#COVID19 Kwanini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Haiwezekani mpigie chapuo chanjo za kovid na kisha mkiri kwa kinywa chenu kuwa chanjo za kovidi sio kinga bali zinasaidiia ukipata kovidi isikuchape kwa nguvu.

Je, mnadhani watanzania ni wajinga?

Kwa nini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga?

Kwa nini tusiwe na kinga yetu kamili iliyotengenezwa na Nimri?
 
Hujalazimishwa kuchanja wewe dogo.

Hata ukifa huna cha kuacha zaidi ya boxer na mirungi tu
 
Umefungwa kamba na kukokotwa kwenda kuchanjwa? Maisha na afya vyote vyako Baki navyo mwenyewe, ila tungeweza tungekuambia ila usiwasumbue wengine.
 
Ukiwatazama kwa makini hao wanaume wawili kwenye picha wanaonesha wazi kabisa kuwa tumelamba galasa
 


Nani kalazimishwa😂😂 Watanzania kwa kutunga maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…