Kwanini mnawahukumu mno single mothers?


Dhana hiyo imefanya wanawake wengi kulazimisha kuolewa wenyewe hujisemea kutoa nuksi / gundu Halafu baada ya muda mfupi wanakuwa victims .
 
Unakuta binti au mwanamke anafunga na kuomba na kuroga ili aolewe akishaolewa badała ya kuwa mtii na heshima kwa mumewe anakuwa jeuri. , Mbishi . Kelele n.k

Unajiuliza uliitakia nini hiyo ndoa na kwa kulamisha Halafu unaibomoa kwa mulono yako mwenyewe?
 
Hivi mwanamke aloachika na single mother wana tofauti ?

Msimbe je ?
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…