Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

Tell me about it.A man kan impregnate 5 different women and thats ok.The same man made 5 women single mothers and a single father of 5.But a woman with one child just one is not good enough and is a whore 🙄
As you elevated it above..
There's many reasons for a woman to be a single mother, So does the Father!
So it appears like the fact we're discussing about is "A single mother who's caused by the irresponsible man"

It's man-unlikely traits to impregnate 5 different mother and leave them AWOL.
So to that fact you mentioned I concur with you ✌️💪
 
1.Siku zote yule ambaye maafa yata mkuta zaidi ndiye anaye takiwa kuchukua tahadhari, mwisho wa siku anaye umia ni mwanamke,mwanaume anarudi zake kwa mke wake.

2.Alafu kuingilia ndoa ya mtu mwingine unaweza ukasababisha ndoa kuvunjika na ukamfanya mwanamke mwenzako kuwa single mother.

So kwangu mimi masingle mother wanao zaa na waume za watu huku wakijua wana ndoa zao hawa stahili huruma.
Still haibadilishi fact mkosaji mkuu ni mwanaume kwasababu ndio ametoka nje ya ndoa yake,amemimbisha mtu mwengine na kuna uwezekano pia amevunja ndoa yake na kumuacha mkewe single mother na hata huyo mwanamke wa nje single mother!!Acha kuangalia upande mmoja!
 
Sisi ndio tumeambiwa tutawale sasa ulitaka tuache kuwahukumu wakati Mungu keshatupa mamlaka, nyie endeleeni kulia lia tuu lakini ukinyea nguo lazima bakora zikuhusu
Tunza uanaume wako.Malaya sio wa kike tu hata wakiume.Kama single mother malaya na single father malaya pia 😊
 
Tunza uanaume wako.Malaya sio wa kike tu hata wakiume.Kama single mother malaya na single father malaya pia 😊

Nipe reference ya kisheria au kidini kuniambia kuwa malaya ni mwanaume pia,

Hakuna mwanaume malaya, ila yupo mwanamke malaya
 
Still haibadilishi fact mkosaji mkuu ni mwanaume kwasababu ndio ametoka nje ya ndoa yake,amemimbisha mtu mwengine na kuna uwezekano pia amevunja ndoa yake na kumuacha mkewe single mother na hata huyo mwanamke wa nje single mother!!Acha kuangalia upande mmoja!
Mwanaume hastahili lawama kama mwanamke an miaka zaidi ya 18,akili imepevuka na unashindwa kufanya maamuzi yako kwa kuangalia future yako na kuendekeza tamaa zako basi WEWE NI MPUUZI.

Kwani si lazima kila mwanamme anaye kutongoza umkubalie.
 
Na nyie lazima mtongoze si ni watu na akili zenu fungeni suruali zenu.Ni nyie mtie watu mimba ikisha muwaite malaya this is insanity 🤨
 
Kama unajua sana dini usingekubali uzinzi on the first place!Hapa tunaongelea facts!Umalaya applies to both!

Unajua maana ya Facts?
Unashindwa kutofautisha kati ya fACTS na Opinions?

Nimmeshakuambia hakuna mwanaume malaya kwenye jamii yoyote ile, wewe unakalia kulazimisha maoni yako ya kipuuzi ambayo hata mtoto wako anashunda akili kuelewa jambo dogo kama hili
 
Na nyie lazima mtongoze si ni watu na akili zenu fungeni suruali zenu.Ni nyie mtie watu mimba ikisha muwaite malaya this is insanity 🤨

Tufunge suruali zetu wakati mliumbwa kwaajili yetu?

Ninyi mpo kwa ajili yetu, sio sisi kwa ajili yenu. Wewe una umri gani huelewi mambo madogo kama haya,

Ninyi mnachoweza kumpa mwanaume ni kitu kimoja tuu
 
Unajua maana ya Facts?
Unashindwa kutofautisha kati ya fACTS na Opinions?

Nimmeshakuambia hakuna mwanaume malaya kwenye jamii yoyote ile, wewe unakalia kulazimisha maoni yako ya kipuuzi ambayo hata mtoto wako anashunda akili kuelewa jambo dogo kama hili
Acheni kuzaa hovyo kama kuku!Na acha kujikweza sana!
 
Splendid...!!!!
Ni mentality za watu tu kuJudge na kuona ni jambo baya kua Single Father.
Kila mtu na mentality yake na ni ngumu kuchange mentality za watu (walio wengi) wanao ona ni jamba baya.

A hero can't exist in vacuum, there's always has to be a majority so that the person can be recognized as a Hero.
So my statement is pinpointed to the fact that "Hakuna singo Maza bila Singo Faza"

Both haa to be criticised for their doings if it has to be.
Just a dumb person roaming online, trying hard to look smart.

Ukiona kwenye akili anatokea Kigoma, ujue ni Mmanyema.

Waha ni takataka tu.
 
Tufunge suruali zetu wakati mliumbwa kwaajili yetu?

Ninyi mpo kwa ajili yetu, sio sisi kwa ajili yenu. Wewe una umri gani huelewi mambo madogo kama haya,

Ninyi mnachoweza kumpa mwanaume ni kitu kimoja
Then ndo mkubali na matunda ya dhambi zenu sio mhukumu wengine na mjilaumu wenyewe!Sawa!!!
 
Acheni kuzaa hovyo kama kuku!Na acha kujikweza sana!

Mwanaume hazai, anazalisha, mkuu mbona kama huelewi mambo mengi.

Kuzaa sio kigezo cha kuolewa au kubaki ndoani, ndoa inahitaki mke mwema. Sio mashine ya kuzalisha watoto duniani
 
Then ndo mkubali na matunda ya dhambi zenu sio mhukumu wengine na mjilaumu wenyewe!Sawa!!!

Sisi hatuwezi jilaumu kwa sababu hatupatwi na madhara,
Mimba hazikai kwetu
Hatuzai sisi, hatupatwi na uchungu sisi kwa nini tujilaumu.

Kuzaaa sio tiketi ya ndoa, hata panya wanzaa tena watoto kumi kwa mpigo na wanelea wenyewe, Kuku pia wanatotoa vifaranga vingi tuu wanalea, sasa kama wewe ulidhani kuzaa ndio ndoa basi umefeli,
 
Back
Top Bottom