Ndio hapo hatujui tunachotaka - Duniani hakuna Taasisi iliyoweza kupanga Bei - Ukipanga bei unaleta ulanguzi ukitaka bei ishuke wewe ongeza supply hakuna zaidi ya hapo.....Ziweke ndani unywe chai mwenyewe, mshapewa option, uzen kwa bei elekezi au lalen
Na hizi ngonjera mtapewa tena muda kama huu mwaka kesho haya ni marudio ya kila siku.... hakuna jipyaZiweke ndani unywe chai mwenyewe, mshapewa option, uzen kwa bei elekezi au lalen
Tatizo la Tanzania Ukiongeza Supply bado watanunua supply yako.yote uliyonunua Ili tatizo libaki pale pale..Ndio hapo hatujui tunachotaka - Duniani hakuna Taasisi iliyoweza kupanga Bei - Ukipanga bei unaleta ulanguzi ukitaka bei ishuke wewe ongeza supply hakuna zaidi ya hapo.....
Ila ndio hivyo wanasiasa wanawalisha matango pori kwamba wao hawana tatizo tatizo ni Mangi mtaa wa pili kumbe wewe na yeye nyote ni wabangaizaji...
Kama haujui hio ndio biashara yenyewe kununua kwa bei rahisi iwezekanavyo ili uuze bei kubwa iwezekanavyo enzi za Ujamaa au Duka la Kaya ungeitwa Mlanguzi ila kwa sasa soko Huria ndio faida inavyopatikana...Sidhani kama ni sawa kununua bidhaa na kuificha ndani uku unasubiri bei ipande, wakati uliuziwa Ili ukauze,
Kina nani ?Shida mnatengeneza tatizo mkidhani bei itapanda,
Basi hii itakuwa biashara nzuri sana tuache kuhangaika na kulima vanilla na matikiki tulime miwa na kuagiza sukari kutoka nje to infinity sababu kwa logic yako kuna soko la sukari ambalo halina kikomoTatizo la Tanzania Ukiongeza Supply bado watanunua supply yako.yote uliyonunua Ili tatizo libaki pale pale..
We humjui mbongo wewe..
We ongeza Tani 28 za sukari atakuja Mdosi atanunua Tani 20 ataweka ndani
Nina tani zangu za mahindi nimelima nasubiri msimu wa mavumo uishe ili niuze..., hapo unasemaje ? Na kweli tatizo ni hao kina Mangi wanaoshikwa mtaani au ni uzembe wa Wizara kutokujua uhitaji na uzalishaji (being pro-active na sio reactive)Hoarding haikubaliki kwenye biashara.Huwezo kuficha bidhaa na kufanya kuwe na uhaba ili upandishe bei.
Ukiruhusu biashara huria kwenye sukari hamna nguruwe atanunua sukari na kufungia ndani.Tatizo la Tanzania Ukiongeza Supply bado watanunua supply yako.yote uliyonunua Ili tatizo libaki pale pale..
We humjui mbongo wewe..
We ongeza Tani 28 za sukari atakuja Mdosi atanunua Tani 20 ataweka ndani
Last time I checked Mangi Mtaa wa Pili sio Big Boy wala kumuita Mlanguzi ni kosa Sababu Sukari alikuwa analetewa mlangoni sasa hivi anaifuata kule mjini na anapanga foleni siku nzima....Unapangiwa uache uhuni na ulanguzi.
Mnawakosesha watu Utamu.
Kwa kifupi mmezoea kutesa watu nyie Bigboyz Wafanyabisahara wa Sukari.
Wanaogopa viwanda vyao vitakufa.Kama haujui hio ndio biashara yenyewe kununua kwa bei rahisi iwezekanavyo ili uuze bei kubwa iwezekanavyo enzi za Ujamaa au Duka la Kaya ungeitwa Mlanguzi ila kwa sasa soko Huria ndio faida inavyopatikana...
Kama tunataka Huduma ni rahisi sana kama vile ilivyo Soda (wanafanya marketing na kila kitu) bei 600/= hivyo viwanda vya UMMA vizalishe na kuweka bei elekezi wanazotaka wao ila pia wampe mfanyabiashara option ya kununua popote mteja achague mwenyewe
Hawa wakuu ndio wanatuaminisha hivyo. Mvua kubwa kweli kweli Ngoja tuone panapovuja sasaLast time I checked Mangi Mtaa wa Pili sio Big Boy wala kumuita Mlanguzi ni kosa Sababu Sukari alikuwa analetewa mlangoni sasa hivi anaifuata kule mjini na anapanga foleni siku nzima....
Labda?Ila ndio hivyo Mwanasiasa amekuhamisha kwenye Hoja (uzembe wake) anamsingizia an invisible enemy...
Sasa wale anaoenda kuwatungia sheria ni kina nani? Manake kwa maelezo mafupi pale ni kama anasema kuna ka monopoly fulani...kumbe ni wakina mangi! ...walio chini ya mfumo mkuuSijaona Big Boy yoyote ameshikwa zaidi ya walalahoi wenzangu kitaa..
Na kama vipi kwanini tusiongezee mzigo ushuke hata tshs 2,000/=
Mwanasiasa always anachukua credit hata pasipomuhusu na kila baya kuna mtu wa kusingiziaHawa wakuu ndio wanatuaminisha hivyo. Mvua kubwa kweli kweli Ngoja tuone panapovuja sasa
Wakati anangoja kutunga sheria watu waendelee kunywa chai ukwaju ?; Anajua by the time wamekaa na kubishana weee huenda atakuwa sio Waziri tena au wakaleta sheria za kutoa vibali kwa wachache kuagiza nje (wachache hao kumbe ni kampuni zao kwa mgongo wa muwekezaji)Sasa wale anaoenda kuwatungia sheria ni kina nani? Manake kwa maelezo mafupi pale ni kama anasema kuna ka monopoly fulani...kumbe ni wakina mangi! ...walio chini ya mfumo mkuu
Kweli hio inahitaji Sheria Bungeni ? Kwanini wakati mambo ni magumu wasiseme haya kwa sasa kabla hatujatunga hizo so called sheria kila mwenye mzigo wake na auweke mezani kwa bei anayotaka (hata kama ni kugawa bure kama vile tshirt za matangazo)Kama sijakosea wamesema wanataka kufanya marekebisho ya sheria kuruhusu ushindani zaidi, na kwa kufanya hivyo kutachochea hizo bei kushuka bila ya Bodi(Serikali) kutoa "bei elekezi"..
Nyie ngedere ndio tunaowatafuta sana.Haya mambo ya ajabu sana Tuliowapa kazi wameshindwa wanamtupia lawama mtu anayecheza na fursa....
Kama mtu ali-gamble akachukua shehena ya sukari fingers crossed kwamba bei zitapanda na yeye ajipatie bahati kwanini tumpangia bei ya kuuza wakati bei labda zikishuka (Mkeka wake usipotiki) hatumsaidii kumpa pole na kumwambia "Keep Change"!!!
Tupeleke lawama panapohusika Wizara ya Kilimo / Biashara na / Viwanda kwa kutokuona kujua demand inakuwa vipi na mizigo ipo vipi Uhaba wa Supply ni kosa la hawa watumishi wetu serikalini na sio jirani yangu ambaye anaona angalau haka ka-stock kake kamsaidie kupeleka mtoto shule....
Wakati mnatafutana ngedere na kupigana na kushikana uchawi ; Wachawi wenyewe wanaosababisha hii sintofahamu wanapeta kwa kuwaambia adui yako ni mwenzako na sio uzembe wao...Nyie ngedere ndio tunaowatafuta sana.