Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Ninae mmoja nimeingia nae kwenye mahusiano kwa sasa hata mtoa mada akimuona lazima amtake kwanza bonge la shape ukimix na lile takooo siopowa na anajua mapenz balaa kiukweli na simama na single maza hata muwaseme vip nitasimama nao mbaka mwisho
 
Ukifanya umavi lazima uandamwe, ungapaswa ujiulize mbona wanawake waliojitunza hawaandamwi?

Kulinganisha mwanaume na mwanamke ni dalili ya upumbavu,

Baadaye utauliza mbona mwanaume akikojoa hainami si ndio?
Kwaiyo wanaojitunza ndo hawazai?
 
Kumekuwa na vijembe vikali sana na maneno mabaya sana kuhusu single mom katika mitandao lakini katika jamii single mom wanaolewa sana na ndoa zao zinafuraha sana kikubwa ni kujitambua na kujua unataka nini, mimi nimeolewa naishi kwa furaha na baby wangu tunakosea wakati wa kwenda sio kurudi pia dunian hapa kila mtu anamadhambi yake hakuna mkamilifu hao wanaume wanaowaponda humu wengine mashoga wanapelekewa moto sasa si bora single mom kuliko idadi hii kubwa ya mashoga, watoto sio laana watoto ni baraka maisha ni fumbo huwezi kujua nani atakusaidia baadaye

Single mom's kama ulizaa na baba mtoto mkaachana kwanza move on,jitambue ukipata mwanaume mpende muheshimu muweke wazi kila kitu nini kinaendelea maisha yatakuwa safi

Mnaosema single mom kwan wamejizalisha unakuta kidume kizima kinasema single mom laan na yy katelekeza mtoto huko kwahiyo toto lako ni laan wanaume mjitambue wazee wa zamani walikuwa wanalea watoto na maisha yanaenda acheni ubaguzi dunia sio yenu finally uzeee kwisha

wangapi wameolewa sio single mom ila wanacheat mpaka wanaleta watoto ambao sio wa ndani ya ndoa humo ndani kwenu kunawaka moto hasira mnakuja kumalizia mtandaoni, au mliwaoa mabikra acheni ubaguzi nyie wanaume wachache
 
single mothers hasa walioachiwa watoto wa kike ndo kundi la watu wenye depression sana dunian kote
 
Wazee mmesikia, wengine mashoga na mnapelekewa moto. Kama kinywa cha mke kina uthubutu wa kutamka maneno kama haya huku umerelax sipati picha siku ukizinguana na huyo jamaa.
 
Kumekuwa na vijembe vikali sana na maneno mabaya sana kuhusu single mom katika mitandao lakini katika jamii single mom wanaolewa sana na ndoa zao zinafuraha sana kikubwa ni kujitambua na kujua unataka nini, mimi nimeolewa naishi kwa furaha na baby wangu tunakosea wakati wa kwenda sio kurudi pia dunian hapa kila mtu anamadhambi yake hakuna mkamilifu hao wanaume wanaowaponda humu wengine mashoga wanapelekewa moto sasa si bora single mom kuliko idadi hii kubwa ya mashoga, watoro sio laana watoto ni baraka maisha ni fumbo huwezi kujua nani atakusaidia baadaye
Single mom's kama ulizaa na baba mtoto mkaachana kwanza move on,jitambue ukipata mwanaume mpende muheshimu muweke wazi kila kitu nini kinaendelea maisha yatakuwa safi

Mnaosema single mom kwan wamejizalisha unakuta kidume kizima kinase single mom laan na yy katelekeza mtoto huko kwahiyo toto lako ni laan wanaume mjitambue wazee wa zamani walikuwa wanalea watoto ja maisha yanaenda acheni ubaguzi dunia sio yenu finally uzeee kwisha
Jifunze kuwa na hekima itakusaidia sana hata kwenye ndoa yako kingine maisha haya ni mafupi sana haina sababu ya kukasilishwa na maneno ya watu
 
Wazee mmesikia, wengi wenu ni mashoga na mnapelekewa moto. Kama kinywa cha mke kina uthubutu wa kutamka maneno kama haya huku umerelax sipati picha siku ukizinguana na huyo jamaa.
Ni uongo wengine mpo kwa ndoa ila mabwabwa wanawake wengi wanalalamika mkae kwa kutulia
 
Una ujumbe mzuri lakini jinsi ulivowasilisha inasema mengi kuhusu wewe
 
katika jamii single mom wanaolewa sana na ndoa zao zinafuraha sana

giphy (1).gif


Kazikwelikweli/JobTrueTrue
 
Kheri ya pasaka waungwana!

