Ukwelibusara
Member
- Apr 8, 2016
- 30
- 7
Kwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwanza nakukemea kwa jina la allah (sijui kama nimekose jina). Unatakiwa ujue kuwa hapo tatizo ni Elimu Elimu Elimu. Huyu hata physics hajui kwamba sauti haiwezi kusafiri kwenye vaccum.Ebu acha kujitoa ufahamu umeishia darasa la ngapi? Nani kakuambia mwezini sauti ina sikika kwanini waislamu mmekuwa nyumbu wa kukubali lolote ili mradi lina favor dini yenu. mtoto anazaliwa na Quran kiaje sasa au Quran si lugha tu kama kiswahili mbona mna ipa attention ivo enyi vibaraka wa waarabu
labda mashetani yanakaa hukoKwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
Mkuu Qur'an siyo lugha...Ebu acha kujitoa ufahamu umeishia darasa la ngapi? Nani kakuambia mwezini sauti ina sikika kwanini waislamu mmekuwa nyumbu wa kukubali lolote ili mradi lina favor dini yenu. mtoto anazaliwa na Quran kiaje sasa au Quran si lugha tu kama kiswahili mbona mna ipa attention ivo enyi vibaraka wa waarabu
Quruan ni nini sasa?Mkuu Qur'an siyo lugha...
Quran ni kitabu. Na Lugha iliotumika ndani ya Quran ni kiarabu.Quruan ni nini sasa?
Mh!Labda huko mwezini kulikuwa na wale viumbe wasioonekana wanaadhini
Lol! Halafu kweliLabda huko mwezini kulikuwa na wale viumbe wasioonekana wanaadhini
Wako viumbe ambao hawaonekani Wanao swali kama wanavyo sawali Waislam inawezekana huko mwezini kukawa na viumbe ambao waislama na wana adhini na kuswali ambao binadamu sio rahisi kuwaona kwa mfano viumbe Malaika wana muabudu Mwenyeezi Mungu. Je tujiulize kwenye Biblia na Qur'an malaika wapo dini gani? Na Je wanamuabudu Mwenyeezi Mungu kwa njia gani? ukipata hapo jibu ndipo unaweza kujuwa kuwa huko mwezini kuna viumbe wasionekana Aka Malaika wanao muabudu Mwenyeezi Mungu kwa Dini ya kiislam au dini ya Kikristo. Kwa leo ninakuachieni hapo nina log off.Kwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
Huyo jamaa ni mwongo! Atakuwa aliamua kudanganya watu kwa interest zake! Halafu na huyo mtoto wewe ulimshuhudia au ulihadithiwa na kusoma mahali? Na yeye ni uongo vilevile! Kwa nn unadanganyika kirahisi hvo? HAYA SASA NGOJA NA MIMI NIKUELEZE MAAJABU YANGU BINAFSI. "SIKU NILIPOZALIWA TU, HAPOHAPO NIKAOMBA UGALI WA DONA"! Si umeona mkuu na mimi nilivyo wa maajabu!?Kwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
When Neil Armstrong and co. walked on the moon, they heard sounds in a strange language they did not understand. When Neil Armstrong went to Egypt, he heard the adhan, and said, "it was spacey something similar I heard while I was on the moon". Egyptian Friend told him that, it was the sound of Azaan (call for Muslim prayer). And Neil Armstrong immediately became Muslim because of this experience.Kwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
Wewe maajabu yako ya uroho[emoji51] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huyo jamaa ni mwongo! Atakuwa aliamua kudanganya watu kwa interest zake! Halafu na huyo mtoto wewe ulimshuhudia au ulihadithiwa na kusoma mahali? Na yeye ni uongo vilevile! Kwa nn unadanganyika kirahisi hvo? HAYA SASA NGOJA NA MIMI NIKUELEZE MAAJABU YANGU BINAFSI. "SIKU NILIPOZALIWA TU, HAPOHAPO NIKAOMBA UGALI WA DONA"! Si umeona mkuu na mimi nilivyo wa maajabu!?
Nani amekwambia QURAAN ni Lugha?Ebu acha kujitoa ufahamu umeishia darasa la ngapi? Nani kakuambia mwezini sauti ina sikika kwanini waislamu mmekuwa nyumbu wa kukubali lolote ili mradi lina favor dini yenu. mtoto anazaliwa na Quran kiaje sasa au Quran si lugha tu kama kiswahili mbona mna ipa attention ivo enyi vibaraka wa waarabu
Na Wagalatia Kufutia matokeo waislamu na kuwabana ktk kila nyanja za elimu mnaona Ujanja sana au sio?Mkuu kwanza nakukemea kwa jina la allah (sijui kama nimekose jina). Unatakiwa ujue kuwa hapo tatizo ni Elimu Elimu Elimu. Huyu hata physics hajui kwamba sauti haiwezi kusafiri kwenye vaccum.
Mkulu aliyepita alipata kunena haya wakati amealikwa kwenye mahafali ya kumaliza. Nanukuu. "Inabidi na nyie mjitahidi sasa, maana kwenye matokeo ukitaka kutafuta shule ya waislamu inabidi uanzie huku mwisho, hapa mwanzoni utakutana na shule za wakristo tu" mwisho wa kunukuu.
Hayo mambo ya mwezini wanadanganyana madrasat at elim
aiseeeNani amekwambia QURAAN ni Lugha?
Au kupayuka ni moja ya ibada zenu nyie vichwa maji!
Nikisema BIBLIA ni Lugha utanielewa?
We lzm utakuwa umevurugwa.