As you elevated it above..Tell me about it.A man kan impregnate 5 different women and thats ok.The same man made 5 women single mothers and a single father of 5.But a woman with one child just one is not good enough and is a whore 🙄
Still haibadilishi fact mkosaji mkuu ni mwanaume kwasababu ndio ametoka nje ya ndoa yake,amemimbisha mtu mwengine na kuna uwezekano pia amevunja ndoa yake na kumuacha mkewe single mother na hata huyo mwanamke wa nje single mother!!Acha kuangalia upande mmoja!1.Siku zote yule ambaye maafa yata mkuta zaidi ndiye anaye takiwa kuchukua tahadhari, mwisho wa siku anaye umia ni mwanamke,mwanaume anarudi zake kwa mke wake.
2.Alafu kuingilia ndoa ya mtu mwingine unaweza ukasababisha ndoa kuvunjika na ukamfanya mwanamke mwenzako kuwa single mother.
So kwangu mimi masingle mother wanao zaa na waume za watu huku wakijua wana ndoa zao hawa stahili huruma.
Ha ha ha what a coincidence.Nyinyi mmekuwa Mungu sasa??Eti watoa hukumu 🤣🤣🤣
Tunza uanaume wako.Malaya sio wa kike tu hata wakiume.Kama single mother malaya na single father malaya pia 😊Sisi ndio tumeambiwa tutawale sasa ulitaka tuache kuwahukumu wakati Mungu keshatupa mamlaka, nyie endeleeni kulia lia tuu lakini ukinyea nguo lazima bakora zikuhusu
🤣🤣🤣🤣Dont make things personal this is a generalized matter!Change ur mindset ok!Kati ya hayo makundi hapo juu, we ni single mother wa aina gani?
Tunza uanaume wako.Malaya sio wa kike tu hata wakiume.Kama single mother malaya na single father malaya pia 😊
Mganga hajigangi 😀 😀 😀Andameni na wanaume pia kwani hao wanawake walijitia mimba wenyewe??Muwaseme wote sio upande mmoja alaaa!!
Mwanaume hastahili lawama kama mwanamke an miaka zaidi ya 18,akili imepevuka na unashindwa kufanya maamuzi yako kwa kuangalia future yako na kuendekeza tamaa zako basi WEWE NI MPUUZI.Still haibadilishi fact mkosaji mkuu ni mwanaume kwasababu ndio ametoka nje ya ndoa yake,amemimbisha mtu mwengine na kuna uwezekano pia amevunja ndoa yake na kumuacha mkewe single mother na hata huyo mwanamke wa nje single mother!!Acha kuangalia upande mmoja!
Kama unajua sana dini usingekubali uzinzi on the first place!Hapa tunaongelea facts!Umalaya applies to both!Nipe reference ya kisheria au kidini kuniambia kuwa malaya ni mwanaume pia,
Hakuna mwanaume malaya, ila yupo mwanamke malaya
Me wan fi give yah likle present,,,i feel yuh fi dis matter!🤣🤣🤣🤣Dont make things personal this is a generalized matter!Change ur mindset ok!
Na nyie lazima mtongoze si ni watu na akili zenu fungeni suruali zenu.Ni nyie mtie watu mimba ikisha muwaite malaya this is insanity 🤨Mwanaume hastahili lawama kama mwanamke an miaka zaidi ya 18,akili imepevuka na unashindwa kufanya maamuzi yako kwa kuangalia future yako na kuendekeza tamaa zako basi WEWE NI MPUUZI.
Kwani si lazima kila mwanamme anaye kutongoza umkubalie.
Kama unajua sana dini usingekubali uzinzi on the first place!Hapa tunaongelea facts!Umalaya applies to both!
Na nyie lazima mtongoze si ni watu na akili zenu fungeni suruali zenu.Ni nyie mtie watu mimba ikisha muwaite malaya this is insanity 🤨
Acheni kuzaa hovyo kama kuku!Na acha kujikweza sana!Unajua maana ya Facts?
Unashindwa kutofautisha kati ya fACTS na Opinions?
Nimmeshakuambia hakuna mwanaume malaya kwenye jamii yoyote ile, wewe unakalia kulazimisha maoni yako ya kipuuzi ambayo hata mtoto wako anashunda akili kuelewa jambo dogo kama hili
Just a dumb person roaming online, trying hard to look smart.Splendid...!!!!
Ni mentality za watu tu kuJudge na kuona ni jambo baya kua Single Father.
Kila mtu na mentality yake na ni ngumu kuchange mentality za watu (walio wengi) wanao ona ni jamba baya.
A hero can't exist in vacuum, there's always has to be a majority so that the person can be recognized as a Hero.
So my statement is pinpointed to the fact that "Hakuna singo Maza bila Singo Faza"
Both haa to be criticised for their doings if it has to be.
Then ndo mkubali na matunda ya dhambi zenu sio mhukumu wengine na mjilaumu wenyewe!Sawa!!!Tufunge suruali zetu wakati mliumbwa kwaajili yetu?
Ninyi mpo kwa ajili yetu, sio sisi kwa ajili yenu. Wewe una umri gani huelewi mambo madogo kama haya,
Ninyi mnachoweza kumpa mwanaume ni kitu kimoja
Acheni kuzaa hovyo kama kuku!Na acha kujikweza sana!
Then ndo mkubali na matunda ya dhambi zenu sio mhukumu wengine na mjilaumu wenyewe!Sawa!!!