Ningeanza na kusema kwenye kila jambo kuna pande mbili za shillingi.

Katika pitapita zangu nyingi nimegundua kuna uzi nyingi katika jukwaa hili la MMU zinazowakandamiza na kuwaponda single mothers! Mnasahau kama hao walowatia mimba single mothers nao ni single fathers?

Nakubali katika maisha kuna kukosa na kukosoana lakini ningependa tuwekane sawa katika hili, haimaanishi kwasababu BAADHI ya single mothers hawana msimamo na vigeugeu basi wote wapo hivo.

Na kingine kama mtu ni single mum lazima uelewe kuna sababu ilopelekea hilo sidhani kama kuna mtu anaependa kulea mtoto peke yake bila ya sababu ya msingi.

Au ukiachilia mbali hilo kuna baadhi wanaoamua kulea mwenyewe kwasababu the other part is not the right father figure for their child! Naamini si kila anayeweza kumimbisha mtu anapaswa kuwa baba!

Ningependa tuwekane sawa kuwa kuna single mother wa aina nyingi:

1. Kuna wadada wengi wanaoamua kujizalia tu kwasababu hakuna wanaume wanaoeleweka ambao wanakidhi viwango vyao na umri umeshatupa mkono mtu anaona ajizalie tu apate mrithi, wa aina hii naamini wanaweza kujimudu na kuhudumia watoto wao bila msaada wa mtu na ni watu wanaojielewa.

2. Kuna walopewa mimba ambazo wawili hao walikubaliana kuzaa pamoja na wakatengana kwasababu tofauti. Hawa mara nyingi wapo mguu ndani, mguu nje kwasababu kulikuwa na mapenzi na makubaliano kati yao kwahio ni rahisi kukumbushiana

3. Kuna walobeba ujauzito kibahati mbaya na mwanaume hayupo tayari kubeba majukumu. Wanawake wa kundi hili hawatakagi mahusiano na maex zao kiujumla kwasababu wanakuwa wameumizwa vyakutosha na wakishasonga mbele wamesonga.

4. Kuna walojibebesha mimba kwa matumaini ya kuolewa au kupata mwenza wa maisha au mteremko wa maisha(hawa ni wale ambao wanazaa hata na wanaume za watu). Hawa ni kundi jingine ambalo pia ni mguu ndani, mguu nje yaani anytime anarudiwa na kuachwa madhali yake yanamuendea.

But all in all mwishoni mwa siku kuna mwanaume alihusika katika hili kwa njia moja au nyingine. Kama ni kinga wanapaswa kutumia wote kujikinga na ujauzito usotarajiwa sasa ikiwa wewe unaenda kulala na mwanamke ambaye huna future nae bila kinga yoyote(kondom au uzazi wa mpango) unategemea nini hasa?

Tusihukumu single mothers kama wakosaji ni wao tu na wanaume ndo malaika mbona hamwahukumu single fathers? Au mnataka kusema wao ni tofauti kwasababu hawajabeba ujauzito.

Mtoto siku zote ni wamama ndio maana wamama ndio wanapata jukumu la kulea lakini tukipiga tathimini ya wanaume au ambao wamezaa tu ni single fathers naamini imepiku idadi ya wanawake.

Single fathers pia wanaweza kwenda kwa ex zao na kubinjuana so hakuna tofauti ya kusema ni single mothers tu sio Wife material kwasababu mnahofia wataliwa. Then tunaweza kusema Single fathers nao sio Husband material. This goes both ways kwa jinsia zote.

La muhimu ni kujuana vyema huyo single mum/ dad kabla ya kuanzisha mahusiano naye na mahusiano alokuwa nayo na ex wake lakini sio kuhukumiana!

