Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

Pumbavu kabisa, na yale ma helment ya oksijeni kichwani alisikiaje? Wao wenyewe walikuwa wakiwasiliana kwa vifaa maalum. Ushawahi kaa jangwani au eneo wazi lenye upepo mkali kisha ukasikia jinsi upepo unavyoimba? Mwezini ni eneo wazi na hakuna kizuizi cha upepo.

Alafu hili la mtoto kuzaliwa na kurani ni hadithi tu kama za wale watoto wa fatima walomwona mama maria, ukweli ni ziro.
 
Qur an ni maneno ya Allah yaani ni ufunuo aliopewa Mtume swallahu alayahi wasalaam ili kuwa muongozo kwa wanaadamu wote
 
Hivi mwezini upepo una vuma sana eh kwa vile hakuna kizuizi cha huo upepo? Lowasa alikuwa sawa kuweka kipaumbele cha elimu elimu elimu
 
nilijua tu kuwa haka kauzi kataleta mabishano ya kidini, endeleeni bs mana wazungu na waarabu waliwaletea ni kwa lengo hilo hilo ili mrumbane, lengo lao linatimia.
 
Hahahahaaaaaa. Eti wanawakata. Na nyie wakateni
 
Kaka andika point basi
 
hawakua na vifaa vya kunasia sauti?
vipi hao wanao sema sauti haisafiri kwenye ombwe yeye alisikiaje?
 
Which wikipedia did you get your facts? The whole thing was a hoax.
 
Kwahiyo na yule mtoto aliezaliwa na Quran Nigeria mnabisha???....
Tukiamini kila ktu tutapotea,pamoja na kuwa hili suala kukaa kiimani zaidi ni heri tuache kama lilivyo kuliko kujiaminisha kwamba yule devil worshiper aliskia adhaan ndo aka slim
 
Neil Armstrong (Conversion to Islam) - WikiIslam


Hii story ni uzushi tu au unaweza sema ni HOAX!! hakuna ushahidi wa kuthibitika zaidi ya story tu "iliyosemekana" eti..... N.Armstrong alikanusha hizi stori.... PA/secretary wake na hata idara ya diplomasia ya NASA pia ilikanusha!!

kuna mtu amepost kistori katika post zilizopita akasema source yake ni "Wikipedia"....ila kiukweli source yake ni "Wikiislam" na hakumalizia kusoma article nzima ili ajue ukweli wa hii stori ya Neil Armstrong na kusikia Adhana mwezini!!!

Haina haja ya kutunga uongo kuhalalisha ukweli.... kama unaamini upande uliopo kiimani ni wa haki na ukweli haina haja ya kubuni vistori kama hivi... kila mtu asimamie kile anachokiamini na haina haja ya kulazimishana katika mambo ya imani!!

#Peace
 
Peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…