kwani shida yako ni nini au wewe ni msemaji wa jeshi la wananchi wa tanzania
kuna siasa gani hapo au ww mda wote ndio wawaza siasa? yaonekana huna hata ulijualo watu tuliuliza ili kufahamishwa na humu kuna watu wameshusha majibu na elimu ambayo hata ww hapo huna ufaham juu yahayo.usiwaze siasa mda wote ndugu utashindwa kufanya mambo ya msingi
mkuu msafara wa magari84.....magari 84,;
huelewi unacho ongea , nashida yako ni kwamba hujui mamlaka ya jeshi la polisi,kumbuka masuala yote ya "internal security" (IS) yapo chini ya jeshi la polisi, ngoja nikupe mfano mmoja "mfano ndani ya kambi ya jeshi la ulinzi la kudumu (maarufu jwtz) kumetokea kifo cha mashaka hapo ni jeshi la polisi ndilo litakalo kuwa na mamlaka ya kuchunguza kifo hicho ikiwa ni pamoja na kusimamia taarifa ya kitabibu (POSTMORTEM) juu ya kifo hicho na si jeshi la ulinzi la kudumu (maarufu jwtz), polisi wanamamlaka hata ya kusimamisha na kukagua magari yote ya hao wanao itwa jwtz kwani si kila gari la bakabaka basi ni gari la jeshi la ulinzi la kudumu, au si kila aliyevaa gwanda la bakabaka basi ni askari wa jeshi la ulinzi la kudumu, (lakini cha ajabu hao wanao itwa jwtz huwa wanabisha kukaguliwa na polisi, kwa kisingizio kuwa wao hawatakiwi kukaguliwa. (HUU NI UFINYU WA KUFIKIRI)msafara huo wa ma MP ni zaidi ya kuwa na walinzi (askari) wa CCM10000,...
askari jeshi wanaomlinda major general ni wale kutoka ngelengele special forces,....
hao askari wenu kaki ni wa kuakikisha ulinzi wa CCM na viongoz wake na kuzuia maandamano ya CDM.......
Mkuu lMKUU mshangao wangu ni why anapokuwa anapita njia huwa haisafishi?? yaani nayeye unakuta anakuwa kwenye foleni kama kawaida??.
MKUU naomba unisaidie misafara mfano wa raisi huwa unatakiwa kuwa na magari mangapi na huwa anaongozana na wakina nani na waziri MKUU nae pia na spika na je urazima wakuambatana na hao watu ni upi??
Hana escort ya polisi ama sijawahi sikuzote napishana nae huongozwa NA kingora cha jeshi waitwao MPkimsingi mkuu wa majeshi ana escort kamaa ifuatavyo; inatangulia pikipiki mbili za polisi jeshi, ikifuatiwa na gari moja ya polisi jeshi, gari mbili aina ya jaguar ambayo moja ina mkuu wa majeshi na nyingine ina walinzi wake na magari mawili ya mwisho inakuwa na wasaidizi wake. msafara wake hubadilika kulingana na mahitaji ya wakati huo aidha mkuu wa majeshi hapendi sana vingora wala sifa za misafara......kwa mujibu wa rafiki yangu fulani ambaye ni kamanda hope hajanidanganya
Mada iiliyopo na unachoendelea kueleza ni tofauti kabisa. wewe unachotaka kuonyesha nani zaidi.huelewi unacho ongea , nashida yako ni kwamba hujui mamlaka ya jeshi la polisi,kumbuka masuala yote ya "internal security" (IS) yapo chini ya jeshi la polisi, ngoja nikupe mfano mmoja "mfano ndani ya kambi ya jeshi la ulinzi la kudumu (maarufu jwtz) kumetokea kifo cha mashaka hapo ni jeshi la polisi ndilo litakalo kuwa na mamlaka ya kuchunguza kifo hicho ikiwa ni pamoja na kusimamia taarifa ya kitabibu (POSTMORTEM) juu ya kifo hicho na si jeshi la ulinzi la kudumu (maarufu jwtz), polisi wanamamlaka hata ya kusimamisha na kukagua magari yote ya hao wanao itwa jwtz kwani si kila gari la bakabaka basi ni gari la jeshi la ulinzi la kudumu, au si kila aliyevaa gwanda la bakabaka basi ni askari wa jeshi la ulinzi la kudumu, (lakini cha ajabu hao wanao itwa jwtz huwa wanabisha kukaguliwa na polisi, kwa kisingizio kuwa wao hawatakiwi kukaguliwa. (HUU NI UFINYU WA KUFIKIRI)
kitu kingine unaonesha kudharau jeshi la polisi kwa kusema eti ni la askari wa ccm huku ukijipotosha kuwa hao mnao waita jwtz si askari wa ccm, sasa ndugu yangu nikukumbushe tu kuwa majeshi yote yapo chini ya tawala za kiraia hivyo ni amri za watawala wa kiraia ndizo zinazo endesha majeshi yetu, sasa basi kile kitu kinacho fanywa na polisi halafu wewe ukipendi kumbuka kitu hichohicho chaweza fanywa na hao the so called jwtz, tena kinaweza fanywa vibaya zaidi kuliko hata jeshi la polisi, NIKUJIDANGANYA KUSEMA KWAMBA POLISI WANATETEA CCM, HALAFU HAPOHAPO UWATOE HAO REGULAR FORCE (MAARUFU KAMA JWTZ)
MpHana escort ya polisi ama sijawahi sikuzote napishana nae huongozwa NA kingora cha jeshi waitwao MP
Polisi kila siku wanafanya kazi na raia, usishangae kutokea hali hii, ila kukwepa hali hii ya kuchukiwa ni rahisi sana. Polisi afanye kazi kwa kutegemea mshahara anaolipwaa na serikali, waache kutegemea wananchi wanakutana nao kuwapatia fedha za kusukummia maisha ya siku. Lakini hata JWTZ, yapo maeneo wanapondwa sana humu, sio polisi tu.na hatawachangiaji baadhi wanachangia kwa kudharau vyombo vingine vya ulinzi na usalama ndiyo maana nimeona nitoe ufafanuzi juu ya dharau zao hasa kwa wale wanao beza jeshi la polisi.