Hii ni ya muda sana lakini ngoja nijibu vitu viwili hapa,
Kwanza unapaswa kujua hakuna single father

Pili unapaswa kujua kuwa mwanaume yoyote tangu anatungwa tumbomi mwa mamake ni husband material.

Tatu hakuna mwanaume anapendwa, mwanaume anaheshimiwa. Na hivyo kazi hiyo ya "kupenda" naturally ni yake na si ya mwanamke, mwanamke anapendwa na ndo anaingizwa kwenye mahusiano, mwanaume hapendwi na kuingizwa kwenye mahusiano.

Nne mwanamke yeyote anapenda "apendwe" aolewe azae walee wazeeke pamoja, mwanamke huyu huyu anaweza kubadili tabia muda wowote zitakazo mshinda mwanaume, hata hivyo ikifika hatua hiyo mwanamke ndo mwepesi kudai kuachana kuliko mwanaume.

NB. Kaa kwenye sehemu yako ya utiifu na utapendwa kuliko jojo na vitu vyote vitamu, hakunaga mkate mgumu mbele ya chai, utiifu wako ndo unamfanya mwanaume akupende zaidi, ila ukipindua meza wewe ndo upende lazima mahusiano hayo yatamegeka na utakuwa single tu.
 
Dah! hali si shwari kabsa nimekaza nisimsaliti mama Umut lakni shetani naona nae kaongeza jtihada pia. Hii manzi inamiaka kama 22 na inawatoto wawili kazaa bandka bandua mtoto wa kwanza anamwaka kapata mimba nyingne tena, lakn kiukwel ni chuma haswa kabinuka fulan hv na nksema kabnuka ujue kabnuka kwel kama tipa la mchanga halaf portable na kasura ka monalisa.

Kashepu kake kanfaa kupga style ya ubaya ubwela mwanzo mwsho, nachoogopa asje kunfanyia miziziology nikakosana na mama umut maana n majirani. USHAUR WENU NPIGE AU NSPGE
 
Dah! hali si shwari kabsa nimekaza nisimsaliti mama Umut lakni shetani naona nae kaongeza jtihada pia Hii manzi inamiaka kama 22 na inawatoto wawili kazaa bandka bandua mtoto wa kwanza anamwaka kapata mimba nyingne tena, lakn kiukwel ni chuma haswa kbinuka fulan hv halaf portable na kasura ka monalisa. Kashepu kake kanfaa kupga style ya ubaya ubwela mwanzo mwsho, nachoogopa asje kunfanyia miziziology nikakosana na mama umut maana n majirani. USHAUR WENU NPIGE AU NSPGE
Wewe unarogwa sio bure.....
 
Dah! hali si shwari kabsa nimekaza nisimsaliti mama Umut lakni shetani naona nae kaongeza jtihada pia. Hii manzi inamiaka kama 22 na inawatoto wawili kazaa bandka bandua mtoto wa kwanza anamwaka kapata mimba nyingne tena, lakn kiukwel ni chuma haswa kbinuka fulan hv halaf portable na kasura ka monalisa. Kashepu kake kanfaa kupga style ya ubaya ubwela mwanzo mwsho, nachoogopa asje kunfanyia miziziology nikakosana na mama umut maana n majirani. USHAUR WENU NPIGE AU NSPGE
Kwa kauli moja, sote tunasema 'Pigaaaaa' na kibali kishatolewa.
 
Dah! hali si shwari kabsa nimekaza nisimsaliti mama Umut lakni shetani naona nae kaongeza jtihada pia. Hii manzi inamiaka kama 22 na inawatoto wawili kazaa bandka bandua mtoto wa kwanza anamwaka kapata mimba nyingne tena, lakn kiukwel ni chuma haswa kabinuka fulan hv na nksema kabnuka ujue kabnuka kwel kama tipa la mchanga halaf portable na kasura ka monalisa. Kashepu kake kanfaa kupga style ya ubaya ubwela mwanzo mwsho, nachoogopa asje kunfanyia miziziology nikakosana na mama umut maana n majirani. USHAUR WENU NPIGE AU NSPGE
Nawe ongeza tuwili tuwe tunne tunawatosha.
 
Back
Top Bottom