Kwanini mmechana? "Ana Kibamia" Huyu dada mzima kweli?

Kwanini mmechana? "Ana Kibamia" Huyu dada mzima kweli?

Anaweza kuwa na yeye ana K kubwa alafu Maji mengi kwa nini Bamia isilainike..mbona hakuongelea hilo.
 
Sister Fay ni kichaa sana coz ni yeye ndie aliesema kule Instagram kwamba anawapa kitchen part wanawake ya kwamba eti si vizur kumsema mwanaume ana kibamia then akawa mkali mwisho akaitimisha "kaja mwenyewe uyo sijamuita" this lady is a bitch for sure na kichwan hamna kitu kabisa ingia insta uone uozo anaofanya
 
Anafanyaje?
 
Ila kama kweli jamaa ana kiba mia noma sana... Sana sanaa....
 
Mbona Gigi alimpa kiki Ney kuwa anamzigo wa maana au
Eee,??
Kama hivyo ndivyo;
Labda G- kiboksimanyoya chake kidogo ku-accomodate hicho kinachosemekana kuwa ni 'Kibamia' ,
Na huyo anaemnanga mwenzake
Kuwa anacho Kibamia labda yeye kajaaliwa Mpango wa kupwelepweta.

Kila Ntu na Ntue ati.
 
Yani wanawake wasku hz wajinga sana.....yn wanaona kama neno kibamia ndo limekua silaha yao kwa wanaume......dawa yenu inachemka
 
Mwanaume ukiiweka thamani yako kwenye uume wako basi utakapotangaziwa una kibamia, na kweli unajua unacho - utaumia sana.

Kama unahisi una kibamia, anza mapema kubadilisha focus yako kutoka kwenye ngono kuelekea kwenye other life pursuits kama pesa, politics, athletics etc. Tell yourself that you will not be defined by the size of your penis. Accept your fate and be content with it.

Kibamia is not a big deal unless you make it a big deal.

And whether una kibamia or not, treat women (everyone) with due respect. Wanawake ukiwazingua wanazingua.
 
Wenye vibamia tuhamie China.... Tanzania wasichama wanaanza ngono wadogo.... Mpake afike 25yrs mgodi ushakata washeli zote.
 
Mwanaume ukiiweka thamani yako kwenye uume wako basi utakapotangaziwa una kibamia, na kweli unajua unacho - utaumia sana.

Kama unahisi una kibamia, anza mapema kubadilisha focus yako kutoka kwenye ngono kuelekea kwenye other life pursuits kama pesa, politics, athletics etc. Tell yourself that you will not be defined by the size of your penis. Accept your fate and be content with it.

Kibamia is not a big deal unless you make it a big deal.

And whether una kibamia or not, treat women (everyone) with due respect. Wanawake ukiwazingua wanazingua.
Umewafariji vizuri wenye vibamia.
 
Kibamia against what? Manake yeye hajazungumzia ukubwa wa nyeti yake labda, kingine nilichojifunza kwenye maisha ni kutokuamini maneno ya watu walio kwenye ugomvi cuz kila mmoja atajitahidi kadri awezavyo kubeba silaha yoyote ile ilmradi ashinde vita wanayopigana, mfano dhahiri rejea mtanange wa mwaka jana kati ya diamond plutnumz na ommy dimpoz, mpaka kufikia hatua ya ommy dimpoz kujiita yeye ni baba diamond.
 
Poleni team vibamia, maana warembo wetu wa siku hizi hamuwezi kupata saizi zenu. Nyinyi maisha yenu yote ni kupwelepwetwa tu.
Kibamia lakini kina uwezo wa kurutubisha hadi kufikia kuitwa Mzazi mwenzangu! wadada acheni hizi ligi wakaka wakiamua nao kuwadadavua itakuwaje?
 
Back
Top Bottom