cheo kidogo ) utaona walivyojipanga anaanza mkuu wa majeshi ,IGP, mkuu wa usalama wa taifa , mkuu wa uhamiaji ,mkuu wa zimamoto i.e jenerali,inspector jenerali wa polisi, meja jenerali , kamishina wa uhamiaji /magereza etc respectively.
Kama ujanielewa hapo ,uliza swali
Nimeelewa sana[emoji122] [emoji122]Wewe ndio ujaelewa , unafikili kwa nini mkuu wa majeshi anaitwa "mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama "

Mwaka wa jana nilikutana na masafara wa cdf acha tu komandoo mmoja sawa na polis kama 900 hivi na hiwa na mitutu ya hatare mbele na nyuma pikipiki ya njia wenge tu wao ni defender
Sent using Jamii Forums mobile app
Amesema General Davis Mwamunyange,hata mm 2014 nilishawah kukutana na General Mwamunyange kwenye foreni nilikua kwenye daladala naelekea gomz gari ya General ilikua kwenye foreni kipawa nikamuona alikua anasoma gazet sijui alikua anaelekea wapi perhaps airport, yule jamaa alikua wakipekeeMkuu wa majeshi mzee Mabeyo naishi nae mtaa mmoja huku Tabata segerea tangu akiwa mnadhimu mkuu wa jeshi na hata muda mfupi uliopita nilikuwa na mke wake kwenye jumuiya(Mama Mabeyo)....
Akiwa anakuja huku kitaa kutokea town (kupitia njia ya tabata segerea kwenda kinyerezi) ankuwa na escort ya gari moja mbele (gari la MP) na lingine nyuma wakiongozwa na pikipiki kwa mbele (gari lake linakuwa na nyota kadhaa)....anapita bila kukaa kwenye foleni bila kusimama hata sehemu moja mpaka anafika kwake na juzi tu wanajeshi wamemaliza kumchongea barabara ya kwenda nyumbani kwake huku segerea
Labda ulimuona afisa mwingine wa JESHI na si mkuu wa MAJESHI (Mzee MABEYO) mkuu
Nawasilisha wakuu....weekend nkema
Sent using Jamii Forums mobile app