Kwanini mnazungumzia 2030? Mmeamua Kumpa Samia Amani na Utulivu wa Kutawala?

Kwanini mnazungumzia 2030? Mmeamua Kumpa Samia Amani na Utulivu wa Kutawala?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Alafu Wapinzani nao kukicha, Mnaanza habari za 2030 vile ,2030 hivi , ni kwamba mmekubali yaishe aongoze mpaka 2030??.

Mtapigwa kipigo kibaya sana , CCM mnawajua hamuwajui? .

CCM inatakiwa kuondolewa Aman, Hawa tunapaswa tusiwape Utulivu kwa namna yoyote ile.

Siasa zeti ni lazima ziwe za mchakamchaka Kila siku iwe ni siku ya Uchaguzi Mkuu, Kila siku iwe ni sawa na Oktoba 29 .

HATUPASWI kuwaacha wazungumzie 2030 utadhani tumekubali watuongoze.

Siasa za Kiharakati, Maandamano, ndio zinatakiwa kua Siasa za Kila siku za Maisha ya Mtanzania katika Kupambana na Gnge hili la CCM.

KATAMBI anazuia Mikutano, Jeshi la Polisi linaruhusu, Alafu Upinzan mnakimbizana kuita Mikutano kweli ,,,, CCM wanatafuta hapa kuonekana
1-Hamna Ugaidi Tanzania
2-Vyama vya Siasa viko Huru kufanya Siasa

Mbinyo Uliopo ndani ya NCHI na Nje ya NCHI kwa Samia na Genge lake ni Mkubwa na unapaswa Kila siku kuchochewa .

Tusipooze mambo ,tufanye Siasa ambazo hata kabla ya 2027, Yeye Samia awe ameona Moto Moto kwelikweli !!.
 
Back
Top Bottom