Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?



Yametokea wapi hayo? Hapa inshu ni escot manguo,mapigano masheria mi ulipokuja na vifungu nkajua uhalali wa escot kumbe unaelezea masifa ya majeshi na uwepo wake ss tunataka escot tu hayo mengine watajua wao wataka sifa ya nani mkubwa
 
JF Bwana. Wakati Mwingine Ukisoma Mambo Unacheka Tu !!! Kwamba Shamsi aliondolewa kwa sababu hizo????? So Waziri wa Ulinzi au Mambo ya Ndani hana uwezo wa kutoa maelekezo au amri kwa maafisa waandamizi??? Unaujua Mfumo wa Utendaji Kazi Serikalini, hasa kuhusu usimamizi wa vyombo vya dola??? Give me a break!!!
 


Take a break ...

Anauwezo wa kutoa maelekezo KATIKA mambo ya kisera na kiutawala ...lakini sio UTENDAJI ...na iwapo Ana maelekezo juu ya utendaji .....hatakiwi kupayuka payuka Huku .....hadharani ....kuna namna ya kufikisha .....
Angelia waziri Kama Hussein Mwinyi ....ndivyo hasa waziri kwenye hizi wizara anatakiwa kuwa ...anajuwa mipaka yake Kama waziri .......Sasa unapoona waziri anafukuza kazi Askari ni dhahiri anaingilia mamlaka za kiutendaji .......anachoweza kufanya ni kumuambia mamlaka iwe IGP etc ..through official minutes achukue hatua ......kuna baadhi ya vyeo ...ambavyo huwezi kumchukulia hatua bila kushauriana ...na AMIRI JESHI MKUU .
JUZI nimeona Naibu waziri anafukuza kazi Askari ...nikasema ametoa wapi hayo mamlaka .......maana Hao Askari wako chini ya polisi, uhamiaji,zimamoto etc .....wanna mamlaka zao .......ingetosha yeye kukemea na akitoka hapo apeleke maagizo kwa viongozi wao Ili wao ndio watoe matamko......au kuchukua hatua ..
 
basi
Yametokea wapi hayo? Hapa inshu ni escot manguo,mapigano masheria mi ulipokuja na vifungu nkajua uhalali wa escot kumbe unaelezea masifa ya majeshi na uwepo wake ss tunataka escot tu hayo mengine watajua wao wataka sifa ya nani mkubwa
fuatilia vizuri kunamwenzio amejibiwa hapo kwenye maelezo hayo.
 
Mambo ya kisera huwa hayahusu utendaji??? Tofautisha mamlaka ya mtu kisheria, na tabia au hulka za mtu (personality) ambazo unasema kuhusu kuropoka!!! Fafanua Mkuu maana inaonekana wewe wajua sana. Tuelimishe
 
akitoa taarifa trafik anasafishiwa njia. sema nyendo zake zinaratibiwa na jeshi na hawapendi kuingiza taarifa za safari zake polisi kwa kuwa usalama wanauratibu wenyewe. Mtazamo wangu
 
Anapewa heshima kubwa sana kuliko wote uliowataja ni ngumu sana kupata no yake ya sm kuliko jpm
 
Ni kweli hata mimi huwa namuona na escort 1 au 2!
 
Mkuu wa majeshi wa nchi yoyote ile ana heshima yake kubwa tu. Tofauti yake ni kwamba heshima yake inakidhi matakwa ya privacy...not for public stunt or politics. Ni heshima ambayo haina unafiki.
 
wee mkuuu a majesh anlindwa kuliko kitu chochote na ndio maana hata hawaofii kujichanganya kwenye folen
 
Jangwani unavaa kama trafiki na kafimbo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Shida polisi wamekaa kisiasa, na mafunzo yao yanaonekana malaini sana. Mtu akitoka tu Jkt anaenda Moshi akitoka huko tayari askari. Zigo la TPDF lisikilizie tu....
 
Je CDF anaweza kutoka jeshi la polisi?
 

Wewe utakuwa ni polisi unayejuta kwanini upo huko.
 
Mimi sijawaelewa kusema mkuu was majeshi ana ulinzi mkubwa kuliko ulinzi tunao uona kwa rais au waziri mkuu huo ni uongo jamani kiukweli hakuna ulinzi kama ule wa tiss hapa Tanzania na hata ukiangalia ile safari ya ghafla ya cdf mwaka jana ndo yenye kukuelewesha kuwa makomando ni wanawake kwa usalama wa taifa
 
mmmh!!ngumu kumeza hii
 
Umeshawahi kuona beki au kipa wakiheshimiwa.
 
Jadilini masuala ambayo ni size yenu huku mlikoingia kulijadili geshi sasa mnatafuta kuumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…