Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sauti za malaika, malaika wote ni waarabu.Alikutna na majini huko mwezini
[emoji1]Wewe maajabu yako ya uroho[emoji51] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji1]Alikutna na majini huko mwezini
Hivi mwezini upepo una vuma sana eh kwa vile hakuna kizuizi cha huo upepo? Lowasa alikuwa sawa kuweka kipaumbele cha elimu elimu elimuPumbavu kabisa, na yale ma helment ya oksijeni kichwani alisikiaje? Wao wenyewe walikuwa wakiwasiliana kwa vifaa maalum. Ushawahi kaa jangwani au eneo wazi lenye upepo mkali kisha ukasikia jinsi upepo unavyoimba? Mwezini ni eneo wazi na hakuna kizuizi cha upepo.
Alafu hili la mtoto kuzaliwa na kurani ni hadithi tu kama za wale watoto wa fatima walomwona mama maria, ukweli ni ziro.
Hahahahaaaaaa. Eti wanawakata. Na nyie wakateniNa Wagalatia Kufutia matokeo waislamu na kuwabana ktk kila nyanja za elimu mnaona Ujanja sana au sio?
Sasa toka mmeanza kufanya hivyo mbona Uislamu unazidi kushamiri tu?
Au hizo degree zenu za kipaimara hamkuzisoma Vizuri.!
Mnfnssssssssss!
Makatonta ovyo sana.
Kaka andika point basiEbu acha kujitoa ufahamu umeishia darasa la ngapi? Nani kakuambia mwezini sauti ina sikika kwanini waislamu mmekuwa nyumbu wa kukubali lolote ili mradi lina favor dini yenu. mtoto anazaliwa na Quran kiaje sasa au Quran si lugha tu kama kiswahili mbona mna ipa attention ivo enyi vibaraka wa waarabu
Gaidi wa kuzaliwaKwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
Mmmmmm!!! Kuamini haya uliyoyaandika inabidi walau uwe na uelewa au elimu chini ya ile elimu ya awali. Huu uchuro sasa....Kwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
Which wikipedia did you get your facts? The whole thing was a hoax.When Neil Armstrong and co. walked on the moon, they heard sounds in a strange language they did not understand. When Neil Armstrong went to Egypt, he heard the adhan, and said, "it was spacey something similar I heard while I was on the moon". Egyptian Friend told him that, it was the sound of Azaan (call for Muslim prayer). And Neil Armstrong immediately became Muslim because of this experience.
Source: wikipedia
Tukiamini kila ktu tutapotea,pamoja na kuwa hili suala kukaa kiimani zaidi ni heri tuache kama lilivyo kuliko kujiaminisha kwamba yule devil worshiper aliskia adhaan ndo aka slimKwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
PeaceNeil Armstrong (Conversion to Islam) - WikiIslam
Hii story ni uzushi tu au unaweza sema ni HOAX!! hakuna ushahidi wa kuthibitika zaidi ya story tu "iliyosemekana" eti..... N.Armstrong alikanusha hizi stori.... PA/secretary wake na hata idara ya diplomasia ya NASA pia ilikanusha!!
kuna mtu amepost kistori katika post zilizopita akasema source yake ni "Wikipedia"....ila kiukweli source yake ni "Wikiislam" na hakumalizia kusoma article nzima ili ajue ukweli wa hii stori ya Neil Armstrong na kusikia Adhana mwezini!!!
Haina haja ya kutunga uongo kuhalalisha ukweli.... kama unaamini upande uliopo kiimani ni wa haki na ukweli haina haja ya kubuni vistori kama hivi... kila mtu asimamie kile anachokiamini na haina haja ya kulazimishana katika mambo ya imani!!
#Peace