Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?


Huyo Commando Otto Skorzeny uliwahi kumuona au ulikaririshwa kwa kusoma habari zake?
 
Huyo Commando Otto Skorzeny uliwahi kumuona au ulikaririshwa kwa kusoma habari zake?

Mkuu huyo komandoo yupo humu mtandaoni msome utaelewa namaanisha nini. Ukomandoo siyo maonyesho ya kuvunja matofali au mbao. Ukomandoo ni kazi anazofanya huyo komandoo. Otto Skorzeny anajulikana kwa mambo aliyofanya mpaka akaitwa the most dangerous man in Europe.
 
Commando ni nani?
 
Wewe mwelevu tujuze sasa, mana nilitegemea umekuja na point ya msingi kumbe ni kejeli tu , JF sio Facebook, tupingane kwa hoja na sio kwa matusi.
Umeshafanya application za chuo? Mana JF imevamiwa na watoto wa kidato cha sita
Haujatukanwa, tatizo ni kujifanya unajua kumbe hujui.
 
Mkuu wa majeshi ni amiri jeshi mkuu yaani rais. Una maana kwamba rais hapewi heshima?



Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Majeshi ni Watu wawili tofauti tena sana.

Amiri Jeshi Mkuu ni Mkuu wa Nchi mwenye dhamani na vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama ndani ya Nchi, kwa Kiingereza anaitwa "Commender In Chief.

Mkuu wa Majeshi yeye ni mwenye dhamana na Jeshi la Ulinzi la Wanaichi wa Tanzania kwa Kiingereza anaitwa " Chief of Defence Forces"
 
Mnatubadilishia uzi jamani ila kwa nilivyoona raia wanaupendo sana na jeshi letu pendwa kuliko wale wenzao ila naona sababu kuu ya kuchukiwa ni kujiingiza kwenye siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu japo hii thread ni ya zaman lakin nimekuelewa sana. Kiuhalisia na kivitendo jeshi la polisi ndo lipo juu kimamlaka kuliko majeshi yote labda tu nguvu yake inapungua kwenye kitengo cha siraha maana halina siraha nzito kama JWTZ
And that is the weakness you have, hv wale bakabaka wakiamua kukinukisha nyie mnaweza kwenda kambini kwao kuwadhibiti? Ila nyie hata mkikinukisha wale jamaa faster tu wanawadhibiti you see the difference now

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba hana escort anayo huwa kunakuwa na gari ya king'ola ya MP halafu inakuja gari yake na mwisho pia kuna gari nyingine na Mara nyingi asubuhi kutokana na foleni huwa wanatumia Barbara ya upande wa pili sasa huyo aliyenasa huko labda alikuwa msaidizi wake
 
Mkuu wa majeshi mbna mi namuona wa kawaida kwasababu raisi anauwezo wa kumuachisha kazi akiamka na kusema natengua uteuzi wa mkuu wa majeshi hana chake ila jaji mkuu ndio noma
Na jeshi likikataa rais atafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…