DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kweli kabisa mkuu na ndo maana Sukari huwa wanaamua Kuuza bei wanazotaka..Basi hii itakuwa biashara nzuri sana tuache kuhangaika na kulima vanilla na matikiki tulime miwa na kuagiza sukari kutoka nje to infinity sababu kwa logic yako kuna soko la sukari ambalo halina kikomo
Mimi NimeMpongeza sana Bashe kuruhusu Soko la Sukari Kuwa Huria Huenda Itapunguza kama sio Kuua Tatizo kabisa la Mabwenyenye Kufungia sukari.Ukiruhusu biashara huria kwenye sukari hamna nguruwe atanunua sukari na kufungia ndani.
Yani useme kila anayeweza anunue, Mhindi gani huyo atanunua na kufungia? Akifungia si inanunuliwa nyingine, nchi jirani kibao sukari ni cheap kuliko Tanzania, hata Pakistan, Brazil, India wataenda watu.
Yani leo hii uanze kushindana na mahindi utaweza? Tununue kilo na gharama nyingine jumla kwa 650 na wewe ulipe 700 ili uyafiche si utakufa. Tunachofanya tunanunua na kukuuzia, kisha yakiisha tunaenda nje tunanunua na kukuuzia, na hao raia unaotaka kuwauzia juu ya 700 na wao tunawauzia chini yake sababu tunapata faida ila wewe ukishusha unakula hasara.
Bashe ni slow learner na kenge asiyesikia mpaka atokwe damu. Hili halikuwa suala la kusubiri watu wapige kelele na kulaani, ndipo achukue hatua.Mimi NimeMpongeza sana Bashe kuruhusu Soko la Sukari Kuwa Huria Huenda Itapunguza kama sio Kuua Tatizo kabisa la Mabwenyenye Kufungia sukari..
Sahizi ukifungia Sukari Tunaenda kununua Zambia au Zanzibar
we bwege subiri sheria zibadilishwe mlilindwa sana dhidi ya sukari ya nje. Hizo sukari zenu mnazoficha mtawauzia mama zenu. Huoni hata aibu, kima dhulumaji weweHaya mambo ya ajabu sana Tuliowapa kazi wameshindwa wanamtupia lawama mtu anayecheza na fursa....
Kama mtu ali-gamble akachukua shehena ya sukari fingers crossed kwamba bei zitapanda na yeye ajipatie bahati kwanini tumpangia bei ya kuuza wakati bei labda zikishuka (Mkeka wake usipotiki) hatumsaidii kumpa pole na kumwambia "Keep Change"!!!
Tupeleke lawama panapohusika Wizara ya Kilimo / Biashara na / Viwanda kwa kutokuona kujua demand inakuwa vipi na mizigo ipo vipi Uhaba wa Supply ni kosa la hawa watumishi wetu serikalini na sio jirani yangu ambaye anaona angalau haka ka-stock kake kamsaidie kupeleka mtoto shule....
Karuhusu lini na Wapi ?Mimi NimeMpongeza sana Bashe kuruhusu Soko la Sukari Kuwa Huria Huenda Itapunguza kama sio Kuua Tatizo kabisa la Mabwenyenye Kufungia sukari..
Sahizi ukifungia Sukari Tunaenda kununua Zambia au Zanzibar
Na kwa akili kama zako ndio maana mwanasiasa anawatumia na kuwadanganya kama watoto na nyie kukubali (Kwahio kupanda kwa bei kunaletwa na watu kuficha sukari na sio Supply Ndogo)we bwege subiri sheria zibadilishwe mlilindwa sana dhidi ya sukari ya nje. Hizo sukari zenu mnazoficha mtawauzia mama zenu. Huoni hata aibu, kima dhulumaji wewe
Tutamwongezea nyingine aendelee kuweka ndani mpaka achokeTatizo la Tanzania Ukiongeza Supply bado watanunua supply yako.yote uliyonunua Ili tatizo libaki pale pale..
We humjui mbongo wewe..
We ongeza Tani 28 za sukari atakuja Mdosi atanunua Tani 20 ataweka ndani
Wenye majenereta wamemwaga maji kwenye mabwawa wametengeneza mgao sasa wanapiga hela, na bashe nae kaona fursa kwenye sukari nae anapiga hela, haiwezekani makamba ale peke yake.Sidhani kama ni sawa kununua bidhaa na kuificha ndani uku unasubiri bei ipande, wakati uliuziwa Ili ukauze,
Katunga Sheria ambayo kwa sasa ni mswada anaupeleka Bungeni Ili ukajadiliwe ili Kuruhusu Soko HuriaKaruhusu lini na Wapi ?
Bei elekezi imefutwa ? Anao uwezo wa kufanya hivyo ?!!!; Hawa jamaa awamu hii ni waharibifu tu wameweka na bei elekezi kwenye bundle za simu (na wenzao TCRA) matokeo yake tunayajua....
Sakata la Bundles - Suluhisho
Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...www.jamiiforums.com
Sheria soon ItapitishwaKaruhusu lini na Wapi ?

Kitakachotokea ni kuruhusu viwanda / mzigo kutoka nje ambapo watachaguliwa watu wachache sio soko huria per se.....Katunga Sheria ambayo kwa sasa ni mswada anaupeleka Bungeni Ili ukajadiliwe ili Kuruhusu Soko Huria
Kuna logic Hujaielewa hapa.Haya mambo ya ajabu sana Tuliowapa kazi wameshindwa wanamtupia lawama mtu anayecheza na fursa....
Kama mtu ali-gamble akachukua shehena ya sukari fingers crossed kwamba bei zitapanda na yeye ajipatie bahati kwanini tumpangie bei ya kuuza wakati bei labda zikishuka (Mkeka wake usipotiki) hatumsaidii kumpa pole na kumwambia "Keep Change"!!!
Tupeleke lawama panapohusika Wizara ya Kilimo / Biashara na / Viwanda kwa kutokuona kujua demand inakuwa vipi na mizigo ipo vipi Uhaba wa Supply ni kosa la hawa watumishi wetu serikalini na sio jirani yangu ambaye anaona angalau haka ka-stock kake kamsaidie kupeleka mtoto shule....
Hilo pia ni kosa kuanzia mwanzo kama watu hawana capacity kwanini uzuie kutoka pengine... kama wengine wana comparative advantage ya kuweza kutengeneza sukari kwa bei ndogo sana kuliko sisi basi na tununue kwao tujikite kwenye jambo ambalo tuna advantage zaidi (hata kama ni kutengeneza ugoro)Kuna logic Hujaielewa hapa.
1. Serikali imepiga marufuku kuleta Sukari nje ili kulinda viwanda vya ndani (Hapa Tayari sio free market)
Kama uwezo hawana hili lingefanyika mwaka juzi na sio mwaka kesho na ifike wakati hivyo viwanda viwaze na kupeleka nje sio ndani tu (zidisha production maradufu) : Hizi porojo ni za Mwanasiasa tu na kama inajulikana kabisa miezi gani kuna uhaba (haya mambo hutokea mara kwa mara).2. Viwanda vya ndani kwa kusaidiwa huku ina maana pia wa natakiwa bei kuithibiti sababu hawana competition.
Kwa logic yako hio Serikali nayo ikisusa na kufungua mipaka tegemea viwanda vya ndani vife na hao wanaojiona wababe wa Sukari wote watapotea.
Usimlaumu Bashe, hii issue ya sukari ni kila awamu, si kipind cha Magu au JK kumekuwa na drama hzi hiziBashe ni slow learner na kenge asiyesikia mpaka atokwe damu. Hili halikuwa suala la kusubiri watu wapige kelele na kulaani, ndipo achukue hatua.
Sukari wanaifanya iwe kama tukio la ghafla.
Nilimlauma aliyekuwepo then na nitamlaumu atakayekuwepo....; Ila kwa Bashe namlaumu nimeona anatabia ya kuchonganisha wananchi kwa shortcomings zake / zao... mfano Sakata la Mkulima kutokuuza na kuuza njeUsimlaumu Bashe, hii issue ya sukari ni kila awamu, si kipind cha Magu au JK kumekuwa na drama hzi hizi
hujui mifumo ya uchumi ilivyo serikali isipoingilia kati utahama nchiHaya mambo ya ajabu sana Tuliowapa kazi wameshindwa wanamtupia lawama mtu anayecheza na fursa....
Kama mtu ali-gamble akachukua shehena ya sukari fingers crossed kwamba bei zitapanda na yeye ajipatie bahati kwanini tumpangie bei ya kuuza wakati bei labda zikishuka (Mkeka wake usipotiki) hatumsaidii kumpa pole na kumwambia "Keep Change"!!!
Tupeleke lawama panapohusika Wizara ya Kilimo / Biashara na / Viwanda kwa kutokuona kujua demand inakuwa vipi na mizigo ipo vipi Uhaba wa Supply ni kosa la hawa watumishi wetu serikalini na sio jirani yangu ambaye anaona angalau haka ka-stock kake kamsaidie kupeleka mtoto shule....
Wewe unayejua mifumo niambie ni wapi nchi / uchumi ulifanikiwa kupanga bei elekezi ?hujui mifumo ya uchumi ilivyo serikali isipoingilia kati utahama nchi
kuna kitu kinaitwa price ceiling na price floor kama umesoma uchumi utanielewa kuna muda serikali ina interfere the market ili kubalance demand and supply bila kuumiza upande wowote , na unatakiwa uelewe hakuna nchi ambayo ni perfect capitalist nchi zote duniani wanaplly hii njia pindi price ikimove above or below equilibrium.Wewe unayejua mifumo niambie ni wapi nchi / uchumi ulifanikiwa kupanga bei elekezi ?
Serikali inabidi iingilie kati (sio kwa kupanga bei) bali kwa kuhakikisha kwamba supply haishuki kama hivi inavyoshuka; na kuhakikisha kwamba kama supply ya ndani haitoshi wanaacha watu itoke nje mapema
Kupanga bei wakati supply ni ndogo kunaleta ulanguzi dawa pekee ni kuzidisha supply au kuwaachia watu wazidishe supply
Nani ameongelea Capitalist ? Kwamba Hakuna kitu kinaitwa Social Markets?....kuna kitu kinaitwa price ceiling na price floor kama umesoma uchumi utanielewa kuna muda serikali ina interfere the market ili kubalance demand and supply bila kuumiza upande wowote , na unatakiwa uelewe hakuna nchi ambayo ni perfect capitalist nchi zote duniani wanaplly hii njia pindi price ikimove above or below equilibrium.